Search results

  1. kanuga

    Mtoto wa Darasa la 6 kanishangaza sana

    Mimi namwita mwamba, Mdau ukipenda utambatiza jina upendalo. Nimekutana na huyu dogo akiwa anafua uniform zake za shule midaa hii, kumbe aliziweka tu ndani zikiwa chafu baada ya kufunga shule.
  2. kanuga

    Wasafiri wenzangu mimi nina gundu au?

    Sijawahi kusafiri nikakaa siti moja na mtoto mzuri nimpige mapochopocho au vyumba tamati ya safari. Kila siku nakutana na ngumu nyeusi mnyama Diamond, simba, valeur, konyagi, gongo..
  3. kanuga

    Nawachanganya kama mapenzi ya ukubwani...

    Pole .
  4. kanuga

    Kila naepishana nae kuanzia saa 3:30 usiku na kuendelea Kalewa

    Haijalishi iwe j3 au weekend kila naepishana nae Muda tajwa hapo juu yupo tungi, haidha anayumba, au kashika chupa ya chibuku mkononi au kiroba.... ' utafiti huu nimeufanya kanzia external mpaka ubungo mataaa na umechukua wiki nzima... Nimepishana na walevi 145 mpaka 172 kwa siku...wengi wao ni...
  5. kanuga

    Inakuaje unatumia dawa za kupunguza uzito/unene wakati chanzo cha wewe kunenepa unakijua.

    Kuna wimbi kubwa Sana la matangazo ya dawa za kupunguza unene/uzito kwenye mitandao ya kijamii, na hayo matangazo yanakuja kwa kasi sababu wateja wapo. 'kwanini sasa utumie hayo madawa yenye gharama kubwa na kemikali zenye madhara mwilini. Wakati kinachokuogeza Unene unakijua' ndio mana...
  6. kanuga

    Jitahidi kuwa mstaarabu kwenye daladala

    Naongea na wewe dungadunga.
  7. kanuga

    Naomba kujuzwa kuhusiana na alcohol

    Unakuta pombe ipo kwenye chupa au packet ndogo lakini ina alcohol sawa na ile ambayo ipo kwenye chupa au packet kubwa? Mfano nyagi ndogo ina alcohol sawa na nyagi kubwa" hii imekaaje, pia naomba kujuzwa pombe unapo i dilute kwa kongeza maji unapunguza alcohol?
  8. kanuga

    Short course nzuri ya kusoma ili uweze kujiajiri

    Naomba Masada wanajamvi, Kuna rafiki yangu anataka kusoma short course yoyote ile ambayo itamfanya ajiajiri mwenyewe, lakini isiwe udereva..,nawasilisha kwenu wadau.
  9. kanuga

    Bia ya Eagle imekua mkombozi kwa walevi

    Kwa wale walevi wa bia laini ukiachana na gongo,chibuku,mataputapu, na chan' gaaa , Igo imekua mkombozi wetu , mwendo wa vikombe 3 vya buku tatu upo vizuriiii,.... pesa ishakua ngumu anko magu hoyeeeee
Back
Top Bottom