Search results

  1. X

    Namshukuru Mungu

    Habari wanajamii Hatimaye Mungu amenijalia nimepata kazi katika moja ya taasisi za serikali. Acha nikafanye bidii kazini mtaani pagumu aisee.
  2. X

    Acheni kulilia mapenzi

    Habari zenu ndugu zangu, Mapenzi huchukua sehemu kubwa ya maisha yetu kwa maana kwamba kila mmoja wetu hutokea kumpenda mtu na akahitaji kuwa nae kwa maisha yake yote. Si mara zote mambo huenda kama tunavyotarajia hasa kwa dunia yetu ya leo iliyojaa usaliti wa kila aina. Sasa ushauri wangu ni...
  3. X

    Niwafanye nini watu hawa?

    Ndugu zangu hata sijui nianzie wapi maana only God knows how I feel right now. Na waliosema siku njema huonekana asubuhi hawakukosea maana siku nzima ya leo sijui ndo niseme jana nimeshinda na majonzi little did I know kuwa majonzi makubwa zaidi yanakuja. This night I have just realized that...
  4. X

    Siku mbaya hii

    Tangu nimeamka siku ya leo nimekuwa ni mtu mwenye huzuni tu, sijisikii kuongea na watu wala kufanya shughuli yoyote, matukio yote mabaya yaliyotokea maishani mwangu yanajirudia kichwani na kusababisha nilie tu kila ninachofanya kupoteza mawazo haya hakinisaidii. Nimejaribu kuangalia movie...
  5. X

    Ni kweli kuwa wanawake wengi wanaojifungua kwa operation hunenepa?

    Hili swali limekuwa likinisumbua sana tangu nilipojifungua maana karibu watu wote wanaonizunguka huniambia kuwa sasa nitaanza kunenepa. Je, jambo hili ni la kweli? Au kuna uhusiano gani kati ya operation na mtu kunenepa? Sipendi unene na naukataa kwa nguvu zote, na kama ni kweli mtu afanyeje...
  6. X

    Naomba undugu

    Mmh wajameni humu ndani kuna watu wana waume zao, wake zao, watoto, wakwe, mawifi, mashemeji, kaka zao, dada zao, wapenzi, majirani, mama, baba, bibi, babu n.k..... mie tu ndo sina ndugu au nimetokea sayari nyingine mweeeh
  7. X

    Nisubiri kwa muda gani ili kubeba mimba nyingine?

    Habari zenu, Naomba mnisaidie kwa hili ingawa linaweza kuwa lishaulizwa lakini mimi ni mgeni humu. Hivi karibuni nilijifungua kwa operation lakini mtoto akafariki, nahitaji kujua ni baada ya muda gani itakuwa sahihi na salama kubeba mimba nyingine.
Back
Top Bottom