Search results

  1. S

    Wana CCM hivi hamjaua kama Watanzania wameichoka CCM?

    Kwa hali iliyopo sasa hivi ni dhahiri kuwa watanzania waliowengi wamekichoka chama tawala chama cha mapinduzi CCM. kuchokwa/kuchukiwa kwa ccm kumetokana na viongozi mbalimbali wabunge,mawaziri hadi juu kabisa kushindwa kutekeleza ahadi walizoahidi kwa wananchi,pia kutete uovu,kupitisha...
  2. S

    CCM Mbinga kwawaka moto wa wenyewe kwa wenyewe

    ni vurugu ktk ofisi ya chama cha mapinduzi ccm vurugu hizi zinatokana na watia nia ambao ni gaudence kayombo ambaye ameshindwa dhidi ya bw msuha kwa jimbo la mbinga vijijini. wakati jimbo la mbinga mjini kuna vurugu kati ya sixtus mapunda dhidi bwana mbunda,,nipo live ofisi ofisi ya ccm ambapo...
  3. S

    Naziona dalili za CCM kutoka madarakani kwa shinikizo la UN

    Dalili za chama tawala ccm zimeanza kujionyesha wazi. wananchi waliowengi wazee kwa vijana wanaapa kutoipigia kura ccm kutokana na kushindwa kuongoza taifa hili na hasa maisha kuzidi kupanda kila kukicha..ikiwa uchaguzi utafanyika october 2015 ni wazi ccm itatolewa kwa knockout na...
  4. S

    kwa nini ACT inaandaa mazingira ya ushindi wa CCM?

    Mpinge mkate au mgome ukweli ni huo kwamba ccm imekaa na kuona imechafuka nchi nzima hata nje ya nchi-wakakaaa na kujadili watauzimaje moto wa UKAWA? wakaona wamchukue msaka tonge zzk ili atumike kama pe€$d<>i ili kuisaidia ccm isidondoke. lengo la ccm likiwa ni kuwagawa wapiga kura ambao...
  5. S

    ACT ni chama kipya sera za kizamani, hakuna jipya

    Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana chama hiki kipya cha ACT ili kujua kama kuna sera mpya tofauti na vyama vingine vya siasa..Ki ukweli hakuna kitu kipya ndani ya ACT ni ujanja ujanja tu fulani, bla bla tu za hapa na pale. Sera za ACT ni za kuungaunga tu hazioneshi chama hiki kina malengo...
  6. S

    ACT-Imepokea wanachama wangapi toka vya vingine vya siasa waliokabidhi kadi?

    Tangu zzk aanze ziara ya kukinadi chama chake kipya cha ACT kumekuwa na kelele mara hooo mkutano ulifurika watu mara hoooo watu wamevichoka vyama vingine vya siasa na ndio maana wanajaa kwenye mikutano ya act. Kujaa watu sio hoja je ni watu wangapi waliorudisha kadi zavyama vingine na kujiunga...
  7. S

    Rasmu ya Katiba ya jaji Warioba v/s Katiba inayopendekezwa

    Katiba inayopendekezwa tayari iko mtaani kwa wananchi ili tuisome hatimaye tuje tuipigie kura. binafsi sijailewa kabisa vitu vingi havijawekwa wazi..lakini iliyokuwa rasmu ya jaji warioba ile ilikuwa inaeleweka sana mambo mengi yaliwekwa wazi hasa maoni ya sisi wananchi..lakini kwenye hii katiba...
  8. S

    UWT-CCM Mbinga, Wamejipanga kupora Uwanja

    Uwanja huo ni mali halali ya kikundi cha akina mama kinachojulikana kwa jina la IMANI YA AKINA MAMA na hati wanayo. uwanja huo upo Mbinga mjini eneo la tank la maji mkabala na shule ya Makita High School..wamama hao walinunua uwanja huo takriban miaka 10 iliyopita..UWT wamepanga kufanya uharamia...
  9. S

    Je kujiuzuru yatosha?

    Kumekuwa na utamaduni wa viongozi wengi wa umma wanapopatikana na hatia mbalimbali ikiwemo ya ufisadi,kutumia vibaya madaraka,wizi n.k wamekuwa wakijiuzuru (kujiwajibisha). Swali langu ni:-1. Mali alizoiba zinarudishwaje? 2. Kwa nini hawashitakiwi au kufilisiwa mali zao? 3.dawa ya tatizo hili ni...
  10. S

    NSSF inatumika kisiasa? kwa nini yafanyike haya mwaka wa uchaguzi?

    NSSF wanapita nyumba kwa nyumba mtaa kwa mtaa wakisema wanaandikisha wazee,wasiojiweza,na familia masikini kwa ajili ya kuwapa misaada(kuwasaidia) Lakini wanaopita kuandikisha ni makada na viongozi wa CCM. SWALI kwa nini wafanye haya mwaka wa uchaguzi? miaka iliyopita mlikuwa wapi?
  11. S

    Yuko wapi mhe. Samwel Sitta mbona kimya sana

    Tangu kipindi cha mchakato wa katiba mpya ulipoisha pale Bungeni Dodoma mhe.Samwe Sitta amekuwa kimya sana yuko wapi?.Iko wapi ile nguvu aliyoionyesha mh huyu pale Bungeni kwenye ule mchakato wa katiba mpya uliozaa Katiba FAKE (pendekezwa)?
  12. S

    2015 Walimu,Madaktari nk kulipwa madai yao yote.

    2015 huu ni mwaka wa uchaguzi wa viongozi ngazi za Madiwani,Wabunge na Rais.umeshafika ule muda wa danganya toto kuwarubuni walimu na watumishi wengine wanaoidai Serikali ya CCM kuwalipa japo nusu ya madai ili wawe na imani kuwa watalipwa. pia wawatumie kundikisha/kusimamia uchaguzi hatimaye...
  13. S

    CCM Mbinga wafanya sherehe ya ushindi

    CCM wanafanya sherehe kufurahia ushindi walioupata ktk uchaguzi wa S/mitaa. Sasa hivi wapo kwenye hekaheka wanazunguka mji mzima kukodi magari ili yakawabebe watu kutoka sehemu mbalimbali..CCM hapa Mbinga mjini imeshinda 99% CHADEMA imeshinda kitongoji ki 1 tu cha Mlandizi.
  14. S

    CHADEMA Wakichukua Nchi tujiandae kuyaona haya.

    1.Mafisadi kufa kwa BP kutokana na kesi za uhujumu uchumi. 2.Watawala wengi watakwenda the Hegue kwa mashitaka ya kisiasa 3.wengi watatumia pesa walizowaibia wananchi kujilinda pamoja na kukodi vikundi vya kigaidi. 4.Wengi wataihama Tz na kwenda kuishi aliko D.Balali...
  15. S

    Kada maarufu wa CCM Andoya Mbunda amefariki ghafla

    Kada huyu amefariki ghafla leo asubuhi katika Hospital ya (W) Mbuyula alikoenda kutibiwa asubuhi ya leo. Ameacha miradi kibao mf alianzisha mradi wa kusambaza umeme vijijini ambako alishafikisha umeme maeneo ya vijiji kama vi3 kwa mkopo wa Benk ya dunia ambapo alikopeshwa zaidi ya 100+ bil na...
  16. S

    Mkurugenzi H/mashauri ya Mbinga atenga Tsh 6 mil Kuwarubuni wapinzani

    Hali ya ccm Mbinga ni mbaya sana baada ya wagombea kutoka vyama vinavyounda UKAWA kufanya kampeni za moto mtaa kwa mtaa na kufanya ccm washindwe kupumua kwa sababu UKAWA wamesimamisha mgombea kila mtaa. Baada ya kuona hali ni mbaya Mkurugenzi ametenga Tsh 6 mil ili kujaribu kuwarubuni wagombea...
  17. S

    Waraka wa hatari kwa MB KAYOMBO wasambazwa mitaani Mbinga usiku huu...

    Kuna karatasi kibao zimesambazwa zikimtuhumu MBUNGE KAYOMBO kushindwa kuwashugulikia Mkurugenzi Hussein Ngaga, Mkuu wa wilaya Siya Senyi Ngaga, Afisa usalama Benson Eyembe kwa ufisadi wa fedha za halmashauri ya mbinga. Waraka umeeleza mambo meeengi lakini kubwa ni kusababisha ajali ya tume...
  18. S

    Ni kweli pesa zinazotumika kwenye NIPIGE TAFU ya Vodacom ni za Lowasa?

    Ni muda mrefu sasa kauli hii nimekuwa nikiisikia watu wakisema kuwa huduma ya nipige tafu ya mtandao wa mawasiliano wa Vodacom ni huduma ambayo pesa zinazotumika kwenye huduma hii ni za Edward Lowasa, Kama unaujua ukweli juu ya jambo hili tujuze.
  19. S

    Tupige hesabu ni Tsh ngapi tumeibiwa watz na hizi kampuni feki

    Ndg zangu watanzania kwa wale wenye takwimu kamili za kiasi cha fedha kilichoibiwa na makampuni haya ya kifisadi, tuyaweke humu JF ili watz wengi tujue mali tuliyoibiwa. 1.Richmond 2.Kagoda 3.Meremeta 4.Iptl 5.Escrow ...Endeleza unayoyajua.....Nyoka akiingia ndani si kuhama nyumba ni kuua...
  20. S

    Mbunge wa Mbinga Mh Gaudence Kayombo azomewa/afukuzwa asifanye mktano

    Mbunge huyu alipatwa na maswaibu haya wiki hii alipojaribu kwenda kwa wananchi kuongea nao kupitia mikutano ya hadhara.Upepo huu mbaya ulianzia ktk kata aliyozaliwa ya LWANDA na kata ya KITANDA ktk Kijiji cha MASIMELI ambapo wananchi walimzomea wakisema hawataki kumsikiliza coz miaka minne...
Back
Top Bottom