Tatizo ni pale ambapo viongozi kushindwa kujua dhamana zao kama viongozi na kutafuta huruma ya wananchi wakati wao wanayo nafasi kubwa ya kubadilisha hali ya mambo.
Ni ujinga ujinga tu ambao hauna kichwa wala miguu.
Ila walioanza kumshambulia Alex kwa kejeri haikuwa poa, kama mtu ameweka story kwa nia njema na ameomba (hakulazimisha mtu) mchango kidogo wa mb kwa aliyekuwa nayo shida ni nini hapo, kama hauna ni bora ukae tu kimya au usisome thread yake na usome hicho kitabu chako, kuliko kumshambulia mtu...
Asante mkuu kwa mchango wako, kuna kijitabu cha Stealing fire, nilibahatika kusoma kidogo kinaelezea Psychedelic na transcend consciousness, na hapa umeniongezea kwenye kile kidogo nilichokuwa nafahamu.🙏🙏🙏
Na yule aliyemtandika mwalimu fimbo, je?
Vipi na yule aliye wasukuma ndani...!
Au yule aliye wafunga kwenye vifungashio akawatupa kando kando mwa bahari, ziwa au mto.
Umenena vyema sana🙏🙏 Swala hapa sio kuvaa au kuvua viatu vya mtu, au kuwa na image ya mtu mwingine as long as Yule Ni JPM na huyu ni SSH, cha msingi ni uongozi ambao unafata sheria na kanuni zake, utawala wa kijamii unaozingatia haki ya kila mwana jamii, unaotambua wajibu wake, unaotambua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.