Search results

  1. L

    Baada ya mashambulizi: Tumerejea hewani, Tupo imara zaidi!

    :lock1::lock1: WAmeshindwaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  2. L

    Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

    Hakuna mtu unaweza anayemua mtu mwingine, ajali ni ajali tu na ikitokea hata mshutoko tu unaweza kukuondoa. Mungu pia hadhihakiwi. Na usihukumu mtu kwa usilolijua. Binadamu sisi hatuna haki ya kuhukumu wenzetu ila Mungu peke yake. Mwamcheni Mungu aitwe Mungu. RIP Mtikilila
  3. L

    Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    Hii yote ni tamaa ya kushika dola. Kama umeshindwa mara tano, kwa nini usiwachie wengine?. Waliungana, inakuaje wagomabne kabl ya mwisho wa safari? Kuna Kitu. Tuwe makini na wanasiasa.
  4. L

    Edward Lowassa na Wanaomzunguka

    Nchi inahitaji rais kichaa kidogo awatandike kwanza mpka wanyooke na anayeweza hiyo ni EL tu na sio Mwngine.
  5. L

    Edward Lowassa na Wanaomzunguka

    Hivi nani sio mwizi Tanzania? Watanzania wote ni wezi, yeyote atakayechaguliwa ni mwizi, kama wezi lazima tuwe na kiongozi wether EL or any other. Hivi wewe na umaskini huu unafikiri kuna mtu anatakwenda Magogoni kwenda kundeleza umaskini?. Lazima akwapue kwanza chake akishashiba ndio...
  6. L

    Edward Lowassa na Wanaomzunguka

    Yupi Bora, mwizi anayefanya kazi angalau wengi wakafaidi au mwizi anayebaika kila kitu na kuacha wanachi wake bila kitu?
  7. L

    Baada ya mahojiano, Gwajima aachiwa kwa dhamana

    Askari wetu hawana wapoteza maadili ya kazi, nguvu nyingi kuahangaika na Gwajima anyejihubiria apate sadaka yake na oponye wagoanjwa wake, wanaach kupambana namajambazi wanaochinja na kunyang'ganya sila kila kukicha. Tafuteni majambazi acheni wapigiga debe wa kidini.
  8. L

    Yuko wapi Mheshimiwa dada Mhonga Ruhanywa?

    Acheni hizo hayo ni maisha binafsi, hata jogoo huwa anamhonga mtetea mdudu ili apate ile kitu. Sembuse binadamu?
  9. L

    Serikali hamlioni hili??

    Hayo yote ni ukosefu wa ajira, mtu ambaye yuko anajishughulisha hana mda wa kuwasiliza. Watanzania tufunguke, tutenganishe ukweli na uongo.
  10. L

    Kujichua vs malaya kipi bora kwa afya

    Kidini zote hazikubaliki, lakini kwa sababu tuna vichwa vigumu na tunashindwa kushinda tamaa zetu bora malaya, ila tatizo miwaya, na kondom husiikii utamu. We acha tu.
  11. L

    Tamko la Jukwaa la Wakristo Tanzania kuhusiana na Muswada wa Mahakama ya Kadhi

    Kwani mahakam zilizopo zimeshindwa kusikiliza kesi mpaka tuanzishe za kidini? Serikali ituambie kwamba imeaamua kutuuza kwa Waarabu kwa njaa zake.
  12. L

    Ghorofa la kada maarufu wa CCM laanguka Magomeni, Polisi watanda

    Mkiambiwa tumieni wataaalam kujenga hamtaki, mkiambia mnasema gharama kubwa, matokeo yake mnaajiri mafundi feki mtaani wanaishia kunywa cement na nondo site, mnawaacha mainginia wenye ujuzi wanamangamanga mtaaani. Ona sasa matakeo yake. Engineer,s acheni pia kuuza majina yenu kwenye mabango...
  13. L

    Binti asimulia watanzania wanavyotumikishwa kwenye madanguro China

    Nimesoma, nikasikitika, wengi wanasema angekimbilia ubalozini, hela ya ufadhili, hati za kusafiria umenyang'nywa, china ni kubwa sana kutoka jimbo moja hadi jingine mabali sana, na ubalzi haupo katika kila jimbo. Swala kubwa wadanganyika tuache umbumbu, akili zetu zifanye kazi. Kama kutoka...
  14. L

    Mke anapoung'oa uume kwaashiria nini?

    Sawa ameung'oa, nitatulia nyumbani, Je yeye atahudumiwa nani nyumbani akihitaji?. Hizo ni hazira tuu za wakati huo lakini ninaamini kuwa ataijutia baada ya muda mfupi.
  15. L

    Hakuna mapenzi wala mahusiano

    Katika kizasi cha leo, hakuna mapenzi wala mahusiano, swala kubwa ni pochi tuu, una burungutu wapenzi wanakuwa wengi na utapata huduma uitakayo. Hakuna pes hakuna mapenzi wala mahusiano.
  16. L

    Hakuna mapenzi wala mahusiano

    Katika kizasi cha leo, hakuna mapenzi wala mahusiano, swala kubwa ni pochi tuu, una burungutu wapenzi wanakuwa wengi na utapata huduma itakayo. Hakuna pes hakuna mapenzi wala mahusiano.
  17. L

    Hatari ya kutumiana na mwenzi wako nude pics

    Hayo yoote ni matumizi mabaya ya technologia, unajua mtu akiwa na kamaera atajaribu kujipa ili ajione yukoje, mwisho wake anamua kmtumia mwenzi wake mwisho kabisaaa mwezi wake antuma kwa marafki zake wa karibu nk. nk.
  18. L

    Kivazi cha Venus William majaribu tupu!

    Usiangalia Kivazi angalia mchezo wa mpira kisha urudi kwa mkeo, kam hujaoa uende ohio street ukanunue.
  19. L

    Nawaslimia Wanajamii Wote

    Tujenge jamii bora yenye maadili mema. Asanteni saaaana.
Back
Top Bottom