Search results

  1. Ghosryder

    Huyu Anayejita Dr Sule ushekhe wake una walakini

    Sasa ndio wafanye ushirikina wa albadir, si wamwachie Mungu amwadhibu mwenyewe!
  2. Ghosryder

    Huyu Anayejita Dr Sule ushekhe wake una walakini

    Nakajua, kalianzaga na akina Mazinge kutukana wakristo miaka ya nyuma, hajitambui
  3. Ghosryder

    Huyu Anayejita Dr Sule ushekhe wake una walakini

    We kama ni mcha Mungu kweli inakuwaje anashinda mitandaoni kusimanga watu kama Harmonize? Kama Anaona amemkosea Mungu iweje yeye ashikie bango kesi ya Mungu na Harmonize kiasi cha kusema wamfanyie ushirikina wa Albadir?? Yeye ana utakatifu gani? Na unaposema akifa hamtamzika, kwani usupomzika...
  4. Ghosryder

    Baada ya Bilionea Shami kudai kutishiwa maisha, wanaomdai wajitokeza na kumwambia alipe deni

    Watu wengine ndio maana wanafanywaga vibaya halafu familia zao zinaishia kulalamika , iwe madai isiwe arudishe hela za wenyewe, basi.
  5. Ghosryder

    Baada ya Bilionea Shami kudai kutishiwa maisha, wanaomdai wajitokeza na kumwambia alipe deni

    Nilisema toka mwanzo, huyo ni msanii anataka kuibq kwa kelele
  6. Ghosryder

    Nitawashangaa BASATA wasipomfungia ZUCHU hata miaka mtano kwa Uchache

    Labda wataswala mashoga zake, mi siendi
  7. Ghosryder

    Tundu Lissu akutana na Azim Dewji

    Ulemavu kaupata kwa wenzake humo humo chadomo
  8. Ghosryder

    CHADEMA njia Panda, Mikoa yote Tanzania inataka Maandamano ya Amani. Wadai Mikoa Minne pekee haitoshi

    Haya mambo yapo serikali karibu zote duniani, na hao wapinzani nchi NYINGINEZO waliopata kuchukua madaraka, wanafanya hayo hayo, na zaidi ya hayo. Na pia wapinzani wanakuwepo kila nchi, nyie hakuna jipya chini ya jua ambalo Mbowe na Lissu wanawezaleta nchi hii zaidi ya kuja kuiba tu.
  9. Ghosryder

    Hivi kuna maisha baada ya kifo?

    Acha uongo, hayo umeyapata wapi?? Usituletee hadithi za yale mavitabu yaliyoletwa kwenye majahazi.
  10. Ghosryder

    Video: Mtanzania aliyefungwa miaka 10 Iran kisa kafuata huko mambo ya dini

    We unayemwita mwenzako kafir, uliza ukoo Mwamed ulikuwa wa watu wa aina gani? Unamjua mzee Abdillah?
Back
Top Bottom