Search results

  1. moneymakerman

    Msaada: Inamaanisha nini kuona muda na dakika zinazofanana kila mara?

    Mimi Kuna namba huwa naziona mara nyingi zaidi, iwe upande wa saa, mabango, nbr za gari nk nk, naona zaidi nbr 5:55 ama 911, miaka inapita na hii inajitokeza sanaa, siogopi kwa sababu zipi tena, maisha yanaendelea na naziona sana mpaka leo
  2. moneymakerman

    Andiko lisemalo " Kila nafsi itaonja mauti" ni swali na sio jawabu. Wachina wameanza kujibu. Babu zetu walikaribia kabisa kupata jawabu

    Very low IQ ndio wewe, kama zamani binadamu alikuwa anaweza ishi mpaka miaka 1000, na bado afe kwa kukosa namna ya kuishi milele ije kuwa generation hii ya kuishi less than 130yrs??? Usiwe muoga wa kifo, kila nafasi itaonja umaiti, kuanzia sisimizi, tembo. nyangumi, hadi mimea na kila kilicho...
  3. moneymakerman

    Nataka niingie kwenye kilimo, kwa anaye uza eneo/ shamba

    Kama uko unataka kuanza, nishauri uje nikupe sehemu, hata hiyo eka moja ulime. Eneo liko ndani kama unaelekea Soga SGR Station. Kuna maji ya bwawa, kuna water pump ya kuvuta maji kutoka bwawani ajili ya umwagilaji. Niko busy sana na kazi za mjini. Uisimamizi juu yako, na vijana wa kazi wapo...
  4. moneymakerman

    Wafuatao siwezi kuwashauri kitu kingine zaidi ya kuwataka warudi shule na kuongeza elimu.

    Kuongeza ujuzi ndio jambo muhimu zaidi. Mtu ukiingia youtube mambomingisana yakujifunza bure na yana uwezo wa kumpa mtu kipato vizuri tu. Youtube shule bora number 1 duniani. Niwewe ujue nini unatafuta kujua.
  5. moneymakerman

    Nchi haina sukari, maji, umeme na dola

    Akili pia zimeadimika.
  6. moneymakerman

    Nataka kufanya DNA test ya watoto wa kaka kupitia mimi je inawezekana?

    Inawezekana. Ngumu kumeza. Maji yanafika shingoni.
  7. moneymakerman

    DOKEZO Kero: Askari trafiki wa Buguruni Sheli na Tazara wanatengeneza foleni kwa manufaa yao

    Hapo ni shida, haswa Buguruni, service road wakikukamata wanadai eti unaendesha gari kwenye njia ya waenda kwa miguu!!! Yaani askari hajui hata maana ya service road, na anasema eti ni foot path akikuandikia fine. wapuuzi sana, Iko siku traffic alinisimamisha nikiwahi matibabu hospital ya Amana...
  8. moneymakerman

    Hivi mlinzi wa Hayati Magufuli ni mlinzi wa Naibu Spika Zungu kweli?

    Huyo mlinzi anashukuru yuko kazini bado, mtu.anahoji inakuaje! Nadhani muhimu kwake bado yuko anafanya kazi serikalini, au nasema uongo ndugu zangu?
  9. moneymakerman

    Tunafunga na kuuza vioo vya TV

    Kuna fundi aliniambia screen ya tv yangu, samsung, imeharibika, ingawa ilikuwa ukiiwasha inaleta jina la samsung kwenye initial blue display alafu inakuwa black screen. Sasa najiuliza kama ni display mbaya, si ata ile jina la samsung lisingesoma kwenye screen. Ipo imekaa tu kwenye boksi miaka 2...
  10. moneymakerman

    Okoa matumizi ya petrol na kuondoa shida za gari zisizotatuliķa kwa kufanya jambo dogo kwenye gari

    Mkuu kama unahitaji si ungeniambia nikujulishe jinsi ya wewe kuipata dawa.
  11. moneymakerman

    Ghana ndio wamemaliza kabisa kuhusu umuhimu wa vitambulisho

    Kweli kabisa, maana kwa navyojua mimi, hata TZ tunatumia e-passport na still iko na pages za kugongewa mihuri ya entry na exit dates, sasa hii system inayosemwa ya ID as passport ndio sijui wanapigaji Visa stamp. Labda iwe unaweza tembelea nchi jirani without passport.
  12. moneymakerman

    Ghana ndio wamemaliza kabisa kuhusu umuhimu wa vitambulisho

    Kwa hiyo mihuru ya Visa inapigwa wapi?? Maana hapo sijaelewa.
  13. moneymakerman

    Okoa matumizi ya petrol na kuondoa shida za gari zisizotatuliķa kwa kufanya jambo dogo kwenye gari

    Tabora bado hatujafika. Mipango ikikamilika tutafika mkuu.
  14. moneymakerman

    Okoa matumizi ya petrol na kuondoa shida za gari zisizotatuliķa kwa kufanya jambo dogo kwenye gari

    Sababu ni luxury brands mkuu. Sio sawa na kufungua sensor ya IST, location na time factors zina tofautina.
  15. moneymakerman

    Naomba kujuzwa namna ya kubadilisha lugha kijapani kuja kiingereza kwenye Dashboasrd

    NJIA 4AHISI KABISA YA KUSOMA LUGHA YEYOTE ILIO ANDIKWA SEHEMU NI KUTUMIA APP YA GOOGLE TRANSLATE. UKIWA NAYO, NENDA OPTION YA CAMERA NA ELEKEZA KWENYE HIYO DASHBOARD YAKO NA MANENO YATAKUJA KWA LUGHA ULIOJAGUA KUTAFSIRI HICHO KIJAPAN LET'S SAY KWENDA KIINGEREZA THEN TAFUTA MENU, SETTINGS THEN...
  16. moneymakerman

    Okoa matumizi ya petrol na kuondoa shida za gari zisizotatuliķa kwa kufanya jambo dogo kwenye gari

    Inaweza kuwa speed sensor ina hitilafu. Gari yako ni aina gani na ya mwaka gani?
Back
Top Bottom