Ni kweli kuwa wanawake wengi wanaojifungua kwa operation hunenepa?

Ximena

JF-Expert Member
May 17, 2014
641
353
Hili swali limekuwa likinisumbua sana tangu nilipojifungua maana karibu watu wote wanaonizunguka huniambia kuwa sasa nitaanza kunenepa.

Je, jambo hili ni la kweli?

Au kuna uhusiano gani kati ya operation na mtu kunenepa?

Sipendi unene na naukataa kwa nguvu zote, na kama ni kweli mtu afanyeje ili asinenepeshwe na jambo hilo?

Natanguliza shukrani.
 
Si kweli na endapo likitokea basi punguza misosi maana unene ni chakula.

Mimijinja.
Si kweli na endapo litatokea basi punguza misosi maana unene ni chakula.
 
Kunenepa kunatokana na kuridhika, Kula vyakula vinavyonenepesha mfano: Minyama choma, supu nk...Ukiwa na operation km ilivyo ile style ya wadada kukaza tumbo inakuwa ngumu coz huwezi kubana sehemu ya operation..Kwahiyo linakuja tuu...

Ila ukijicontrol kwa kufanya diet, mazoezi hunenepi
 
Operation za siku hizi ni za kisasa tumbo unafunga vizuri tu!
Mm nimejifungu kawaida mimba ya kwanzs nilinenepa kupitiliza, nw mimba ya pili nimejifungua kwa scissor nimepungua more than 20kgd only within.two months! So i have proven rumors wrong
 
aawapi wangu mimi ni kimbaumbau nilipojifungua nikaambiwa ntakuwa bonge lakini hadi leo niko kawaida me nahisi ni asili ya mtu tu
 
aawapi wangu mimi ni kimbaumbau nilipojifungua nikaambiwa ntakuwa bonge lakini hadi leo niko kawaida me nahisi ni asili ya mtu tu

yaani napata moyo kusikia hivyo maana kuna watu kweli naona wananenepa kumbe ni miili yao tu.
 
yaani napata moyo kusikia hivyo maana kuna watu kweli naona wananenepa kumbe ni miili yao tu.

Usiogope!!

Kuna watu nimewaona mpk akuambie kuwa ana watoto, kwa macho huwezi kuhisi

Njoo kwangu ss! Utanipenda, cjazaa navaa skert tumbo 37, unategemea nn nikizaa c ni 45??

Unene ni asili ya mtu tu, haijalishi ale kizuri au kibaya"!!
 
hahahaaaaa mi nashukuru mwili wangu umerudi kama mwanzo hata tumbo limeisha lote, ila sasa watu tu wananiambia lazima ntanenepa
 
Usiogope!!

Kuna watu nimewaona mpk akuambie kuwa ana watoto, kwa macho huwezi kuhisi

Njoo kwangu ss! Utanipenda, cjazaa navaa skert tumbo 37, unategemea nn nikizaa c ni 45??

Unene ni asili ya mtu tu, haijalishi ale kizuri au kibaya"!!

Uliwai kusema umepata mimba through JF au? Sory kama sio wewe
 
Mara nyingi tukishajifungua tunanenepa iwe kwa kawaida au operation. Muhimu ni kuji control tu tukeep shape zetu vizuri.
 
Back
Top Bottom