Search results

  1. K

    Hii kero ya mafuta itaisha lini?

    imeshakuwa kero,kila sehemu unaenda unaambiwa hamna mafuta,,sehemu nyingine wanauza mwisho lita 5 tu,,hii kero mpaka lini,serikali mpo...?????
  2. K

    Wafanyakazi New Habari vp??

    kwani mmerogwa,,tuchukue hatua...!!
  3. K

    Mgomo mkubwa wa wenye vituo vya mafuta 2011!

    Nashindwa kuelewa kama hawa ndugu zetu wauza mafuta kama wamegoma au la,maana ukienda kila fuel station wanakuambia mafuta yameisha....,
  4. K

    Rostam Aziz tusaidie New Habari hali sio nzuri

    Mheshimiwa Rostam Aziz tunakuomba uiangalie kampuni yako ya New Habari,hali sio nzuri,hatulipwi mishahara yetu huu ni mwezi wa tatu hatujalipwa mishahara yetu na suala lingine ni pesa zetu za PPF hazipelekwi na zinakatwa kila mwisho wa mwezi,tunakuomba uweke mkono wako wa baraka katika hii...
  5. K

    NSSF na PPF kazi yenu ni nini??

    Mazoea hujenga tabia,imekuwa kawaida kwa haya mashirika yetu leo nizungumzie haya ya NSSF na PPF,nianze kwa kuhoji kazi yao ni nini?,maana unakuta mfanyakazi unakatwa pesa zako kila mwisho wa mwezi ila hizo pesa hazipelekwi NSSF wala PPF na mmnakaa kimya,,,,NSSF na PPF kazi yenu ni nini??????
  6. K

    New Habari na kutowapa promotion wafanyakazi wao

    Kwa naiaba ya wafanyakazi wote wa New Habari,nataka nitoe ushauri wa bure kwa CEO wetu kujivua gamba haraka iwezekanavyo kama alivyofanya boss wake aka bwana wake RA,kampuni imekushinda,imeshajieleza,sio rahisi kufanya promotion ya aina yoyote katika kampuni na ikafanikiwa bila kujali hali...
  7. K

    Natafuta Kazi Usalama Wa taifa

    hiiyo ni kazi kama kazi nyingine,,ongea na watu vizuri uvae viatu
  8. K

    kwa nini wanawake hupendelea kuvaa bikini zaidi

    Lady N,hiyo bikini huwa inakuumiza wapi na kivipi?
  9. K

    New Habari (2006) Ltd imefulia... Nani alaumiwe?

    ubaguzi wa rangi bado unaendelea NHC,watu wa haki za binadamu mko wapi???
  10. K

    New Habari (2006) Ltd imefulia... Nani alaumiwe?

    KGM hao uliowataja ni wake wa RA,wako tayari kutoa chochote wanachoombwa
  11. K

    New Habari (2006) Ltd imefulia... Nani alaumiwe?

    Mi namfahamu kidogo bi Rosemary M,ni mchapakazi mzuri,anafaa kuwa kiongozi huwa hana masuala ya kujuana,ni mtu mwenye akli ya maendeleo,amewawezesha wafanyakazi wengi sana popote alipokuwa akifanya kazi kama kiongozi,yeye ni binadamu mapungufu anayo ila kwa pale New Habari ni mazingira...
  12. K

    New Habari (2006) Ltd imefulia... Nani alaumiwe?

    Kampuni ya magazeti ya New Habari(2006) ltd inasemekana kuwa na hali mbaya aka imefulia mpaka kuloweka kiasi cha wafanyakazi wake kuwa katika wakati mgumu,chanzo cha habari kimethibitisha hilo. Wafanyakazi wake wamekuwa wakilalamika bila mafanikio hali ngumu inayowakabili,huku wengine wakiwa...
  13. K

    New Habari (2006) Ltd imefulia... Nani alaumiwe?

    Kampuni ya magazeti ya New Habari(2006) Ltd inasemekana kuwa na hali mbaya aka imefulia mpaka kuloweka kiasi cha wafanyakazi wake kuwa katika wakati mgumu,kutokulipwa mishahara yao kwa miezi mitatu, chanzo cha habari kimethibitisha hilo. Wafanyakazi wake wamekuwa wakilalamika bila mafanikio...
Back
Top Bottom