Search results

  1. F

    Naomba kufundishwa namna ya Kutongoza Mwanamke

    Wewe utakuwa unasema ukweli sana wakati wa kutongoza! Mwanamke ukimwambia ukweli kumpata kazi!!
  2. F

    Natafuta mtaalam wa kunisaidia kupata begi langu

    Report polisi watakusaidia nadhani wanazo mbinu nyingi zinazoweza saidia kumtia jamaa nguvuni as long yupo hewani!
  3. F

    Kukamatwa, kupigwa risasi Lissu: Chama cha Wanasheria Uingereza chamlima barua Rais Magufuli

    Mjinga hata ukimpa neno la busara hawezi tafsiri zaidi ya kudhani ni ujinga kadiri ya uwezo wake ulipokomea. No sense if ones thinking is full of no sense!
  4. F

    Kukamatwa, kupigwa risasi Lissu: Chama cha Wanasheria Uingereza chamlima barua Rais Magufuli

    Haya ulipaswa kuwaambia watawala kwanza waachane na dhana ya utawala tena kandamizi warudi kuwa viongozi wenye dira iliyotengenezwa na malengo ya jumla ya watu.
  5. F

    Kukamatwa, kupigwa risasi Lissu: Chama cha Wanasheria Uingereza chamlima barua Rais Magufuli

    Ingekuwa hivyo tusingechukuliwa rasilimali zetu kwa kiasi hicho! Siku interest za hao watu zikiguswa kwelikweli tutaona remote zao zinavyofanya kazi kwa ufanisi!
  6. F

    Kwanini Mhe. Mbowe aliamua kubaki Dodoma siku Mhe. Lissu alipopigwa risasi wakati alitakiwa kuwepo Dar es Salaam

    Kumbuka mkuu wa mkoa kule kwenu nae alienda Dodoma sijui kufanya nini! Ama wanafahamiana na Mbowe?
  7. F

    Ukweli kuhusu ATCL Boeing 787-8

    Wajinga ndio waliwao...
  8. F

    Kenyan PM Raila Meets David Cameron at Number10 Downing Street

    Nasikitika kuona wana EAC mnavyolumbana na hapo bado hamjaonana sijui mkionana itakuwaje?
  9. F

    Mwl. Nyerere alisema kama mnampenda Kikwete kanyweni naye chai - Sasa tunayaona!!

    Jamani hamuoni Kikwete anazeeka sasa?Labda tujue kwanza Nyerere alizungumzia Ukomavu upi!! Kwa ninavyodhani Nyerere hakuhitaji Kikwete labda akomae in neither way ila aliona soo kumbania hiyo nafasi basi akawa anampa matumaini ya kusubiri wakati.Kwa ujumla mapungufu ya mheshimiwa Nyerere nadhani...
  10. F

    Ujumbe kutoka Malawi: Haki imetendeka hapa wakuu?

    Kwa Maria Roza anachosema ni sahihi ila serikali itakuwa ni ya wahuni kama wa enforce sheria then at the same time wakaendelee chini ya uangalizi wao. Nadhani serikali ya Malawi ina watu waelewa wenye uwezo wa kuhandle hoa raia wasiendeleze hivyo vitendo huko gerezani. Hata hivyo hivi vitendo...
  11. F

    CIA Report.

    Jamani wana jamii naomba tuchambue nini maana ya report iliyotolewa na CIA juu ya ukuaji ama ongezeko la watu kwa kiasi kikubwa huku kundi tegemezi likionekana tatizo kwa uhai wa taifa letu ukizingatia idadi ya wenye kuzalisha inaonekana ni ndogo kuliko wahitaji. Binafsi sina uhakika na takwimu...
Back
Top Bottom