Search results

  1. K

    Tigo 5G inapatikana wapi?

    Voda 5G iko vizuri ingawa sio maeneo yote inapatikana ila hawa Tigo ni wasanii wanakwambia maeneo ya masaki,Airport na city centre inapatikana 5G ila kiuhalisia hamana kitu.
  2. K

    Tigo 5G inapatikana wapi?

    Vyote ninavyo
  3. K

    Airtel Tanzania wamekuja na huduma ya eSIM

    Voda wenge jingi 5G yenyewe inayumba sana
  4. K

    Tigo 5G inapatikana wapi?

    Hii 5G ya tigo inashika wapi na wapi mbona sie tunaoshinda city centre na masaki hatuioni au geresha? Fanyeni kweli kama ya voda mpaka buza inashika
  5. K

    Wireless Home Internet Provider ipi inafaa?

    Hii changamoto acha tukomae na smile,unazunguka na kirouter chako mji mzima
  6. K

    Nichukue gari ipi kati ya Toyota Voltz, Harrier, Rav 4 old na Premio?

    Kwanza hongera kwa kujichanga na kufikisha hicho kiasi! Naomba nikushauri kitu kama ni mpambanaji pambana uongeze pesa uchukue Toyota voltz toka japani yenye 4WD ni gari nzuri spare zipo nyingi tu licha ya uzalishaji wake kusimama nimeitumia huu ni mwaka wa 6 na chuka iko vizuri kabisa.ila...
  7. K

    Supplies Officer II at Agricultural Seed Agency (ASA)

    ASASS 4 ni kama bei gani, mwenye kujua?
  8. K

    Tetesi ya kuondolewa huduma ya magari ya Bolt

    Usijidanganye gari zimepanda bei karibu zote
  9. K

    Maswali yaliyonitesa kichwa kwenye 'written interview' Utumishi

    Hizi sio component,hizi ni steps involved in Research design
  10. K

    Mwenye IST ya biashara

    Mkuu Good luck ila kwa hiyo hera naona kama ndogo sana,ila waweza fika bank ukawaeleza idea yako waweza saidiwa
  11. K

    Nafasi zimetangazwa 12 Utumishi interview tumeenda 8. Je, kuna uwezekano kweli wa kupata kazi wote au sheria ndo inafuata mkondo?

    Hapo wote mmeshapata kazi hao 4 wamechukuliwa kwenye kanzi data,ndivyo inavyokuwaga mara nyingi so hongera sana
  12. K

    Natafuta gari kwa ajili ya kufanyia kazi ya UBER, Bolt

    Hesabu unaweza kupeleka bei gani na mkataba bei gani kwa muda gani?
  13. K

    Recommended Engine Oil for Suzuki Grand Escudo 2.7

    Mkuu tumia any 5W-30 fully synthetic
  14. K

    TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

    Inawezekana ni kweli mkuu maana nilisikia ni ghari sana hii fiber
  15. K

    Inasikitisha sana, kuna mtu ameomba kazi ya trainee akiwa na miaka 35

    Usikalili mkuu kuna watu wapo kwenye special mission
Back
Top Bottom