Search results

  1. Papupi

    Mwanaume ni..

    Mwanaume kutega alarm huo ni umama, Mwanaume ni kutega bomu likilipuka na wewe unaamka. Ebu taja na wewe umama ambao mwanaume hawatakiwi kuufanya
  2. Papupi

    Kumekucha, kutoana akili..!!

    Ni Alhamis nyingine kwa majira ya Afrika Mashariki, ni siku mpya nyingine iliyoanza kwa mawingu na kimvua kwa mbali kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam Basi hatuna budi kumshukuru Mungu kwa kutuamsha salama na kutuwezesha kupigania pumzi nyingine Vivyo hivyo aende kutubariki katika siku ya...
  3. Papupi

    Shtuka..! Unaibiwa

    Kama Demu ako anaitwa Brenda, ni mrefu, mwembamba, mweupe na anasafiri kwenda Arusha kapanda Basi la Kilimanjaro Namuona hapa anaongea na jamaa mwingne pembeni yake tokea safari imeanza, Na wameshabadilishana namba za Simu, Wamenunua keki njiani wanalishana na wanacheka kwa raha zao Bahati...
  4. Papupi

    Tukutane Bandarini kwenye mnada

  5. Papupi

    Join or Die

    Hisia za KATUNI.... Inaaminika kwamba katuni ya kwanza kuchapishwa kwenye jarida nchini marekani ni katuni iliyopewa jina la Join or die iliyochorwa na Benjamin Franklin baba wa Taifa la Marekani. Katuni hiyo ilionesha nyoka aliyekatwa vipande vipande nane, huku vipande hivyo vikipewa majina ya...
  6. Papupi

    Naombeni msaada.

    Samahanini wakuu, hivi na sisi wenye iphone7 na samsung s8 comments zetu tunachanganya humuhumu na wenye itel na tecno?!
  7. Papupi

    Le bilionaire Dr Luis Shika

  8. Papupi

    Maana ya Bangi

    Wengi mlikua hamjui maana ya neno BANGI, Sasa leo ngoja niwape Elimu kidogo kuhusu hii kitu. *BANGI* ni jani la mgomba linalochanua kwenye mbuyu kupitia treni kabla hujaumwa kwenye mafuta ya samaki na kupokea injini ya baiskeli iliyopita angani na mvua ikawaka juu ya jua. Asanteni kwa...
  9. Papupi

    Usikose nakala yako hapo baadae

  10. Papupi

    Onyo kwa wasimamizi wa uchaguzi

    Sitaki utani
  11. Papupi

    Taswira ya 12/07/2015

    Taswira ya tarehe 12/07/2015 baada ya kamati kuu ya CCM kutangaza tano bora. .........ayaaaaa hayumoo?
  12. Papupi

    Happy birthday le super King of all soc**

    Teh teh teh
  13. Papupi

    Kwanini wanalia?

    Kwa nini wanalia? Mtoto alimuuliza mamake kwa nini unalia? Akajibu kwa sababu mimi ni mwanamke. Akasema mtoto mimi si afahamu. Mama akamkumbatia mtoto wake na kumwambia: si rahisi kunielewa. Kisha mtoto akamfuata babake na kumuuliza: kwa nini mama analia bila sababu? Baba akajibu: wanawake...
  14. Papupi

    Tatizo la ulevi Rombo: Wanawake wakodi wanaume kutoka Kenya kufanya nao ngono

    Baadhi ya wanawake wa Rombo inadaiwa wanakodi wanaume kutoka Kenya ili kufanya nao ngono kutokana na tabia za ulevi za wanaume wao kuzidiwa ulevi na kushindwa kufanya tendo la ndoa.
  15. Papupi

    Auto mobile engineering

    Nahitaji kwenda kusoma hii course, vipi kuhusu soko lake la ajira na fursa zake?.. nawasilisha
Back
Top Bottom