Kuku wa kienyeji , siamini Kama lawama ndio inajenga , nimetumia neno badilisha , lakini akili zilivyodumaa kwa lawama ndio maana hatuendelei , na akili yako ni Kama ya Kuku maana umeshindwa kusoma
Je ni busara kuendeleza uzembe unaosababisha vifo vya raia ; miundombinu duni , Madereva wasio na elimu wala uzoefu , Magari mabovu ; je nani abebe Mzigo wa kubadilisha
Hawa israel , kiboko Yao alikua sadam sasa wangojee mwengine kule Libya , itemi gani unapigana na watoto nA wanawake , cowards Hawa na ndio maana mr Adolf aliwajua mapema , very bad people
If you lay with another man whilst having a husband then you are not worth it and you don't deserve to be a priority , very cheap indeed , corrupted mind by copulation
Uti hahusiani kabisa na harufu mbaya , hiyo harufu ilitokana na gum disease ambayo incause fizi kublead kwa hiyo ile damu ikikauka inatioa harufu mbaya na amepona mtoto probably ya zile antibiotic , be careful some drs get careless
That is just a sentence and has no substance , please verify and you don't even know what you want anymore , tell me what Hawa majajambazi wakitoka wewe utawaleta malaika kutoka wapi ?
And as for hypo Madava , I think your the level of your education is in question , JF is place for intellect , come up with points not irrelevant remarks , I hope you understand
Ccm is not only responsible for independence but also maintaining stability in this country , your motion is one of distraction , of which for blind eye is desirable. We should concentrate on how we are going to improve lives rather than finding ways of destroying our peace for political gains ...
Chandema haiwezi kujitawala , je itaweza kutawala , afadhali cafu imejiyahidi kidogo lakini chandema ! Bado sana labda they should come with something different now labda chachumvi au chamuhogo au chachochote ila chandema safari sio ndefu tu ila ni Ngumu , poleni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.