Search results

  1. B

    Mbeya: Mtoto aliyezikwa jana akutwa chumbani kwake mara baada ya mazishi

    Kuna kitu cjaelewa hapa, imesemekana waliporudi walimkuta mtoto anashangaa, mara tena mtoto kazikwa leo.
  2. B

    Maalum kwa wanaohitaji kusafiri: Aina ya usafiri, bei za nauli, tahadhari za kuchukua

    Mbeya _ arusha kupitia dodoma, ipi gari nzuri kati ya Kiazi kitamu na gresious.
  3. B

    Arusha: Mwanafunzi wa Chuo cha Tumaini, Makumira abakwa hadi mauti

    Inasemekana aliaga anaenda kwenye birthday ndio yalipotokea hayo. Kiukweli inauma sana. Mungu amuweke panapostahili
  4. B

    Njoo tukumbushane maneno ya kizamani

    Wowowo-ngongingo,kinabo,usilete shobo.
  5. B

    Kwanini unaogopa kifo?

    Siogopi kufa sbbu nakuwa sielewi nn kitatokea huko niendapo.ninachoogopa ni Ile kufukiwa na kuliwa na wadudu.
  6. B

    Tusalimiane kinyumbani!

    Mwashinjiadhe.
  7. B

    Rais Magufuli ateua Wakuu wa Mikoa, Makonda apangiwa Dar

    Hongera sana muheshimiwa paul. Tunaomba uzd kuchapa kazi
  8. B

    Serikali imefuta service charge za TANESCO (Kanusho)

    Safi sana km itakuwa kweli.wametuibia vya kutosha
  9. B

    Tatizo la umeme Arusha imekuwa kero

    Ni kweli kbsa.hili tatizo ss kwa Arusha limezd.Tanesco tunaomba mje mtoe maelezo hapa
  10. B

    Unapendelea Bosi wa kike au wa kiume?

    Napenda boc wa kiume na awe mchapakazi
  11. B

    TANZIA Mwanachama na mfanyakazi wa JamiiForums, Dotto Mnzava afariki dunia kwa ajali ya pikipiki

    R.i.p dotto.ss tulikupenda ila mungu amekupenda zaid.pole kwa familia.
  12. B

    Kutengeneza njia ya uzazi kwa mama mjamzito

    Na hiyo ya kuongeza njia ni ipi,labda lingekuwa linaingia gogo lkn km ni hz dushe tu hakuna kitu km hicho ni usemi tu.cha mcngi ni mazoezi tu
  13. B

    Coaster za Mbeya - Dar@Hakuna Kulala

    Hizi gar ni msaada sana.km umekuja zako dar ijumaa kwa kujiiba bila likizo,bc j2 unapanda zako saa 9 jioni mpk asbh uko mbeya na unawahi ofcn km kawaida.ww huoni km ni msaada tosha?kwani ww umepanda kwa ajili ya kulala au kusafiri?na pia hakuna aliyelazmishwa bali wenye haraka zao na shida za...
Back
Top Bottom