Search results

  1. chloe.obrain

    Ukisikia fumanizi basi ndo hili...

    ahahahhaahaha my ribs lol :becky:
  2. chloe.obrain

    Nahitaji mke

    Ehehehehehee....... umenchekesha sana mkuu.
  3. chloe.obrain

    Uvumilivu unanishinda jamani....

    kuna mahali pa kujishikishia memba???? kwanza memba ndo nn???
  4. chloe.obrain

    Ni hatari kwa mwanaume kuoa mwanamke wa hivi..

    natamani kweli zile enzi zirudi lol! bibi yangu aliwahi kunisimulia hiyo habari yaani ilikuwa ni kufunika vile vifaa vya midungunyuo baaaas, nadhani enzi hizo wanaume walikuwa na uwezo mkubwa wa kuzuia ny.ge zao tofauti na sasa.:A S 39:
  5. chloe.obrain

    Akili za wanawake bwana!

    ahahahahha pmoses95 sawa kaka mukubwa nimekusoma, sitarudia tena. Ila wanawake tuna akili nyingi sana kumbuka Adam na Eva/Hawa, kumbuka Samson na Delillah. Wanaume ishini na wake zenu kwa akili.:shut-mouth:
  6. chloe.obrain

    Akili za wanawake bwana!

    ahahahaaha Yes!!!:smile-big:
  7. chloe.obrain

    Akili za wanawake bwana!

    aahahhahaha nimeipenda hiyo! oeni midume kama wanawake hatuna akili!:high5:
  8. chloe.obrain

    Huu ni zaidi ya mkosi, wanaume nimewanyooshea mikono juu!

    ushauri wake upo sahihi sana tu, siwezi kumwamini mwanaume hata anipe kitu gani never!!
  9. chloe.obrain

    Nawapenda Wanaume Wa Kisukuma

    ni kweli aisee wanaume wa kisukuma wako poa sana!! ila wa kibena(hehe) mmmh!! kaazi kweli kweli
  10. chloe.obrain

    Wafufua maiti na kuitembeza mitaani

    Chinekeee!!!! Wonders shall never end ooooh!!
  11. chloe.obrain

    Fangasi ya Ubongo

    Nilisikia hii habari msibani watu wakiongea pembeni, yawezekana kuna kaukweli.
  12. chloe.obrain

    Fangasi ya Ubongo

    ndo kisababishi cha huo ugonjwa au? mmhh!!!
  13. chloe.obrain

    Fangasi ya Ubongo

    I don't know Fidel80, ni mdada hata hivyo, may be alikuwa anapenda kulamba koni.:becky:
  14. chloe.obrain

    Fangasi ya Ubongo

    Habari wadau, Naomba kufahamishwa kuhusu huu ugonjwa, unatokana na nini dalili zake n.k Kuna my friend kafariki juzi (R.I.P buddy) alkwenda hsptl akaambiwa ana fangasi ya ubongo coz alikuwa anaumwa kichwa sana, ila walimwambia ameiwahi na angepona lakini haikuwa hivyo.
  15. chloe.obrain

    Wana Rorya amkeni na kuukataa umafia wa Lameck Airo

    No matter what he is doing, awe jambazi awe mwema Mungu ndo anajua. Ninachoweza kusema ni asante sana Lameck Airo umenisaida saaana kwa kunisomesha baada ya kuachwa yatima, na si mimi tu najua tupo wengi ulotusomesha kabla hata hujawa mbunge. Mungu akubariki kwa hilo, sasa nna kazi nzuri na...
  16. chloe.obrain

    Hili ni darasa huru, kuchuja penzi halisi na mazoea

    Asante kwa somo zuri ndugu MziziMkavu
  17. chloe.obrain

    Ujue ugonjwa hatari wa ebola

    Thanks kwa elimu hii nzuri, but nilikuwa Kagera kipindi fulani wakati ugonjwa huu ukisemekana kutokea Uganda, na watu walikuwa wanasema kwamba kuna kabila fulani huko ndani ndani kwenye vijiji vya uganda huwa wanapenda kula nyani na ndo wanapata huu ugonjwa sijui ni kweli. Ni hatari na...
  18. chloe.obrain

    wanawake siyo.

    Even your mother is the devil. Acha kugeneralize wewe!:angry: Read this short story · Mume na mkewe waligombana wakiwa safarini ndani ya gari lao. Ugomvi ulipozidi mume akapandwa na hasira akasema,"Wanawake wote ni punda tu!! Mke akanyamaza. ... Wakati wakiendelea na safari wakaona...
Back
Top Bottom