Hii kero ya mafuta itaisha lini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii kero ya mafuta itaisha lini?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kifaa, Aug 9, 2011.

 1. k

  kifaa Member

  #1
  Aug 9, 2011
  Joined: Jul 9, 2010
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  imeshakuwa kero,kila sehemu unaenda unaambiwa hamna mafuta,,sehemu nyingine wanauza mwisho lita 5 tu,,hii kero mpaka lini,serikali mpo...?????
   
Loading...