Search results

  1. T

    Nimemfumania mke wa rafiki yangu na ameniingizia zaidi ya 1,200,000/= kwa njia ya M-PESA

    epuka kuwa chanzo cha kuvunjika kwa ndoa yao...Tafadhali kufa na hiyo siri maana huyo mama ameshajifunza na ninaamini hatathubutu kurudia na atakuheshimu milele.
  2. T

    Wanaume Wengi Wenye Umri Kuanzia Miaka 30 Wamezaa Kabla ya Kuoa

    Ni kutokana na kuporomoka kwa maadili, ndo maana inafikia kuwa kwa sasa mambo ya kuzaa kabla ya ndoa ni kama jambo la kawaida. Cha msingi tu hapa ni kukubaliana na hali halisi na kutouficha ukweli. Personally Sioni mbaya kumweleza akupendaye kama unaye mtoto. Unajua nini? Ukianza tu kumficha...
  3. T

    A book for all men to understand women

    Whaah! Nakipataje? I think i need a copy!
  4. T

    Mnaotafuta wachumba hapa JF...

    ''the shock''
  5. T

    Namsikitikia, He was my boyfriend

    Naz, what do u have in mind? what do you think of him?
  6. T

    Garama na matumizi ya ovyo kwa kina dada

    Inawezekana amekuona huna nia njema na yeye ndo maana ameona ale chake aende zake, cku ukichoka wala hatalaumu. Maana ninavyojua mie na uelewa wangu mdogo, mapenzi sio biashara. kwani yeye hana shughuli inayomuingizia kipato hadi wewe uprovide kila kitu? maana hata kama hana shughuli, ni bora...
  7. T

    Kwa nini wananwake hukata tamaa mapema?

    alafu nanyi wanaume mkiambiwa mnaachwa mnaanza kulia ovyo wakati mkiambiwa commitment mnakuwa not ready always....msshhhy
  8. T

    Kwa nini wananwake hukata tamaa mapema?

    Because we are smart and not ready to fight! unamuacha anayekuchelewesha unaenda kwa aliye tayari, mana wapo men pia ambao ni desperate!!!
  9. T

    Nimetimuliwa na baba mkwe

    jamani pole sana, mambo ya uhusiano sometimes ni magumu na yana complications nyingi. Cha msingi usikilize moyo wako wewe uamue. Iwapo utaamua kuendelea naye ipo tu siku mzee ataelewa kwani mapenzi ukihusisha na utajiri haviendi. Iwapo utaamua kutoendelea naye, mueleze ukweli kabisa bado mapema...
  10. T

    Mama mwenye nyumba

    kwa hakika, nashauri uhame haraka!
  11. T

    Wezi wa ndoa muda wenu umeisha

    Amin. Kwani zamani hukuwa hivi? umepata maombi hadi ukabadilika kaka? ama mtakatifu kakushukia ghafla? i buy you, good advice kwa wote wenye tabia hiyo na waliokuwa wanafikiria kuwa hivyo.
  12. T

    Kwa Wanaume TU- Jamani Jembe!!

    Itabidi itumike 'Law of Limitation'
  13. T

    Kaka zangu jitahidini kuulinda uanaume wenu

    ''Kaka zangu jitahidini kuulinda uanaume wenu''-Nimeipenda
  14. T

    From nowhere.....!

    jamani ss mbona hutaki tuchangie maana inaelea hii thread....
  15. T

    Mwanaume Suruali

    Ina maana umekutwa nawe? hata hivyo kwa ushauri wangu mimi, usimuache ila jaribu kwanza kukaa naye mzungumze kwa upole na utulivu ili akueleze ni kwa nn huwa anaona wewe ni mwanaume suruali? maana kama kumwacha why ss ivi na tabia hiyo haijaanza leo ya kuitwa hivyo. You know what! labda kama...
  16. T

    Amfumania mke wake 'live' fundisho.

    amefanya maamuzi ya busara
  17. T

    Utambulisho

    mostly welcome!
  18. T

    Amtwanga talaka mkewe

    huo ni msiba mkubwa!
  19. T

    Al-Shabaab wavamia hoteli na kuua wabunge 6...!

    Wonders will never cease!
Back
Top Bottom