Search results

  1. C

    Msaada wenu wandugu: Dawa ya kusokota tumbo kwa mtoto mchanga wa mwezi mmoja

    Wewe umeanza vizuri alafu unahalibu mambo yako ya misiagi afadhali ungemuambia akanunue grippwater au mafuta ya samaki pharmacy Acha kabisa uyu atakuingiza chaka siyagi iko complex ni kama umemuanzishia chakula tu
  2. C

    Ni utundu wangu wakati wa kufanya mapenzi...au?

    Wewe una pope la ngono inabidi uombewe
  3. C

    Kukoroma usingizini: Fahamu chanzo na tiba yake

    Inawezekana ikawa inene kwa wengine unaobana mpaka koo anapolala kama kawaida lazima akolome. Kunawengine ni maumbile kua na kasoro anapokua amelala au kijosahau koo la hewa linakua kama limebanwa hivi.kuna wengine matonsiz vidonda vya koo vinasababishaga makovu yanayoingiliana na mfumo wa hewa...
  4. C

    2015 vijana twendeni na january makamba kuwa rais

    Tumpime kwa ujazo wake kama anastaili
  5. C

    Sitta atakuwa tayari kumkapenia Lowassa?

    Unajua mimi kamaa nampa credit kwa kua na mahamuzi binafsi na kuyasimamia.issue sio kashifa mimi nilishasahau by the way nani malaika awe na access na asipige alfu mengi yako chini ya kapeti .potelea mbali mimi nitampa kula.ila nel kama unafikili umbadala wake mwenye ijazo wake niambie
  6. C

    Sitta atakuwa tayari kumkapenia Lowassa?

    Lazima ashinde.kama auhamini subili.jamaa anamisuli mpaka bushi kabisa
  7. C

    Mtwara: Vurugu kubwa zazuka, Mahakama, nyumba ya Waziri vimeteketezwa...

    yani hii kitu imechukua sura nyingine kabisa yani kwa ninyi mlio mbali mtachukulia poa ila hali si nzuri yani leo ni mabumu ya machozi tena yale yakulia sana yanapigwa ovyo yani duuu. police nao wako kwenye wakati mgumu sana wengine kuna mitaa inawabidi wahame kujisalimisha maisha yao yani...
  8. C

    A failed assassination plot against Dr. Ulimboka...

    Unaelezeaje uko tayari kufa kwanext gene .. Wakati navyoongea nawewe kuna mtu kafiwa na mtoto wake sabu ya mgomo. Dakika 25 halizokua hosp wangeokoa maisha. Acha kabisa kuingiza siasa kwenye maisha. Mnahaki kudai maslahi yenu lakini kwa hasala ya nani. Mimi napingana na wewe kabisa ...
  9. C

    A failed assassination plot against Dr. Ulimboka...

    jamani mimi nina swali kichwani mwangu linanisumbua sana.naomba nitangazw kwanza sina upande katika hilim na kwamba walichofanya si sahii kabisa . DR ULIMBOKA POLE SANA JAMANI NATAKA MNIAMBIE MTOTO WAKO WA KUMZAA ANAUMWA GAFLA AKAPANDISHA DEGEDEGE UMEBATIKA KUFIKA MUHIMBILI KWA SHIDA SANA...
  10. C

    Waziri Maige na nyumba ya Sh milioni 656m

    this country has reached a point of no trust , every one is thinking of exproiting the manority.they forget the grave is yet
  11. C

    Rais anatakiwa akae kwa staha na heshima si hivi

    Kwamimi sioni tatizo la ukaaji kwa hapo kwasababu kuu mbili kwanza sehemu usika na yatokeayo kinaweza kua sababu tosha. Kwa halaka ilikua ni kama kunasomeka dua tena bila kuko0sea ni ya kiisilamu there was no way out zaidi ya yeye kufanya ivyo kwasababu mungu ana rais sote ni binadasawa kwake...
  12. C

    Joto la kicha ni kali kuliko mwili kwa mwanangu 1.5 years

    Mwanangu anaumri mwaka mjoja na kama nusu ivi . Ananiachanganya kwani mala zote kichwa chake ni cha moto sana kama ana homa ila mwili mwingine uko kawaida je ? Hii inaashilia tatizo lolote kwake
  13. C

    Nafasi za kazi TRA

    Tatizo sio kuziona jamani issue ni izo criteria . Dahaaaaaaaa ni noma yani bongo si mchezo ila nataka nijilushe ivyoivyo tu
  14. C

    Anautesa moyo wangu

    jamaa hana msimamo. nachoamini hanaufahamu ukweli ila tatizo ni kwamba hataki kukubaliana nao. belive me anajua nini cha kufanya kwaiyo cha msingi tumuambie atafakali then achukue hatua na maamuzi ni mawili tu .
  15. C

    Kimenuka Dodoma, magamba yapata moto

    ni lahisi kusema ila kiutendaji wa kiuongozi ni ngumu sana ngoja tusubili ilo gwambala kama sio ngozi
  16. C

    Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

    sifa ya mwanasiasa ni kusoma nyakati na kutumia rejea kama silaa kwa baadae. sipati picha uchaguzi 2015
  17. C

    Pamoja na Bodi kumpendekeza, Dk Rashid aweka sharti la kurudi TANESCO!

    It always take time for we to make good atempt lets wait for that very time . May be
Back
Top Bottom