Search results

  1. M

    Soma hii story

    Huyo kijana nae ana mapungufu,sidhani kama mtu wa dini anaweza akawa mzinzi,asitudanganye bwana,yeye alipashwa kutafuta mchumba kwanza,amchunguze vile atakavyoridhika kulingana na maadili ya dini yake inavyomwelekeza huku na yeye akiwa anaandaa mazingira ya kumtahadharisha na tabia hizo au...
  2. M

    Imani yetu kwa serikali ya Kikwete

    "Naunga mkono hoja hiyo kama njia mbadala ya kuiepusha nchi katika vita. Raisi kashindwa kwa baadhi ya mambo yafuatayo yanayomfanya apoteze sifa za kuwa Raisi mwenye hadhi. 1.Ameshindwa kulinda umoja wa watanzania kwa kupitia hoja ya kadhi na OIC na kuwagawa watanzania kwenye makundi makubwa...
  3. M

    Wanaume wahuni na mapenzi

    {Unajua nini Fidel!! ukweli unabaki pale pale ya kwamba haya mambo yanahitaji experience ili uweze kuyafaidi vizuri, ukiangalia akina dada wote wanaotajwa wanayaweza mambo utakuta wameanza hayo mambo mapema sana, sijui wakitanga, wamakonde, warangi na hata wazaramo...wote wanafunzwa mambo ya...
  4. M

    Ni baada ya mda gani mwanamke anaanza kumpenda mwanaume,

    :A S-rose: Hi, Nashukuru kwa kunikumbuka mdau mwenzangu,ni kweli nina muda nyingi sikuchangia mada yoyote nilikuwa safarini kwa muda kidogo vijijini. Any way,kiukweli mwanamke ataanza kumpenda mwanaume pindi tu atakapothibitisha kuwa mwanaume huyo anampenda kwa kumjali hisia...
  5. M

    Kipenda roho..???

    Ni ya kawaida sana,mbona hata bongo ipo hiyoooooooooooooo! Ni kawaiidaaaa tuuuuuuuuuu.
  6. M

    Nafasi za kazi nyingi: Shindwa wewe tu

    Thanx for nafasi za kazi,msichoke kututumia maana maisha ni mapambano.
  7. M

    Masanja na Uropokaji kwa Wazee!

    Masanja aache mambo ya kitoto,yote maisha na wala pesa haina mwisho hata uwe tajiri vipi. Kama alishindwa ITV atulize boli afanye kazi na si ushambenga tuuuuuuuuuu.
  8. M

    Happy Birthday Mandela!

    Acha bwana,ndugu Madiba ndo mwanaume bwana,siku zote mwanaume lazima uwe na maamuzi ya kujitegemea na si vinginevyo,maana wanawake wengine wanajisahau sana,kwani hata kama mzee yuko jela ndo umsaliti?Ngoja apigwe chini kwanza sasa hivi Gracia anakula kiulaini.
  9. M

    Happy Birthday Mandela!

    Acha huyo ndo mwanaume bwaba,mwanaume maamuzi na kujisimamia!Hongera Madiba Mandela kwa kuisogelea miaka ya 90. All the best !
  10. M

    Lady Jay Dee ajibu hoja ya Wakurya!

    Mwacheni jamani dada wa watu mbona mnamsakama sana.Ahsanteni
  11. M

    Msibani kwa balozi daraja jioni hii

    Huyo balozi mbona haonekanii kama ndo mfiwa mwenyewe,yani yeyey yupo kwenye stori tu,Ila nampa pole sana na huyo shamba boy ilikuwaje mpaka amchome mrs.....Balozi kisu jameni au ndo mambo ya kuchoka kufokewa na bosi kila wakati? Naye iko siku yake ataelekea aliko huyo mama,sote tu safarini jamani.
  12. M

    Office space

    Inanikumbusha enzi zileeeeeeeeeee!
  13. M

    Pozi makini

    Biashara ubunifu ndugu!
  14. M

    Dream of becominng a Mzungu

    Kwanini tusiupende utanzania wetu?Mzungu mzungu!Mzunguu kitu gani bwana?huo ni utumwa.
  15. M

    Twanga yawapa motisha wanamuziki wake

    Hayo ndo mambo ya Asha Baraka.
  16. M

    Safari ni safari!

    Safari ni safari. Haya jamani hao ndo kigoma au?
  17. M

    Unyama gani huu?

    huu ndo mwisho wa dunia,unyama umezidi.
  18. M

    Utambulisho

    Habari ndugu zangu wa jamii forum,nami nimeungana nanyi ili tuweze kubadilishana mawazo. Pole na majukumu.
Back
Top Bottom