kwa nini ACT inaandaa mazingira ya ushindi wa CCM?

SUNGURA-MJANJA

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
200
Reaction score
33
Mpinge mkate au mgome ukweli ni huo kwamba ccm imekaa na kuona imechafuka nchi nzima hata nje ya nchi-wakakaaa na kujadili watauzimaje moto wa UKAWA? wakaona wamchukue msaka tonge zzk ili atumike kama pe€$d<>i ili kuisaidia ccm isidondoke. lengo la ccm likiwa ni kuwagawa wapiga kura ambao wangepigia kura ukawa waipigie act iliukawa wapate kura chache. bahati mbaya sana wamechelewa watz wa leo sio wale wa ndiyooooo act ni ccm b
 
lakin kuna watu watakipigia kura chama cha wasaliti kweli? au ndo yaleyale kuwa mmemfukuza kwa kuogopa kunyanganywa vyeo then mnaanza kuhaha na impact yake kwenye uchaguz. Wambien wananchi wasikipigie kura chama chake kwa kuwa ni cha wasaliti. Mkishindwa basi achen kulialia ovyo Bali mjutie ujinga wenu uliowatuma kumfukuza.Sisi bado tunamhitaji
 
Si ni chama cha wasaliti?, mnaogopa nini sasa, waambieni wananchi wawapigieni Ukawa kura. au na wananchi nao wakiipigia kura ACT watakuwa wasaliti?
 
Acheni ushabiki mav, hizi habari kuhusu Zitto, kweli tumezichoka! Tunataka habari kuhusu UKAWA wamejipanga vp.
 
Mpinge mkate au mgome ukweli ni huo kwamba ccm imekaa na kuona imyechafuka nchi nzima hata nje ya nchi-wakakaaa na kujadili watauzimaje moto wa UKAWA? wakaona wamchukue msaka tonge zzk ili atumike kama pe€$d<>i ili kuisaidia ccm isidondoke. lengo la ccm likiwa ni kuwagawa wapiga kura ambao wangepigia kura ukawa waipigie act iliukawa wapate kura chache. bahati mbaya sana wamechelewa watz wa leo sio wale wa ndiyooooo act ni ccm b

Nataka kurudi Chadema mara baada ya .....

Nitayaamini maneno yanayotolewa na wanachadema siku siku haya maswali yakipatiwa majawabu

Natamani sana kuwa Kamanda lakini haya yananitatanisha,naombeni majibu ili nifanye maamuzi magumu.

1.Walituambia kuwa chama cha wananchi CUF ni tawi la ccm,wakaenda mbali kwa kuwaita kuwa ni chama cha Mashoga ghafla wakasahau matusi yao na wakaanza mashirikiano Mapya,Je ile tuhuma iliishia wapi?

2.Chadema walituaminisha kuwa Chama cha NCCR mageuzi kimejaa Usalama wa Taifa,wakaenda mbali wakamkejeli Mbatia, tena ndani ya Bunge kuwa,yupo Upinzani huku akiitumikia ccm,ghafla tu Mbatia ni Mshirika namba Mbili wa Ukawa bila watanzania kuelezwa kama zile tuhuma zilikuwa za kweli au za kutunga kwa nia ya kuwalaghai watu.

3.Chadema kwenye Ilani yake 2010 walituambia kuwa tukiwachagua hawatachukua posho kama hatua mojawapo ya kuonyesha kwa vitendo kuchukizwa na matumizi mabaya ya serikali.Je Kwanini wamekiuka Ilani yao?

4.Chadema Mwaka 2011 walikataa kushirikiana na vyama vya Upinzani ili kuunda kambi ya Upinzani yenye sauti na nguvu,wakatuambia kuwa Vyama vyote ni mawakala wa ccm isipokuwa Chadema,hivyo kushirikiana nao ni kurudisha nyuma harakati za ukombozi,ghafla tu baraza kivuli la mawaziri likavunjwa na wale vibaraka wa ccm wakaingizwa kwenye kambi ya upinzani bila sisi wafuasi kuambiwa ni lini ukibaraka wao umeisha mpaka wakaaminiwa.

5.Tuliambiwa kuwa David Kafulila ni mtu hatari kwa ustawi wa Upinzani hasa Chadema,tukaambiwa ni Sisimizi ambae hana umuhimu wowote ndani ya Chadema ,ghafla tu Sisimizi kageuka tembo,Mtu hatari kageuka Shujaa na sasa ananadiwa na viongozi wa Chadema kuwa ukawa imepata tuzo,Je ni lini kafulila alianza kuaminiwa ?

6.Tuliambiwa tena kuwa ,Serikali kutumia mashangingi huku Zahanati hazina dawa ni kiwango cha juu cha Ubinafsi,Mbowe akalikataa Shangingi la Kiongozi wa Upinzani....ghafla nimemuona Bukoba akiwa na Shangingi lenye maandishi KUB. Je ndio lilelile alilolikataa hadharani au ni lingine?

7.Mbowe alituahidi kwenda mahakamani,na kudai kuwa wanasheria wake wanaandaa mashtaka dhidi ya Zitto Kabwe baada ya Zitto kumtuhumu kuwa alipokea fedha toka kwa makada wa ccm na kuwa alicheza dili ns Kinana kuhusu deni analodaiwa na NSSF.Je taratibu za ufunguaji kesi ziliishia wapi ?

8. Chadema Mwaka 2011 ilitangazia Umma kutomtambua Rais Kikwete kwakuwa alishindwa na Slaa,ghafla wanatangaza kuomba mashauriano na Rais waliemkataa,wakafika Ikulu kujadiliana juu ya maswala mbalimbali ya Kitaifa,wakanywa Juice na kupiga picha,Je ni lini Chadema ilianza kumtambua Rais na kwanini sisi wananchi hatukuelezwa kuwa kuanzia sasa Kikwete ni Rais?
Sina nia ya kuibua Marumbano yasiyotujenga bali nataka mtu mwenye uelewa mkubwa kuliko mimi anaondoe Uvulivuli ili nami nijitambue.

Naomba nijibiwe hayo ili nami niwe Kamanda nitakaeitetea Chadema popote.

Hayo Majawabu yakipatikana,ndio utakuwa mwisho wa Chama cha ACT-Wazalendo maana umma utaiamini Chadema na hivyo kuiunga mkono.

Kama Maswali yakikosa Majibu basi Chadema itakosa uhalali wa kutuhumu ACT-Wazalendo na viongozi wake na hivyo wananchi wataendelea kujiunga na ACT-Wazalendo kwa kuamini kuwa maneno yoyote yanayotolewa na Chadema ni Ulaghai.

Karibuni kwa majibu Makamanda ili nasi tupate chakuwaambia wananchi ili waipuuze ACT-Wazalendo.
 
Kama ni kweli chadema sio ccm B jibuni kwanza hayo majibu. Msikimbilie kutukana tukana mnakidharilisha icho kikundi chenu

Siasa ni mchezo wa wakati na fursa...Ni mchezo ambao hauna adui wala rafiki wa kudumu...
Muda uthibitisha umuhimu wa mtu... muda umfanya mtu ajifunze kuaminika na kukubalika... Kwenye siasa ukikurupuka unajionea mwenyewe...

Muda ni mwalimu mzuri sana...na nadhani matukio mbali mbali ulotaja kupitia kwayo CDM wamejifunza..Na wale walopata misukosuko nao wamejifunza umuhimu wa uvumilivu, kuaminika na kukubalika...

Tatizo la Zitto na ACT yake hawajui kucheza na wakati...wanafanya unafiki wa kijinga sana...

Sidhani kama ACT itafika mbali sana baada ya uchaguzi... Zitto anafuata kila hatua aliyopitia Mrema A. Lyatonga kabla ya kifo chake kisiasa...!!
 
Mpinge mkate au mgome ukweli ni huo kwamba ccm imekaa na kuona imechafuka nchi nzima hata nje ya nchi-wakakaaa na kujadili watauzimaje moto wa UKAWA? wakaona wamchukue msaka tonge zzk ili atumike kama pe€$d<>i ili kuisaidia ccm isidondoke. lengo la ccm likiwa ni kuwagawa wapiga kura ambao wangepigia kura ukawa waipigie act iliukawa wapate kura chache. bahati mbaya sana wamechelewa watz wa leo sio wale wa ndiyooooo act ni ccm b

ukawa kimeanzishwa lini? mgogoro wa zito na cdm umeanza lini? unakumbuka zito alitahazarisha akifukuzwa cdm kunathari chama kitapata? nani aliye chukuwa tahadhali hiyo? je cdm hawakuona jambo lakumfukuza zito lisubiliwe hadi uchaguzi upite? unaushahidi gani zito anatumika na ccm? huoni mbowe na ukawa ndio marafiki wa ccm kupitia cuf ni ccm b. na nccr mageuzi mbatia kapewa ubunge na mwenyekiti wa ccm? nani hapo anatumika na ccm?
 
lakin kuna watu watakipigia kura chama cha wasaliti kweli? au ndo yaleyale kuwa mmemfukuza kwa kuogopa kunyanganywa vyeo then mnaanza kuhaha na impact yake kwenye uchaguz. Wambien wananchi wasikipigie kura chama chake kwa kuwa ni cha wasaliti. Mkishindwa basi achen kulialia ovyo Bali mjutie ujinga wenu uliowatuma kumfukuza.Sisi bado tunamhitaji

Act ni sawa na udp,tlp umd na vyama vingine tu ambavyo ni wasindikizaji
 
Si ni chama cha wasaliti?, mnaogopa nini sasa, waambieni wananchi wawapigieni Ukawa kura. au na wananchi nao wakiipigia kura ACT watakuwa wasaliti?
Hakuna wa kuwapigia kura zaidi ya familia zao na wasaka tonge
 
ukawa kimeanzishwa lini? mgogoro wa zito na cdm umeanza lini? unakumbuka zito alitahazarisha akifukuzwa cdm kunathari chama kitapata? nani aliye chukuwa tahadhali hiyo? je cdm hawakuona jambo lakumfukuza zito lisubiliwe hadi uchaguzi upite? unaushahidi gani zito anatumika na ccm? huoni mbowe na ukawa ndio marafiki wa ccm kupitia cuf ni ccm b. na nccr mageuzi mbatia kapewa ubunge na mwenyekiti wa ccm? nani hapo anatumika na ccm?

Hata kama utaongea hadi ulimi uchomoke mdomoni,act ni ccm b.
 
Kama ni kweli chadema sio ccm B jibuni kwanza hayo majibu. Msikimbilie kutukana tukana mnakidharilisha icho kikundi chenu

Nataka kurudi Chadema mara baada ya .....

Nitayaamini maneno yanayotolewa na wanachadema siku siku haya maswali yakipatiwa majawabu

Natamani sana kuwa Kamanda lakini haya yananitatanisha,naombeni majibu ili nifanye maamuzi magumu.

1.Walituambia kuwa chama cha wananchi CUF ni tawi la ccm,wakaenda mbali kwa kuwaita kuwa ni chama cha Mashoga ghafla wakasahau matusi yao na wakaanza mashirikiano Mapya,Je ile tuhuma iliishia wapi?

2.Chadema walituaminisha kuwa Chama cha NCCR mageuzi kimejaa Usalama wa Taifa,wakaenda mbali wakamkejeli Mbatia, tena ndani ya Bunge kuwa,yupo Upinzani huku akiitumikia ccm,ghafla tu Mbatia ni Mshirika namba Mbili wa Ukawa bila watanzania kuelezwa kama zile tuhuma zilikuwa za kweli au za kutunga kwa nia ya kuwalaghai watu.

3.Chadema kwenye Ilani yake 2010 walituambia kuwa tukiwachagua hawatachukua posho kama hatua mojawapo ya kuonyesha kwa vitendo kuchukizwa na matumizi mabaya ya serikali.Je Kwanini wamekiuka Ilani yao?

4.Chadema Mwaka 2011 walikataa kushirikiana na vyama vya Upinzani ili kuunda kambi ya Upinzani yenye sauti na nguvu,wakatuambia kuwa Vyama vyote ni mawakala wa ccm isipokuwa Chadema,hivyo kushirikiana nao ni kurudisha nyuma harakati za ukombozi,ghafla tu baraza kivuli la mawaziri likavunjwa na wale vibaraka wa ccm wakaingizwa kwenye kambi ya upinzani bila sisi wafuasi kuambiwa ni lini ukibaraka wao umeisha mpaka wakaaminiwa.

5.Tuliambiwa kuwa David Kafulila ni mtu hatari kwa ustawi wa Upinzani hasa Chadema,tukaambiwa ni Sisimizi ambae hana umuhimu wowote ndani ya Chadema ,ghafla tu Sisimizi kageuka tembo,Mtu hatari kageuka Shujaa na sasa ananadiwa na viongozi wa Chadema kuwa ukawa imepata tuzo,Je ni lini kafulila alianza kuaminiwa ?

6.Tuliambiwa tena kuwa ,Serikali kutumia mashangingi huku Zahanati hazina dawa ni kiwango cha juu cha Ubinafsi,Mbowe akalikataa Shangingi la Kiongozi wa Upinzani....ghafla nimemuona Bukoba akiwa na Shangingi lenye maandishi KUB. Je ndio lilelile alilolikataa hadharani au ni lingine?

7.Mbowe alituahidi kwenda mahakamani,na kudai kuwa wanasheria wake wanaandaa mashtaka dhidi ya Zitto Kabwe baada ya Zitto kumtuhumu kuwa alipokea fedha toka kwa makada wa ccm na kuwa alicheza dili ns Kinana kuhusu deni analodaiwa na NSSF.Je taratibu za ufunguaji kesi ziliishia wapi ?

8. Chadema Mwaka 2011 ilitangazia Umma kutomtambua Rais Kikwete kwakuwa alishindwa na Slaa,ghafla wanatangaza kuomba mashauriano na Rais waliemkataa,wakafika Ikulu kujadiliana juu ya maswala mbalimbali ya Kitaifa,wakanywa Juice na kupiga picha,Je ni lini Chadema ilianza kumtambua Rais na kwanini sisi wananchi hatukuelezwa kuwa kuanzia sasa Kikwete ni Rais?
Sina nia ya kuibua Marumbano yasiyotujenga bali nataka mtu mwenye uelewa mkubwa kuliko mimi anaondoe Uvulivuli ili nami nijitambue.

Naomba nijibiwe hayo ili nami niwe Kamanda nitakaeitetea Chadema popote.

Hayo Majawabu yakipatikana,ndio utakuwa mwisho wa Chama cha ACT-Wazalendo maana umma utaiamini Chadema na hivyo kuiunga mkono.

Kama Maswali yakikosa Majibu basi Chadema itakosa uhalali wa kutuhumu ACT-Wazalendo na viongozi wake na hivyo wananchi wataendelea kujiunga na ACT-Wazalendo kwa kuamini kuwa maneno yoyote yanayotolewa na Chadema ni Ulaghai.

Karibuni kwa majibu Makamanda ili nasi tupate chakuwaambia wananchi ili waipuuze ACT-Wazalendo.

Mnajitekenya na kucheka wenyewe kama vichaa
 
Hata Cuf pia ni CCM B, mjibu wa chadema. nashangaa mnashirikiana, hamna jipya nyie chadema

Cuf walipotea njia lkn baadae walijitambua na kujirekebisha siyo kama act mtoto wa ccm
 
Rejea serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar utabain kuwa bado cuf haijajirekebisha sema unaongea kwa kukariri maneno ya viongoz wako
 
Back
Top Bottom