Search results

  1. Sonkoh

    ⚠️Taa ya check engine inawaka na gari inakosa nguvu , msaada !

    mkuu hii inatokea kwene gari yangu nayo.... imeanza juzi, ni corona! samahani, ukifanikiwa kutatua tatizo lako na tatizo hili linaweza kuwa nini?
  2. Sonkoh

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mimi nipo Arusha.... mradi wa umeme wa REA umepita ktk mtaa wetu na baadhi ya watu wameshafungiwa ila wengine bado! leo tunapata ujumbe wa sms kujulishwa kulipia gharama za umeme lakini ajabu gharama ni sh 177,000! je; za nini wakati umeme wa rea tunaambiwa ni sh 27,000????
  3. Sonkoh

    Hivi mwanamke unavyomwambia hivi Mwanaume"__" kweli inawezekana?

    Heshimu ndoa yako na Linda ndoa yako.... Heshimu kazi yako pia na Linda mipaka ya kazi yako!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Sonkoh

    Twiga kwenye forker

    Twiga wa juu ana mimba... Atazaa Fokker nyingine- mchoraji kajiongeza!!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Sonkoh

    Kuna wizi mpya wa pikipiki bodaboda tuwe makini

    Mmmh mtu humjui hakujui .... Napata shaka na deiwaka. Kajiongeza na piki piki ya watu na story fake ya wizi! Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Sonkoh

    TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

    Mungu ailaze roho yake mahala pema... RIP Mr Ruge!!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Sonkoh

    Sakata la Wachimba Visima KM Mkumbo bado hajaeleweka kabisa!

    Ni wazi kuwa ni jukumu la serikali kuhakikisha upatikanji wa maji safi na salama... Kama kero ya maji ni fursa, nchi yetu pendwa imebarikiwa vyanzo vingi vya maji. Wajiongeze na wachimbe visima na kusambaza maji kila pembe ya nchi hii!!!
  8. Sonkoh

    Sakata la Wachimba Visima KM Mkumbo bado hajaeleweka kabisa!

    Nn mantiki ya hizi tozo??? Serikali ifanye busara kutambua umuhimu wa maji na tabu ya wananchi bila maji... Serikali yetu ni ya wanyonge! Serikali inatakiwa kuboresha miundo mbinu ya upatikanaji wa maji na si tozo ambazo si rafiki ata kidogo ukizingatia maji ni UHAI.
  9. Sonkoh

    Je, ndoa hii nani mkosaji?

    Pole mkuu... Hayo ni matokeo ya jitihada zako za kushindwa kuwa mkweli kwa nafsi yako mwenyewe! Uliamini hisia zaidi kuliko ukweli unaopingana na uhalisia na apo ndipo ulipoteleza na kuanguka mazima... Ushauri;- achana na huyo mwanamke mara moja na anza maisha upya!
  10. Sonkoh

    Mi natoa ONYO: Kuna Member wa Humu JF ana mahusiano na mchumba wangu. Tusije Kulaumiana Bure

    Pole sana ndugu.... Maneno yako yanaakisi maumivu na uchungu wa hasira ulionao lkn hakuna sababu ya ww kwa kupaniki na kuwa mkali kiasi hicho! Shukuru Mungu umejua hupendezwi na tabia za mchumba wako. Usiwaze kuhusu gharama coz ulihudumia kwa upendo na kwa mapenzi yako mwenyewe! Najua unampenda...
  11. Sonkoh

    Pressure ya macho ndio nini ?

    Kwa kifupi;- Pressure ya macho ni moja ya magonjwa ya macho inayosababisha upofu... Kitaalam inaitwa GLAUCOMA lkn kiswahili chake chepesi ni shinikizo la jicho! Ugonjwa huu huathiri seli za macho zinahusiana na kuona na kusababisha upofu. Seli hizi huaribika kutokana na mgandamizo ndani ya jicho...
  12. Sonkoh

    Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu ajivua Ubunge; ajitoa CCM na kuomba kujiunga CHADEMA

    Maamuzi magumu na ya busara kwa maslahi ya siasa safi na maendeleo kwa nchi.... Big up Mh. Nyalandu!!!!
  13. Sonkoh

    Wanawake: Mnafanya makosa wenyewe mkiachwa mnalialia

    Ebana dah Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Sonkoh

    Misemo kutokana na Vichwa vya Treni

    [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  15. Sonkoh

    Nahisi hili jitu linachukua msichana wangu

    Kwa maelezo yako.... Hao wana mahusiono mengine ya ziada ambayo si rafiki kwako!!! Viashiria vyote hivyo viwe chachu kwako- ujiongeze msimamo na ufanye maamuzi ya busara!!!
  16. Sonkoh

    Nilipata mpenzi, kumbe mke wa mtu. Alinidanganya mumewe alifariki kumbe yupo hai

    Poleni sana kwa kilichowatokea.... Kama sijakuelewa vizuri sioni 7bu ya kumlaumu na kumhukumu mwenzio kwa kiasi hicho!!! Changamoto apa ni mazingira.... Kaaeni chini wote mzungumze na mjue ni jinsi gani mtatatua changamoto iliyo mbele yenu!!!
  17. Sonkoh

    Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    Daudi kakosea sana kumgusa home boi....
  18. Sonkoh

    Je, Ni sahihi mke wa mtu kuletewa chips na mpangaji mwenzio mwanaume ambaye hajaoa?

    Amkanye mkewe kabla ya yote... Asiposikia ajiongezee maana kuhama mtaa si suluhisho!!!!
Back
Top Bottom