Search results

  1. ubuntuX

    Wanawake mnaovaa strap on acheni kutuharibia wake zetu

    Mzee username yako haiendani hata kidogo na busara ulizotoa. Ila usijali busara zako zitakutangulia kuliko username yako.
  2. ubuntuX

    Swali Fyatu: Kwani Watanzania Mnataka Umeme Mwingi usiopunjwa ili Mfanye Nini?

    Watawala wote waliotawala mda mrefu wanawajua wanachi wake,pia watawala wajanja wamekeweza kwenye kuwapumbaza. Watawala wametembea,wanajua vitu vingi kuhusu nchi na siasa za sehemu mbalimbali. Ujuzi huo unawafanya wawe hodari kwenye kutumia kuawatawala wanachi wa eneo lake. Watawala wa eneo...
  3. ubuntuX

    Swali Fyatu: Kwani Watanzania Mnataka Umeme Mwingi usiopunjwa ili Mfanye Nini?

    This! Kubaki kua maskini,kua na elimu duni,kuhoji vitu na kushambikia vitu rahisi kama Mpira ni mradi mkubwa wa wanasiasa. Ujinga ni mtaji na ndio hivo wanavotaka,hawataki mpate vyote vya uhakika sababu mtawasumbua. Maskini ukimpa kila kitu au uhuru anakuja msumbufu Bora umuache na umbabaishe na...
  4. ubuntuX

    Mtanzania Melchior Dominic Mahinini anayesomea ukasisi nchini Nigeria atekwa na waasi

    We don't negotiate with terrorists,serikali isilipe hiyo pesa maana ni kuwapa ushindi. Bora tutumie billion 10 kumuokoa Kwa njia nyengine kuliko kuwalipa hao watekaji pesa,watazoea.
  5. ubuntuX

    INAUZWA Pressure cooker la umeme

    Dunia inarahisisha mambo! Sasa unaweza pika chakula chochote Kwa haraka na gharama nafuu sana kuitumia pressure cooker ya kisasa. Pika Maharage, mboga na nyama aina zote Kwa haraka na gharama nafuu sana. Ni rahisi kutumia na salama zaidi. Bei ni 95,000Tsh Call 0788622610 Tupo Aggrey/Ndanda...
  6. ubuntuX

    INAUZWA Electric and Gas fryer

    Ziite Simu,Simu ziite
  7. ubuntuX

    Jiajiri kwa kuuza icecream za koni mashuleni

    Karibuni wadau Simu ziite.
  8. ubuntuX

    INAUZWA Mashine ya kukamua miwa

    Simu ziite 0788622610
  9. ubuntuX

    INAUZWA Electric and Gas fryer

    Tupo kariakoo mtaa wa Aggrey na Ndanda. Mikoani tunatuma
  10. ubuntuX

    INAUZWA Electric and Gas fryer

    Fryer za kumwaga zipo
  11. ubuntuX

    INAUZWA B30: Mixer ya kukanda cake na unga bora kabisa

    Karibuni,mzigo mpya umeingia
  12. ubuntuX

    Watanzania weusi na Chuki binafsi dhidi ya Watu weusi

    Wahindi,waarabu,waajemi wapo Nchi hii Toka mwaka 1500 huko. Hata ukiwachukia utatumia mwenyewe tu. Laiti hizi minority society wangekua wanapewa nafasi kwenye uongozi naamini tungeendelea sana. Sasa mtu mweusi anajifanya mzalendo na kwenye Nchi wakti raia wake wanakufa njaa. Waache wafanye...
  13. ubuntuX

    INAUZWA Pikipiki, Toys na Baiskeli za Watoto zinauzwa

    Laki 6 Kwa helicopter hiyo? Mbona bei juu?
  14. ubuntuX

    Vikao maofisini viwe kwaajili ya mameneja, sio kwa wanaotakiwa kufanya kazi

    But if you don't have the meetings, what would management do?😂😂
Back
Top Bottom