Rostam Aziz tusaidie New Habari hali sio nzuri

kifaa

Member
Jul 9, 2010
14
0
Mheshimiwa Rostam Aziz tunakuomba uiangalie kampuni yako ya New Habari,hali sio nzuri,hatulipwi mishahara yetu huu ni mwezi wa tatu hatujalipwa mishahara yetu na suala lingine ni pesa zetu za PPF hazipelekwi na zinakatwa kila mwisho wa mwezi,tunakuomba uweke mkono wako wa baraka katika hii kampuni,watu wote wamechan​ganyikiwa,huyo CEO ndo kabisa hajielewi,fikiria hili suala kwa umakini.
 
Kwa mtindo huo hata zile ahadi zilizotolewa siku ya msiba wa mwakiteleko ni changa la macho tu.Nchi hii ufisadi autaisha milele.
 
Mbona mnataka msaada mapema kwa fisadi? keshaondoka hata miezi miwili bado mmnaomba msaada? mlimnadi kila sehemu leo hii ndio anafaa? mtamkubali 2 japo kimnya kinmya.
 
Back
Top Bottom