Search results

  1. geofreyngaga

    Je, unaamini katika kuwekeza? Nina wazo la biashara kuanzia 10/20m ( kuuza unlimited internet buku tu kwa siku mteja atatumia hata gb 500 yeye tu

    Napenda akili kama hizi, if something is illegal then look for the loop hole on it ili uweze kujitetea/kupambana kisheria kama ukikamatwa.
  2. geofreyngaga

    Jina Zuri la kiafrika la mtoto wa kiume

    GALAVANU maana yake mtu wa watu au mtu social kimsingi ni mtu safi.
  3. geofreyngaga

    Ni ipi sehemu nzuri ya kuanzia maisha kati ya Kibaha mjini na Mwanza kwa mtaji wa milioni 10

    Tangu mwaka juzi napanga kwenda lkn kuna kitu kinanirudisha nyuma alaf sikijui. Ebu mwaga madini tujue kuna nn huko mpanda!!!
  4. geofreyngaga

    Wanaotoka kazini wanapitia Bar inawahusu

    Mimi nitofauti kidogo, nikitoka job lazima nifike home kwanza niwasalimie watoto alaf ndo misele ianze. Jitahidi sana ktk maisha yako watoto wakuone mara kwa mara itawasaidia na kuwa guide kwa kiasi fulani wasiwe wakorofi/watundu sana sbb wanajua daddy is always around. Lkn pia itakupunguzia ww...
  5. geofreyngaga

    Gharama ya kuweka sakafu ya zege/rough floor

    Kama kweli ulitumia mifuko 20 ya simenti kwa eneo la 14 X 12.5m X 2" basi ndo maana mimi uwa sipati kazi za watu binafsi kirahisi na kimsingi uwa sihangaiki kuzitafuta ntapambana na hizi hiz za serikali. Nyumba zetu zinachoka mapema sana sbb ratio hiyo ni dhaifu sana kwangu kwa uchache...
  6. geofreyngaga

    Naomba ushauri wenu kuhusu biashara ya ufugaji wa kuku wa mayai

    Hakikisha una nunua vifaranga kutoka makampuni makubwa. Tulinunua kwny kampuni ya kichina kuku walikua vzr na kuanza kutaga vzr but tulipofika trei 38 per day ghafla ikashuka mpaka 28. Tulipofatilia kumbe ni marek's. so tukashauriwa tule kuku wote almost 2,000 coz not bad 4human. Bahati mbaya...
  7. geofreyngaga

    FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

    Hivi ni afazali au afadhali? uzi wangu umeunganishwa maana hata sijui nilikua nawaza nn mpaka nika anzisha uzi yanga 3 mamelod0!!! Japo mimi ni Simba damu lkn nilikua na imani tangu mwanzo yanga 3 mamelod 0.
  8. geofreyngaga

    Nipeni ushauri nataka kulima kibiashara niende mkoa gani?

    Nenda ifunda-Iringa, utapata ardhi unayotaka, mvua za uhakika na hata ukitaka mashamba yenye vyanzo vya maji utapata. Naishi Arusha ila ntakwenda huko tarehe 12 au 13 au 14 mwezi wa 4 nina shamba huko. Kama upo interested twende ukatembee upaone na ntakulink na wazoefu zaidi ya maeneo hayo. BUT...
  9. geofreyngaga

    FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

    Kama unabisha tukutane saa tano kasoro.
  10. geofreyngaga

    Leo nimejuta kupanda daladala

    Kwanini ukushuka nae?
  11. geofreyngaga

    Mtafiti: Mwanamke ana uwezo mkubwa wa akili kushinda Mwanaume

    Sasa kwanini dunia iko kama ilivyo leo? Au ww unaionaje dunia ilivyo ina akisi hicho ulichoandika?
  12. geofreyngaga

    Ni sababu ipi muhimu sisi wazazi tunakuwa na mtoto zaidi ya mmoja?

    Nakubaliana na ww kwa asilimia kadhaa tu, ila ukweli HELA SIO suluhisho la kila jambo. Hiyo mifano niliyotoa hapo juu shida haikua pesa bali ni issue ya utu, ubinadamu, upndo, ukaribu watu wanataka uwepo wako etc etc ambavyo havijengwi ktk misingi ya pesa.
  13. geofreyngaga

    Ni sababu ipi muhimu sisi wazazi tunakuwa na mtoto zaidi ya mmoja?

    Mkuu Kiranga umefika mbali sana huko but I salute ur comment though!!!!.
  14. geofreyngaga

    Ni sababu ipi muhimu sisi wazazi tunakuwa na mtoto zaidi ya mmoja?

    Wkt naanza maisha ya kujitegemea nilikutana na mzungu wa kike, ktk story ikaja issue ya idadi ya watoto wangapi ni nzuri kua nayo. Kwa haraka sana alipinga kua na mtoto mmoja na akatolea maelezo. Kwao kazaliwa peke yake na wazazi wake ni wazee. Kuna siku baba yake aliugua sana na kulazwa...
  15. geofreyngaga

    Tumepita lakini?

    yaan mapema hivyo mkuu!!! Duh!
  16. geofreyngaga

    Tumepita lakini?

    Yanga watafika nusu fainali. Sawa na sisi tumepita lkn siwez kutabiri wqpi tutaishia sababuuuuuuuu....... Ah anyway naiombea Singida nayo ipite. Ww unadhan tutaishia wqpi, Morombo au mbele ya Morombo.
  17. geofreyngaga

    Nahitaji kijana mwenye damu ya upambanaji na uchu wa mafanikio kwa ajili ya uangalizi wa shamba

    Kwanza hongera kwa kutoa ajira kwa sisi waTanzania wenzako bila shaka. Na mimi nadhan very soon naelekea huko huko ila nakushauri tafuta japo mwenye certificate ya kilimo atakusaidia sana learning curve ya mtu ambae hajasoma ni ngumu na itakuchelewesha sana. Amini kwa terms hizo hizo utapata mtu...
  18. geofreyngaga

    Kopesha milioni 3.6 urejeshewe milioni 6 ndani ya miezi 10

    ur very lucky nakutakia biashara njema.
Back
Top Bottom