Duuu hii kali kisa wamefungwa na YANGA....ndio maana mpira bongo haukuwi.
Yaani huwa mnaona bora timu ifungwe hata mechi 10 lakini ukimfunga mtani tu umesahau mechi zote zilizopita.
Simba imeshinda mechi 6 zilizopita so kufungwa na YANGA ni matokeo ya mchezo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.