Search results

  1. KASINYE

    Model gani ya HTC ni nzuri zaidi kwa matumizi ya Internet ?

    Habari wana jamvi naomba msaada wenu/ushauri kwa mtu ambaye amewahi / antumia hizi smart phone kati ya HTC na 4n ipi ambayo iko vizur zaid kwenye access ya net hasa sehemu zenye low internet access. ntashukuru sana kma ushaur wenu utakuwa mambo mengine ya ziada kama uimara na mengineyo! karibuni.
  2. KASINYE

    JUMAVITA wanyimwa Kibali cha utafiti Wilayani Ulanga

    Jukwaa la Mabadiriko ya Vijna Tanzania, wamenyimwa kibali na office ya mkuu wa wilaya ya ulanga mkoani morogoro cha kufanya utafiti unaohusiana na kuigawa wilaya hiyo katika wilaya mbili. Kati ya tarehe 7 na 8 julai 2014 uongozi wa jukwaa hilo ulipeleka barua ya kuomba kibali katika ofisi ya...
  3. KASINYE

    Hii imekaaje jamani

    Binti alikuwa katika mahusiano ya kimapenzi na mme wa mtu, penzi limenoga kiasi cha kila mmoja wao kufahamu mambo ya mwenzake kiundani, mke wa jamaa akafahamu mchezo akampandia yule dada, dada wa watu akaona imekaa vibaya akamuomba jamaa waachane asimwalibie ndoa yake, jamaa akagoma yakabaki...
  4. KASINYE

    Mtihani alionao rafiki yangu

    Nina rafiki yang 1 alikuwa na mpenzi wake alidumu naye takriban miaka 2, jamaa alimpenda sana demu udhaif alioutumia demu kumnyanyasa jamaa kimapenz kwa kuwa na mchepuko, jmaa aliteseka sana na kwakuwa alompenda demu alivumilia ikafikia hatua jamaa akataka kuwafumania awafanye mbaya.Nilimshauri...
  5. KASINYE

    Anaswa kwa kujifanya security officer,PCCB,TRA, OCD

    Tarehe 18.06.2014 majira ya saa 4 asubuhi John Patrick Kimath 33yrs mzaliwa wa Moshi alitiwa mikononi mwa sheria baada ya kujihusisha na utapeli kwa kujiita afisa usalama, mkuu wa polisi wa Ulanga, afisa wa takukuru, afisa wa TRA na mwanajeshi. John alitumia nyadhifa kwa nyakati tofauti tofauti...
  6. KASINYE

    Ungekuwa ni wewe ungefanyaje!

    Mwaka 2012 march nilihamishwa kikazi kutoka Dsm na kuletwa moja ya wilaya za mkoa wa morogoro, muda huo mke wangu alikuwa nyumbani mwanza. Katika pitapita zangu nikapata totozi la kipigoro ndo kwanza alikuwa kamaliza chuo (assistant clinical oficer) lugha zikaendana lakini kila mtu akawa wazi...
Back
Top Bottom