Search results

  1. Bon

    Je, Tanzania zipo Boards za Architecture?

    Sheria za hizi professions kama architecture n.a. law. Zinalimits advertisements. Unaruhusiwa kujitangaza Kwa njia ya kuelimisha jamii. Kazi zako ndo advertisement.
  2. Bon

    Je, Tanzania zipo Boards za Architecture?

    Www.spacearchitects.co.tz EA. Visit our website to see our works. Karibu kama una kazi . 0754542940
  3. Bon

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Please add me to. 0754542940 nataka kujifunza.
  4. Bon

    Hili tangazo la NMB la Magufuli lipigwe stop

    Mkuu amefifisha ushindani wa kibiashara katika nyanja mbali mbali. Angalia ujenzi wamepewa TBA, angalia usafirishaji, wamepewa jeshi, angalia insurance wamepewa NIC. Hii ya kuingia sekta ya bank ni mwendelezo, yeye angependa kazi zote zifanywe na Serikali, hataki mambo ya sector Binafsi...
  5. Bon

    Kusaga aja na stesheni mpya ya redio

    BBC Itahamia wapi kama 103.3 Channel itachukuliwa na Clouds?
  6. Bon

    Hatimaye ndege ya pili ya ATCL yatua JNIA

    Hivi hawa Rwanda. Hizi pesa wanazitoa Wapi. Naona taratibu Kenya Airways inapotezwa.
  7. Bon

    Meya azindua ukarabati na uchongaji wa barabara Manispa ya Kinondoni

    Maeneo yako mengi. Greda moja halitoshi. Waongeze mengine.
  8. Bon

    Ujenzi wa barabara Tegeta - Mwenge: Akili ndogo ilitumika

    Kwa mnaji huu Tegeta soon itakuwa kama Kimara. Barabara mbili zishazidiwa tayari, sasa wakija kuondoa moja ili itumike kwa magari yaendayo kasi foleni itakuwaje. Tuseme ukweli, ni asilimia chache ya wamiliki wa magari binafsi watakubali kuacha kutumia magari binafsi na kutumia mabasi yaendayo...
  9. Bon

    Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    Naona sababu zake si za kweli, kuna sababu zaidi ya hiyo hajaisema. Kama alishiriki kumkaribisha Lowasa UKAWA kwa nini leo dhamira ndo imsute, ? huko nyuma dhamira ilikuwa imekufa? Nadhani huenda ameona siasa haimlipi au alitegemea ateuliwe na UKAWA Kuwa mgombea na alitegemea safri hii kwa...
  10. Bon

    Napenda kunusa kufuri la mke wangu

    Mkuu tatizo lako ni kubwa na ni maPepo, unahitaji kuombewa. ukitaka kujua kama ni mapepo angalia channel za TB Joshua wa Nigeria, story za watu ni kama zako, Tafuta kanisa la Mchungaji Katunzi atakusaidia.
  11. Bon

    Baada ya Jaji Augustino Ramadhani kukana kiapo chake, Kanisa la Anglicana TZ litoe ufafanuzi

    Interesting: Tony Blair alihama Catholic kwenda Anglican kwa ajili ya uongozi, baada ya kumaliza uongozi wake akarudi tena Catholic, Haitakuwa mara ya kwanza kwa mwanasiasa kuacha mambo ya kiimani kisa uongozi Kuna hoja hapa kwanini alihama. hebu fafanua, ili wapinzani wafunge midomo
  12. Bon

    Nimemtafutia kazi sasa anakataa kutoa penzi kwa bosi, mimi nimfanyeje?

    Aise. sijawahi sikia, ni mara ya kwanza kusikia kituko hiki, kaka mtu unamshauri dada yako kufanya uchafu huo? Mshauri dada yako aweke mtego aende polisi waweke mtego wamnase huyo mchafuzi . Ofisini kwangu niliajiri secretary wa kike, nilimsoma mawazo yake alitegemea mimi nimwambie uppuzi huo...
  13. Bon

    Nimewahi kuwa changudoa, nimjulishe?

    Pole sana dada, Amua kuokoka, biblia inasema, ukiokoka unakuwa kiumbe kipya, ya kale yanapita. huyo mchumba usimwambie, muombe Mungu hekima kama ungependa ajue bila ya kuharibu uhusiano wenu. Mungu atakupa hekima, hasa kama umebadilika kwa dhati. Yesu atakuweka huru na hilo doa maishani...
  14. Bon

    I am in love with my brother

    You need deliverance. nenda kanisa lolote la Kipentecoste au Assemblies uombewe, haipo duniani. Biblia inasema wazi wazi kuwa ni laana. Huwezi kubaldili hilo.
  15. Bon

    Burundi President rejects International call to delay elections

    I think he (President Nkurunziza) has a point, amekuwa rais wa kuchaguliwa kwa kipindi kimoja, aachwe amaliziee muda wake. kabla ya kumhukumu, tungejua katiba inasemaje.
  16. Bon

    Ushauri tafadhali, mchumba akataliwa ukweni

    Msichana asiolewe na mtu kwa sababu anamuonea huruma, ni kosa sana. Kama anampenda kwa dhati Mungu atafanya njia. Kama anweza asubiri hasira za wazazi zipungue kisha watafutwe wenye hekima walijadili na kulimaliza. Ila si vibaya kama atatafuta mwingine kuliko kuolewa na mtu just because...
  17. Bon

    Kurekebisha jina kwenye cheti cha kuzaliwa!

    Nenda RITA, Nilikuwa na tatizo kama lako wakanissidia.
  18. Bon

    Tanzania dreams big with port project at former slave harbour... seen as JK port legacy project

    This seems a Kenyan. Why both with our country? You haven't done with yours. Please stay far from us. We shall handle it.
  19. Bon

    Mtikila azuia Muswada wa Mahakama ya Kadhi Kujadiliwa

    Hongera Mtikila,Mungu akupe Maisha marefu kuhakikisha Hili halipiti.
Back
Top Bottom