Baada ya Marekani kusitisha msaada wake kwa Tanzania kupitia MCC, kumeibuka mijadala mikubwa sana, kuhusu uhalali wa Marekani kufanya hivyo, na ni kiasi gani Tanzania kama inchi inaweza kuathirika na uwamuzi huo wa Marekani. Sababu kubwa za wamerakani kusitisha msaada huo zimeelezwa kuwa ni ni...
Nimatumaini yangu kua umesha wahi kulisikia neno Levant, au kama hujawahi kulisikia, basi kama ni mfuatiliaji wa habari basi ulisha wahisikia kifupi cha neno hilo, hasa pale linapotajwa kundi la ISIL ambalo kirefu chake ni Islamic State of Iraq and Levant.
Levant ni nini?
Levant ni istilahi ya...
Boko Haram ni jina ambalo hutumika kulitambulisha kundi lijulikanalo kama “watu waliojitolea kueneza mafundisho ya mtume na jihad” yaani Ahlisunnah Lidda’awati wa’l-Jihad’. Boko Haram ni neno la kihausa lenye maana ya “makataa ya elimu ya kimagharibi” au “Elimu ya kimagharibi ni dhambi.”
Kundi...
pamoja na aliyoyasema lakini aliupotosha umma kuhusu maraisi wa Mexico, rais wa sasa wa Mexico anaitwa Enrique Peña Nieto, na si Felipe Calderón kama alivyosema yeye wakati anachangia kuhusu tatizo la madawa ya kulevya nchini
pamoja na aliyoyasema lakini aliupotosha umma kuhusu maraisi wa Mexico, rais wa sasa wa Mexico anaitwa Enrique Peña Nieto, na si Felipe Calderón kama alivyosema yeye wakati anachangia kuhusu tatizo la madawa ya kulevya nchini
Ila kila mtu ana zama zake kama ilivyo kwa kila nabii na kitabu chake, japo alikua anatamba kwa miaka hiyo ila ki ukweli Jay, tena hana chake zama hizi na ukitaka umfurahie Jay then u better go back to early 2000's
nimesoma baadhi ya michango nahisi kuna kitu tuna kikosa hapa, wanazuoni wengi wanao tetea hili swala hata ukiwauliza leo hawasemi kingereza kifutwe kabisa, ila wanataka tupite kwenye njia nchi nyingine zinazopitia mfano kuna watu wametoa mifano ya ujerumani, na sisi hapa wanataka kingereza...
Mimi nimelipenda hili wazo ila ningeshauri sherehe hizo zifanyike mpwapwa na kama itawezekana tufanye harambee ili fedha zitakazo patikana zi karabati bweni moja. Mimi nilisoma Mpwapwa mwaka 2000-2002. Sisi tukiwa wanafunzi wakwanza wa A'level na tulioweka historia ambayo haijapata kuwekwa toka...
serikali inasema inafanya sensa ili kuiwezesha kupanga mipango ya maendeleo na kutoa huduma kwa wananchi, naomba niulize tangu uhuru hadi leo bado wanafunzi
mashuleni wanakaa chini. je serikali haijui idadi ya wanafunzi ili kutengeneza madawati yakutosheleza wote? me naona sanaa imetawala
Wadau tuelewe kuwa katiba ya tanzania inabainisha kuwa tanzania haina dini lakini watu wake wanadini na kwamba kila mtu anauhuru kikatiba kuabudu dini aitakayo na kuisambaza. Kwa mujibu wa waislamu, mahakama ya kadhi ni sehemu ya ibada na ni uhuru wao kuidai ukizingatia kuwa huko nyuma ilikuwepo...
Japo hilo Tangazo linachekesha, kwa jinsi lilivyo andikwa, ila huo ni ushahidi tosha kuwa sisi kama Taifa hakuna tunachosimamia, kwa sababu si jambo la kushangaza hata tungemwambia muhusika huyohuyo kuandika tangazo la Kiswahili, bado angeandika kituko. Tumekua Taifa ambalo watu wake si...
Ninyi ombeni kuongezewa mshahara kama mlivyosema, na ndio mdai huo mshahara mpya ambao utakua angalau na nafuu ndio mkatwe pension, ila kwa kipato hicho mlicho kiandika hapo juu kisha kikatwe dah, sasa mtabaki na sh. ngapi??
Kwani barua ya mkutano ilikua inasemaje?? Na kwanini mkutano uzuiwe na unafanyika saa 8, na mbona kuna muda mwingi tu wa kuhesabu watu, ila kama hali si hali, ni bora mkutano ukahairishwa kwa busara za viongozi, kuliko kuendelea kuwaangamiza raia wasio kuwa na hatia, kama ilivyotokea jana Morogoro.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.