Search results

  1. RORYA79

    Nini tofauti ya kesi ya jinai na kesi zingine?

    Nimekuwa nikisikia kuhusu kesi za jinai, namba mnieleze jinai ni nini? Nini tofauti ya kesi ya jinai na kesi zinezo.
  2. RORYA79

    Rivers United yamsajili Nyimwa Nwagua

    Hana tofauti na John Boko huyo kenge
  3. RORYA79

    House4Sale Nyumba inauzwa Tarime Mjini

    Wateja Karibuni mchukue mjengo huo.
  4. RORYA79

    House4Sale Nyumba inauzwa Tarime Mjini

    Kumbuka mimi ni mmiliki wa nyumba hiyo, wala siyo dalali hapa
  5. RORYA79

    House4Sale Nyumba inauzwa Tarime Mjini

    Bro nashukuru sana kwa offer yako, hongeza hera tufanye biashara kaka!!!
  6. RORYA79

    House4Sale Nyumba inauzwa Tarime Mjini

    Wapendwa wana Tarime, njooni mchukue mjengo huo, ni mjengo wa kiafisa. Bei ni maelewano, piga simu tuzungumze.
  7. RORYA79

    House4Sale Nyumba inauzwa Tarime Mjini

    Lete hela uchukuwe nyumba Yello Masai, umekuwaje wewe?
  8. RORYA79

    House4Sale Nyumba inauzwa Tarime Mjini

    Kwa ajili ya kupangisha familia moja kwani ni nyumba inayojitegemea. Hipo maeneo ya Nkende karibu na shule ya msingi kiongozi.
  9. RORYA79

    House4Sale Nyumba inauzwa Tarime Mjini

    Bei yake ni 50,000,000 maongezi yapo, kumbumbuka mimi ni mwenye nyumba, sio dalali.
  10. RORYA79

    House4Sale Nyumba inauzwa Tarime Mjini

    Ha ha ha haaaah, hatari sana, nashukuru kiongozi
  11. RORYA79

    House4Sale Nyumba inauzwa Tarime Mjini

    Nani kawapa hiyo bei mtaalam?
  12. RORYA79

    House4Sale Nyumba inauzwa Tarime Mjini

    Nani amekupa hiyo bei kiongozi wangu?
  13. RORYA79

    House4Sale Nyumba inauzwa Tarime Mjini

    Sifa: Vyumba 3, kimoja ni master. Sebule kubwa Jiko na stoo yake Choo cha wageni Eneo kubwa na la kutosha, Unalizia rangi, tiles na ceiling board unaaamia. Kwa mawasiliano zaidi: 0767077952 Tazama picha zake hapo chini tafadhari.
  14. RORYA79

    Nyumba inauzwa Tarime Mjini

    Nyumba kali sana inauzwa wilayani Tarime Mji, maeneo ya Nkende shule ya msingi, ina eneo la 25x40, nyumba ni kubwa sana ina vyumba 3 vya kulala na kimoja ni master, dining room, siting room kubwa sana, jiko na choo cha wageni. Nyumba hii inahitaji kumalizia siling board, kupiga rangi na kuweka...
  15. RORYA79

    Bukoba Think Tank Scholarship

    Nadhani wewe hauko salama kiakili, pumbavu zako Sent using Jamii Forums mobile app
  16. RORYA79

    TANZIA Makongoro Mahanga afariki dunia asubuhi ya leo Muhimbili

    R.I.P mak Ongolo Mahanga Sent using Jamii Forums mobile app
  17. RORYA79

    Tetesi: Mshahara wa Machi vipi? Watoto wanahitajika kurudi toka shuleni kwa likizo ya dharura

    Mshahara mpaka tarehe 25/3/2020 Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom