Mkuu unaandika kana kwamba mlikata kikao na Mungu kuamua kuhusu maisha ya Magufuli. Ukasahau kama na wewe unakufuru. Soma Isaya 55:8-9, nafikiri kama unamwamini Mungu, baada ya kusoma misitari hiyo kutafuta hii post.
Mimi ni Muislamu wa ukweli tu, lakini siamini kwamba Mwislamu ndiyo mtu bora kumshinda binadamu mwingine. Waislamu tunaamini kwamba sisi ndiyo tunastahili kila lililo jems kushinda wanavyostahili makafiri.
Kama kuna makosa makubwa ambayo waislamu wa UDOM mmeyafanya, basi ni ile albadili mliyomsomea Prof Mubofu ili afe, na akafa kweli. Nawahakikishieni maisha ya Mubofu mtayalipia kwa damu na jasho. Hizi ni rasharasha tu, bado mvua yenyewe. Si tu mtaikumbuka ile Albadili, bali mtaijutia.
Tatizo kubwa tulilonalo waislamu ni kupenda favour. Tunapenda kubebwa na kudhani kwamba tuna haki zaidi kuliko dini nyingine. Wakristo wa hspo UDOM wanasali wapi? Kwanini wao hawakulazimisha kujenga makanisa? Iweje waislamu tujione tuna hski zaidi kushinda wenzetu? Sitamlaumu Mbofu kwa maamuzi...
Upo sahihi nchini nyingi sana za wenzetu, tayari wana huu mfumo wa taa zenye sensor, zinaweza kujua upande upi una magari mengi Zaidi kuliko upande mwingine. Sisi bado tunatumia analogue.
Nakubaliana kabisa na wewe, kuna wakati kwa kweli hawa watu wanakuwa frustrated, na ukizingatia hilo agizo la kukamata na kutoza faini angalau magari kumi kwa siku naona kama limewachanganya kabisa, kwa hiyo wanakomaa tu hata kama wanajua kosa siyo la msingi. Kuna mmoja aliwahi kunikomalia...
Nalazimika kuja na post hii kutokana na matukio kadhaa ya hivi karibuni ambayo yanayojitokeza tukiwa barabarani tunakimbizana na mkate wetu wa kila siku. Nashindwa kuelewa kama matukio haya yanatokana na uwezo mdogo wa polisi wa usalama barabarani kuongoza magari au ni maelekezo maalumu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.