Search results

  1. Heavy Weight

    UFAFANUZI: Usalama wa Taarifa binafsi za Watumiaji wa JamiiForums

    Duh! Tulidhani nywila zimevuja
  2. Heavy Weight

    Nilichokikuta kwenye simu ya mpenzi wangu nimebaki njia panda, niendelee naye au nimuache?

    Me nilidhani lengo lako la kumdukua unatafuta sababu ya kumuacha, kama unataka kuendelea na mwanamke usimchunguze karibu kila demu anacheat wanatofautiana viwango tu kikubwa ni kuangalia mwenye foleni ndogo Heavy Weight
  3. Heavy Weight

    NECTA, haya matokeo ya hii shule yanatia wasiwasi

    Me nadhani ungejaribu kuuliza wanatumia utaratibu gani kutoa wanafunzi bora kitaifa kuliko ulivyoingiza wasi wasi wako moja kwa moja kuamini kuwa kuna uhuni unafanyika. Kwa ambao tunajua utaratibu wa ile shule hatuna haja ya kutilia shaka ufaulu wao. Sana sana tunaweza kuuliza kwanini...
  4. Heavy Weight

    Dunia haina usawa: Wakati Shule ya St. Francis Girls ikiwa na Div One za 7 zipatazo 41, Mkoa wa Kaskazini Unguja hauna Div One hata moja

    Lakini sio mbaya maana hata wao wana asilimia ndogo kwenye takwimu za maambukizi ya vvu hupewi vyote hunyimwi vyote ni mzunguko tu Heavy Weight
  5. Heavy Weight

    Kuna uwezekano ukawa kwenye hatari kubwa ya kupata maambukizi ya VVU ukiwa Zanzibar kuliko ukiwa Njombe

    Lakini inasemekana hii michezo kule visiwani imeshamiri sana Heavy Weight
  6. Heavy Weight

    Kuna uwezekano ukawa kwenye hatari kubwa ya kupata maambukizi ya VVU ukiwa Zanzibar kuliko ukiwa Njombe

    Hofu ya ngoma inapunguza zinaa kwa namna moja au nyingine Heavy Weight
  7. Heavy Weight

    Kuna uwezekano ukawa kwenye hatari kubwa ya kupata maambukizi ya VVU ukiwa Zanzibar kuliko ukiwa Njombe

    Mmh! Iyo mbona ni hatari mkuu, maana katika sababu zinazopelekea na kuchangia maambukizi iyo nayo inasemekana imo kwa kiasi kikubwa. Heavy Weight
  8. Heavy Weight

    Kuna uwezekano ukawa kwenye hatari kubwa ya kupata maambukizi ya VVU ukiwa Zanzibar kuliko ukiwa Njombe

    Habari za jumapili ndugu wana JF, natumai mpo salama salmini. Kutokana na takwimu zinazoonekana inaonesha Njombe ikiwa na asilimia kubwa ya maambukizi ikifuatiwa na Iringa na Mbeya. Zanzibar inaonesha kukiwa na asilimia ndogo zaidi ya maambukizi ya VVU. Sijajua ni namna gani takwimu hizi...
  9. Heavy Weight

    Tukio gani la ajabu limewahi kukukumba mbele za watu

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Heavy Weight
  10. Heavy Weight

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Ivi kupeana likes bado kupo au kuliisha? Heavy Weight
  11. Heavy Weight

    Rais Magufuli na kikokotoo: Bingwa wa kutengeneza matukio na kujitokeza baadaye kama mkombozi

    Kaazi kweli kweli Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Heavy Weight

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Blue Army
  13. Heavy Weight

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Itakua mwanae hafagii wala hafanyi kazi mama anahasira
Back
Top Bottom