Search results

  1. shemaghotwe

    YANGA kamili kuifuata KAGERA SUGAR kesho

    Yanga inaondoka kesho asubuhi kwenda Bukoba tayari kwa mchezo dhidi ya Kagera Sugar utakaofanyika Jumamosi. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano cha Yanga, Dismas Ten alisema wachezaji wote wako tayari kwa mchezo huo akiwemo Amissi Tambwe aliyekuwa majeruhi kwa muda mrefu. “Timu imefanya mazoezi...
  2. shemaghotwe

    Manchester United:Tumekuja kivingine msimu huu

    Baada ya kusua sua msimu uliopita hadi kukamata nafasi ya 6 kwenye Ligi ya EPL na kubahatisha kuingia kwenye michuano mikubwa ya Champions League kwa tiketi ya Europa,msimu huu kocha Jose Mourinho hataki kuona mzimu huo ukijirudia.Mwaka huu tunatembeza dozi hatari ili kuhakikisha hatubanduki...
  3. shemaghotwe

    Je, unafikiri ndg. Clement Sanga ataiweza bodi ya ligi Tanzania?

    HIVI karibuni, Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), ilipitisha majina ya wagombea wa mwisho ambao watawania nafasi za uongozi katika Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB). Uchaguzi huo wa Bodi ya Ligi umepangwa kufanyika Oktoba 15, mwaka huu ili kuwapata viongozi wapya...
  4. shemaghotwe

    Kocha na viongozi Simba ni JIPU

    Wanachama kaeni chini muutathmini uongozi wenu...kwani hauna dira wala muelekeo Ni wapiga porojo nyingiii
  5. shemaghotwe

    Ntaipataje software ya window server 2003

    Wadau nimebahatika kusoma short course ya winserver 2003 kama miaka 3 iliyopita,sasa kutokana na nature ya kazi yangu sikuwahi kupata wasaa wa kwenda field au mazoezi yoyote ya jinsi ya kutumia.Kwa sasa nipo hom tu nahitaji nipate mazoezi ili kuongeza ufanisi juu ya program hiyo.Naomba yeyote...
  6. shemaghotwe

    Saa ya mabadiliko inawadia

    Ni miezi,majuma,masiku yamepita na sasa tunahesabu masaa ili Watanzania wakamilishe haki yao ya msingi ya kupiga kura ili kuwachagua viongozi wapya watakaoiongoza Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka mitano. Hatuna budi kumshukuru Mola wetu mlezi kwa kutujaalia uzima kufika hapa tulipo japo...
Back
Top Bottom