Search results

  1. S

    Msichana wa ndani (Housegirl) anatafutwa

    Bado naendelea na usahili (Interview), hivyo bado nakaribisha maombi.
  2. S

    Msichana wa ndani (Housegirl) anatafutwa

    Bado napokea maombi kabla ya kuyachambua na kupata mtu sahihi. Kwa wale wote mnaojifanya kunifundisha vile mnavyotaka nifanye, NIWAPE TU USHAURI kwamba sikuleta andiko hili hapa kuomba mawazo yenu BALI mimi nimeleta Tangazo la nafasi ya kazi. Kwa msingi huo, ni jukumu la mtu anayehitaji kuona...
  3. S

    Msichana wa ndani (Housegirl) anatafutwa

    ahsante kwa tusi na kila la kheri. kosa sio lako, bali kosa ni upeo wako na malezi uliyopewa.
  4. S

    Msichana wa ndani (Housegirl) anatafutwa

    Inaonekana huelewi nini maana ya matumizi. Kwa mfano ; nikimlipa 150,000 au 200,000 kwa mwezi halafu apange chumba, alipie maji na umeme, anunue chakula, sabuni, alipie usafiri wa kuja kazini na kurudi, akiugua ajilipie, anunue mahitaji ya nyumba kama godoro, kitanda, nk. Hivi, kwa hesabu zako...
  5. S

    Msichana wa ndani (Housegirl) anatafutwa

    Bado napokea maombi.
  6. S

    Msichana wa ndani (Housegirl) anatafutwa

    Msichana wa kazi anatafutwa hapa Dar es Salaam. Anaweza kutoka Mikoani pia, cha msingi awe na nia thabiti ya kufanya kazi zake kwa ufanisi na kwa hiari siku zote bila kushurutishwa. Suala la yeye kuja Dar kama anatoka mkoani linaongeleka na linawezekana. Ningependa awe Mkristo na hasa wa dhehebu...
  7. S

    Rais Magufuli tuokoe, tunakufa njaa Ujerumani

    Ahsante sana kwa hoja yako nzuri.
  8. S

    Rais Magufuli tuokoe, tunakufa njaa Ujerumani

    Nasema tena, ahsanteni wote mliochangia mada hii.
  9. S

    Rais Magufuli tuokoe, tunakufa njaa Ujerumani

    Nawashukuru wote mliochangia hii mada iwe kwa muono chanya au hasi. Hatahivyo, ukweli ni kwamba serikali iliingia hii program kabla ya sisi wahathirika kuingia mkataba huo. Hivyo, ni jukumu la serikali yetu kupitia HESLB na TCU kuhakikisha kwamba tunapata stahiki yetu, kwani initiators wa huu...
  10. S

    Rais Magufuli tuokoe, tunakufa njaa Ujerumani

    ahsante sana mzee kwa ushauri.
  11. S

    Rais Magufuli tuokoe, tunakufa njaa Ujerumani

    Nashindwa kukusaidia, kwani inaelekea huelewi nini maana ya watu kwenda kusoma nje ya nchi moja na wengine kuja kusoma ndani ya nchi nyingine. Kwa ufupi, hii program ilikuwa initiated na serikali yenyewe baada ya kuona umuhimu wa huo utaratibu.
  12. S

    Rais Magufuli tuokoe, tunakufa njaa Ujerumani

    Mh. Rais wangu Mpendwa Dr. Magufuli, Pole na majukumu ya kujenga nchi yetu kutokana na changamoto za kujenga nchi yetu. Pamoja na hayo nataka kuchukua fursa hii baada ya uvumilivu wa mda mrefu kukuelezea masikitiko yetu na jinsi tunavyoteseka sisi wananchi wa Tanzania tunaosoma na kuishi hapa...
  13. S

    Ushauri kuhusu sim card na micro-sd

    Ahsante sana ndugu yangu.
  14. S

    Ushauri kuhusu sim card na micro-sd

    Naomba kuuliza kwa wale wataalam wetu wa mambo ya simu au yeyote mwenye ufahamu naomba anisaidie katika hili. Ninasimu yangu inatumia Micro-SD na nilikuwa naishi nje ya nchi lakini sasa nataka kurejea TZ na kwa msingi huo nitahitaji kutumia laini zetu za kawaida za Voda, Tigo, n.k. Sasa swali...
  15. S

    Rais Magufuli atawaathiri kisaikolojia watendaji wake asipobadilika!

    G Sam Ndugu Watanzania, Leo najitokeza kwenu kwa mara nyingine tena kuwaeleza consequences za maamuzi yetu ya kuipa CCM ushindi katika uchaguzi mkuu uliopita. Sipo hapa kuwakatisha tamaa, lakini naomba tu mjue kwamba kwa maamuzi yetu ya kumchagua Mh. Magufuli kuwa Rais kupitia CCM, basi...
  16. S

    Mdahalo uliondaliwa na TAHLSO wa Kujadili hotuba ya rais Star TV

    Hapana UDASA haijahusika hata kidogo na members wa UDASA wametumiwa tu mwaliko kama watu wengine. Ukumbi wa Nkurumah unakodishwa kwa mtu au Taasisi yoyote ili mradi kusiwe na shughuli inayofanyika hapo kwa siku husika. Kama walivyosema wengine ni kwamba huo mdahalo kuna watu kwenye system wako...
  17. S

    Hizi ni dalili kuwa Rais Magufuli ana mapungufu ya uongozi?

    CCM ni ile ile Ohoo ni ile ile !!!!!, Kikwete ni yule yule Ohoo ni yule yule!!!!!, na Magufuli ni yule yule Ohoo!!!! ni yule yule!!!!!!!
  18. S

    Ni rahisi kuwa Rais wa Tanzania kuliko kuwa baba wa Familia

    Hongera sana kiongozi kwa kuweka ukweli wazi. Huo ndio ukweli. Hakutakuwa na jipya katika utawala wa Magufuli.
Back
Top Bottom