Search results

  1. sandet

    Nikasome degree nyingine au nifungue biashara?

    Unachohitaji ni ujuzi..na wala siyo degree. Ni Bahati mbaya Sana kwamba degree zetu nyingi na mfumo wa ufundishaji unaishia kutoa maarifa na wala siyo ujuzi. Mfano unaweza ukasomea Human resources management unaishia kuwa na maarifa, lakini zile ule ujuzi unaohitaji katika hii fani Kwa mfano...
  2. sandet

    Hospitali ya Taifa Muhimbili na urasimu wa kutoa Medical Report

    Hospitali kubwa kama hiyo, haina mfumo wa kuandaa medical report automatically? Hadi andike manually..
  3. sandet

    Ni biashara gani naweza ongezea kwenye Kinyozi changu

    Inategemea na ukubwa na wa saluni yako na mtaji, unaweza fanya yafuatayo Kwa ndani: 1. Weka mafuta, perfume na nail cutter ambazo wanaume wanapenda kutumia. 2. Uza vocha Kwa kurusha na huduma za kifedha. 3. Weka hizi smart watch hazichukui nafasi kubwa, kinachohitajika tu ni design nzuri Kwa...
  4. sandet

    Naomba kufundishwa namna ya kutengeneza automatic school result ya excel

    Pitia huu uzi. https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/2098224/
  5. sandet

    Mbinu waliotumia kampuni ya Avis kutawala soko la magari ya kukodisha Marekani

    Kwa msaa wa AI ChatGPT, huu ndio ufafanuzi wa Against Positioning Marketing Strategy. With reference to Avis car rental, the against positioning marketing strategy works as follows: Avis differentiated itself from Hertz, the market leader, by emphasizing its customer service and quality. Avis...
  6. sandet

    Ni mstari gani kwenye biblia unautumia sana upitiapo nyakati ngumu katika Maisha

    Ayubu 14:7 7 Kwani yako matumaini ya mti, ya kuwa ukikatwa utachipuka tena, Wala machipukizi yake hayatakoma.
  7. sandet

    Payment aggregators -Tanzania banking services

    Kampuni nyingine hii, wajaribu https://dpogroup.com/
  8. sandet

    Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    Naomba mwenye soft copy ya hiki.. The impossible is possible by John mason.
  9. sandet

    Pdfdrive.com inazingua

    Jaribu hawa Zlibrary https://z-lib.io/popular
  10. sandet

    Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Field of interest: Open data Kit (ODK) programming Experience: 5 years Education level: Post Graduate, Computer science Location: Arusha
  11. sandet

    Je, unapata pesa kiasi gani kwenye ekari 1 ya mchicha?

    Jaribu kulima kidogo Kwanza..kama matuta 10..upate uzoefu na pia usome soko likoje.
  12. sandet

    INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

    Hii kwenye picha ni Aina gani ya ndizi?
  13. sandet

    Na tuifanye nchi yetu kuwa ya kijani tupande miti kwenye makazi yetu

    Natamani ingepitishwa kabisa Sheria kila Kaya angalao iwe na miti angalao mitano, ambayo itakuwa inagawiwa bure na Serikali. Hii ingesaidia sana kuboresha hali ya hewa na kuweka kivuli katika nyumba, vilevile miti mingine ingesaidia kwenye lishe, hasa miti ya matunda.
  14. sandet

    Tujuane wadau wa biashara, ulipo na bidhaa zako

    Mfumo wa duka la dawa kwa bei nafuu. Tsh 300,000 kwa mikoa ya Arusha, Manyara na Kilimanjaro. Mikoa mingine Tsh 500,000. Bei inajumuisha installation na training. Kwa maelezo zaidi: Pharmacy Management System - First Choice Enterprises Simu: 0784 675 425
  15. sandet

    Jinsi ya kuwithdraw pesa toka paypal iliyokuwa held baada ya akaunti kuwa limited kwa siku 180

    Mkuu unatoaje pesa kutoka Payoneer kwenda Airtelmoney? Vipi makato ukilinganisha na Bank?
  16. sandet

    Freelancers! 9 00 9f

    Y Yes, uzuri ni kwamba wanalipa pesa kupitia Payoneer na Skrill ambazo zote unaweza tuma hela Tanzania kupitia benki. Nyingine hii ambayo ipo chini ya PACTERA EDGE, Oneformal, ukitaka kujiunga tumia hii link: ONEFORMAL: ONLINE WORK
  17. sandet

    Freelancers! 9 00 9f

    Jaribu hawa, japokuwa hela zao ndogo unaweza pata angalao dola 50 kwa mwezi ukipambana vizuri. https://toloka.yandex.com/promo?referralCode=MMMJ7MUD
  18. sandet

    Online jobs (Work at home)

    Jaribu hii, EARN MONEY ONLINE WHILE WORKING FROM HOME
  19. sandet

    Wale wanaopiga pesa online Tanzania, vipi mnatumia platform gani kupokea pesa?

    Hii platform gani mkuu, ni kama Upwork? Kirefu cha BTW ni nini?
  20. sandet

    Nahitaji ushauri wa biashara ya Pharmacy

    Ukihitaji mfumo wa kurekodi mauzo yako, karibu.
Back
Top Bottom