Search results

  1. M

    Gari yangu spacio old model inakula litre 1kwa km 6

    Ushirombo naomba nitumie namba ya huyo fundi maana mimi pia nina Toyota Wish 1ltr per 6km kama imerogwa vile
  2. M

    Bodi ya mikopo inabambikizia wahitimu madeni

    Mimi nimeomba statement wamesema wanacharge value retention fee ya 6% annually na penalty. Tatizo sikumbuki kama Mkataba unakipengele cha hiyo retention fee. Mnaweza nisaidia kwa hili maana deni unakuta ni 11M lakini ukiongeza hii fee inakuwa 16M
  3. M

    Uganda yaridhika bomba kuishia Tanga

    Hebu tutofautishe makubaliano na joint declaration. Cha kufanya kama Tanzania ni kuonyesha how route ya Tanzania ni better zaidi ya nyingne.
  4. M

    Natafuta dereva mzoefu kusafiri kutoka Dar kwenda Tabora kati ya kesho kutwa na J5

    Nimeshapata tayari, Kwa wenye midomo ndiyo natafuta dereva maana mimi sio mzoefu wa safari ndefu. May be kama hujui Dar-Tabora ni zaidi ya 1000 km.
  5. M

    Natafuta dereva mzoefu kusafiri kutoka Dar kwenda Tabora kati ya kesho kutwa na J5

    Natafuta mtu yeyote ambaye ni dereva mzur ambaye anasafiri kwenda Tabora kati ya kesho kutwa na J5. Nina gari lakini sio dereva mzur hivyo natafuta dereva anayesafiri kwenda Tabora. Mimi nagharimia mafuta na ofcoz gar ni yangu yeye atasave nauli lakin pia atakuwa dereva wetu. Kama upo npm
  6. M

    Namtafuta baba yangu anaitwa Gerson Jacob Kasanga

    I will let you know if he is the one
  7. M

    Namtafuta baba yangu anaitwa Gerson Jacob Kasanga

    Nashukuru kwa wote mliochangia mada hii nimechat na Onecmo na maelezo yake yanaoana na historia yote nilokuwa nayo na hivyo nashukuru nimempata mzee niliyekuwa na mtafuta nashukuruni sana. Kwahiyo japo sifungi mjadala lakini naamini msako wangu umefika tamati na mengine yatakayoendelea hayawezi...
  8. M

    Namtafuta baba yangu anaitwa Gerson Jacob Kasanga

    I have ur number I will call you soon.
  9. M

    Namtafuta baba yangu anaitwa Gerson Jacob Kasanga

    Thanks, nimechukua namba yako nakupigia ili tuongee vizuri coz the details ulizotoa zinawiyana sana hope ni mwanzo mazuri.
  10. M

    Namtafuta baba yangu anaitwa Gerson Jacob Kasanga

    Nitajaribu kufuatilia mkuu thanks for everything.
  11. M

    Namtafuta baba yangu anaitwa Gerson Jacob Kasanga

    Jina Lake kamili lilikuwa nani maana kina Kasanga ni wengi.
  12. M

    Namtafuta baba yangu anaitwa Gerson Jacob Kasanga

    Asanteni kwa kujali wakuu na naendelea kufanya private correspondence na Osaka naamini atanisaidia. Nikifanikiwa ntarudisha mrejesho na nisipofanikiwa vile vile ntarudisha mrejesho.
  13. M

    Manji: Nchi yangu hainithamini

    Binafsi namwelewa maana biashara kubwa zinahitaji good name na good reputation sasa kwa yote yanayoongelewa yanamharibia kibiashara nakifamilia, Tanzania hasa kipindi hiki cha Maghufuri tusipokuwa makini tutakuwa victimised. Na inaonekana tender ilitangazwa na alishinda na kama kuna udanganyifu...
  14. M

    Namtafuta baba yangu anaitwa Gerson Jacob Kasanga

    Nashukuru kwa taarifa, maana details zako zinacorespond na maelezo nilopewa ntakucheki soon
  15. M

    Namtafuta baba yangu anaitwa Gerson Jacob Kasanga

    Thanks for the advice I will try it.
  16. M

    Namtafuta baba yangu anaitwa Gerson Jacob Kasanga

    Thanks for the advice I will think about it, asante sana.
Back
Top Bottom