Search results

  1. K

    Msaada, tumbo kujaa gas

    Mimi ni mgonjwa wa tumbo toka 2013. Niliwahi kwenda hospital Moro kwa deside nikapiga ultra sound na kuambiwa hamna kitu, nikapewa dawa zikanisaidia kiasi na ulabu nikawa nimesimama. Nilivyo kaa kama mwezi nikaanza kunywa tena, likaanza kutibuka tena, nikaenda Dar kufanya kipimo kilekile...
  2. K

    Las Vegas Jiji la anasa Duniani

    sterehe za duniani ni za mda tafuten ufalme wa MUNGU kwanza na hayo yote mtazidishiwa
  3. K

    Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru: Kuapishwa kwa Dr. Pombe Magufuli kuwa Rais wa Tanzania

    kiapo kinakuwa na maana pale anayeapishwa anapokuwa na Imani juu ya yale anayoapa kinyume cha hapo ni mapokeo tu
  4. K

    Je, samaki ni kibudu?

    wewe sawa na mim hata wanyama waliogongwa na gar nakula nahesab wamechinjwa na gar
  5. K

    Msaada Battery ya Laptop

    eleza vizur ucjichanganye ni dell model gan? na ya nchi gan ya mtunba au yeboyebo
  6. K

    Mabasi ya mwendo kasi kuanza kutoa huduma lini?

    eti kasi?! hayo ni mabas ya kawaida tu,maana vituo vipo kalibu hiyo kasi inatoka wapi au yatakuwa na mbawa
  7. K

    Mazingaombwe (Jugglery) ni Sayansi au Uchawi?

    wewe unataka kufuga majini?
  8. K

    vishindo na Risasi gongo la mboto sasa hv

    sawa ni vizur walioko huko kutujuza maana maccm washaanza kupagawa
  9. K

    Waziri na Mkurugenzi TANESCO semeni mmeshindwa

    SOGHOO ttzo ni pale unapo jinyima na kuamua kunnua umeme ili ufanye shughul za uzalishaj tena anakuja boya na kukata umeme bila taarifa hii inaudh raia amken tuondoe utawara huu dhalim,maana hii ni tanescoccm
  10. K

    Kulipana posho za vikao ni sawa?

    hiyo ndio ccm utajir wa watu weng wanagawana wachache nadhan mfumo huu mwisho wake umefika
  11. K

    TANESCO, tangazeni rasmi kuwa mgao wa umeme umeanza

    hapa gairo,kongwa mpaka panda mbili wameukata kisa lowasa anatubu kuachana na ufisadi na itv inaonyesha live,ila nimependa mshikaj flan hapa kawasha genetetor
  12. K

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    lazima ujue oil viscocity ni ngapi kabla ya kutumia engine oil vinginevyo maisha ya engine yako yatakuwa mafupi kutokana na viwango vidogo vya engine oil
  13. K

    Nane nane mwaka 2015: Matembezi ya hisani ya wana JF kuchangia wagonjwa Ocean Road

    kwenn tusiwachangie wagonjwa waliolazwa chini hospital ya mwananyamala kuliko kuwachangia wa ocen load waliolazwa kwenye vitanda?
  14. K

    Lukuvi ageuka "lulu" Bungeni leo

    mlishaanza kulewa na tshet na makofia ya bure,kwa ccm hakuna kiongoz bora wote wala rushwa tu
  15. K

    Msaada kwa anayeijua vizuri Gairo ya Morogoro

    hapo kama anajua kusoma ataelewa tu
  16. K

    Hivi kwanini Wakenya hawatupendi Watanzania?

    nani atawaamsha?na unadhan wakat mnaamshwa kenya watakuwa wamelala!?
  17. K

    Uhuru wa kuabudu ni usumbufu kwa wasiowaamini

    kwan unavyoandika hapo ni saa ngapi?
  18. K

    Vitu mwanaume anavyotakiwa kuwa ameshavifanya akifikia miaka 30

    ha ha ha,ili mwez wa kumi ufanye maamuz magum ya kuondoa maccm ikulu, hii nimeipenda mazee
Back
Top Bottom