Search results

  1. Pritty wa joseph

    Mwanamke Uliebadili Mtizamo Wangu!

    Mkuu Kwa ushauri tu Usiingie mazima love without limits
  2. Pritty wa joseph

    Mrejesho Kuhusu Greenhouse!!!

    Dah, mkuu niambie nijifunze kitu nami ntakwambia yangu ujifunze kitu love without limits
  3. Pritty wa joseph

    Mrejesho Kuhusu Greenhouse!!!

    Kweli ndugu, kama vijana walivyovamia kilimo cha tikiti Nadhani kilichowapata unakijua[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Mwisho wasiku wauza mbegu,madawa na mbolea ndo waliofaidika love without limits
  4. Pritty wa joseph

    Mrejesho Kuhusu Greenhouse!!!

    Mkuu katika harakati za maisha kila MTU anasehem yake yakutobolea, usidhani sehem utakayotobolea wewe ndo nami ntatoboa hapo hapo big NO watu tunashindwa kuelewa hili Back to topic:wengi wao waliliwa tu na ilikuwa kampeni tu love without limits
  5. Pritty wa joseph

    Hivi kwanini renji na discover zikizeeka zinakonda

    Hahaha imenibidi nicheke Jf never board love without limits
  6. Pritty wa joseph

    Usimtongoze mwanamke akiwa kwenye shida...

    Kula kulana love without limits
  7. Pritty wa joseph

    Kinachofanywa Kimara ni Kinyume na UTU Kabisa

    Kesi IPO mahakamani na ieleweke wananchi wakishinda basi serikali itabidi iwalipe wananchi fidia Hapo ndo tutazidi kuingia hasara Mpaka 2020 ndo mtaamini pombe si chai love without limits
  8. Pritty wa joseph

    Ushauri juu ya kuanzisha kiwanda cha nyumbani

    Wazo zuri sana mkuu Kwa uzoefu wangu kwenye swala LA usindikaji hasa chakula unahitajika uwe na chumba kimoja na store tu Store utakuwa unawekea malighafi na chumba utakuwa unazalishia bidhaa zako na kufanya packaging humo humo ndani Kuhusu sabuni za miche wala haihitaji eneo kubwa sana ila...
  9. Pritty wa joseph

    Biashara ya usafiri wa hiace

    Mkuu sikushauri biashara hiyo inachangamoto nyingi sana ambazo Kwa mwajiriwa zitakupasua kichwa Kwanza 12m Kwa hiace elewa ni ugonjwa huo unaununua na tenga kama 5m pembeni ya service Ushauri wangu bora wekeza kwenye kilimo au ufugaji Wa kisasa kama kulima Lima kilimo cha kumwagilia Fuga...
  10. Pritty wa joseph

    Wapi nitapata Lye (sodium hydroxide) 100% kwa hapa Bongo

    Karume kule wanakouza vifaa vya kutengezea batiki love without limits
  11. Pritty wa joseph

    Tatizo nini mwanaume kuzaliwa hanithi

    Naskia kuna ile kudondokewa na kitovu Ngoja wahenga waje watujuze Nyani Ngabu mshana jr Mzizi Mkavu love without limits
  12. Pritty wa joseph

    Nateseka jamani mimi Sijui nimekosea wapi

    Hahahaha mapenzi ya bongo hayo shoga angu Pole love without limits
  13. Pritty wa joseph

    Nimekuwa emotionless, cold

    Money by all means love without limits
  14. Pritty wa joseph

    Mrejesho, Yule mwanamke mvaa kikuku kweli anatoa "Jicho"

    Allah atunusuru waja wake love without limits
  15. Pritty wa joseph

    Wanaume mungu anawaona, muwe mnaaga mnapotaka kumuacha mwanamke

    Inategemea na historia ya mwanamke love without limits
  16. Pritty wa joseph

    Wanaume mungu anawaona, muwe mnaaga mnapotaka kumuacha mwanamke

    Hicho kitu kisichoonekana ndo umbile letu ambalo kila mwanamke analo, labda wasagaji love without limits
  17. Pritty wa joseph

    Eti Shunie kaleft

    Hahahaha love without limits
Back
Top Bottom