Search results

  1. ministrant

    Kutokana na ukosefu sugu wa vitendea kazi Jeshi la Zimamoto napendekeza liunganishwe na kiwe kitengo ndani ya jeshi la polisi

    Hakuna sheria inayokataza watu binafsi au kampuni kuanzisha vitengo vyenye majukumu hayo ya kuzima moto na uokoaji, ndiyo maana kuna kampuni kadhaa binafsi za ulinzi wana package hiyo katika huduma zao. i.e Garda world etc.
  2. ministrant

    Kutokana na ukosefu sugu wa vitendea kazi Jeshi la Zimamoto napendekeza liunganishwe na kiwe kitengo ndani ya jeshi la polisi

    Haikuwahi kuwa ndani ya Jeshi la Polisi bali lilikuwa chini ya Halmashauri na gari zao zilikuwa zikitumia namba za SM. Maoni ya kutaka kiwe kitengo ndani ya Jeshi la Polisi sio ufumbuzi bali ni kukwepa utatuzi wa tatizo. Muhimu ni kuboresha vitendea kazi na kuongeza rasilimali watu katika Jeshi...
  3. ministrant

    Umebaini tofauti gani Uwanja wa Mkapa na Uwanja wa Samia unaotarajiwa kujengwa Arusha?

    Swali la msingi ni, Je, tunauhitaji mkubwa wa huo uwanja kwasasa kuliko kuimarisha sekta nyingine muhimu kwa maendeleo ya jamii kama elimu na afya?
  4. ministrant

    Nyinyi mnaokula mchana kipindi hiki ni akina nani? Mnatukera bwana

    Nashauri ukapimwe mkojo na tatizo la afya ya akili, kwa hakika kuna mahali kichwa chako hakipo sawa.
  5. ministrant

    Kwa Hiyo Serikali /DCI na Mahakama, mmeamua kuwaambia Watanzania kuwa Dada wa Msuya alijichinja mwenyewe?

    Umefanya kosa la kiufundi kwa kudharau wenye elimu ndogo ya darasani ukiamini ndiyo chanzo cha kuharibika kwa hiyo kesi na wahusika halisi kutotiwa hatiani. Kitu unachotakiwa kuweka akilini ni kwamba kuna watu ni wataalamu wabobezi wa hizo shughuli lakini wala hawana elimu kubwa kama unavyotaka...
  6. ministrant

    Tujionee kwanza haya maajabu ya Kikokotoo kwa Watumishi wa Umma

    Acha utahira wewe, njaa isikupofushe ikakufanya ukaacha kuuona ukweli na kuukiri kwa kinywa chako
  7. ministrant

    Tujionee kwanza haya maajabu ya Kikokotoo kwa Watumishi wa Umma

    Acha upuuzi wewe chawa. Unaongea kupalilia maslahi ya tumbo lako. Kwanini umpangie mtu mzima matumizi ya pesa yake? Ni lini uliwasikia watumishi wanaomba serikali iwaletee huo utaratibu wa kinyonyaji? Kama huna cha maana cha kusema hebu funga huo mdomo wako? Kwa kujiita chawa imedhihirisha ni...
  8. ministrant

    Akikwambia 'msalimie wifi', imeisha hiyo mtu wangu

    Haina haja ya kumaliza maneno Mkuu, omba appointment tu mengine utajiongeza kwenye huo mtoko
  9. ministrant

    Nataka niingie kwenye kilimo, kwa anaye uza eneo/ shamba

    Nina hekari tano naziuza Bagamoyo Fukayosi kwa Milioni tano. Kama upo Interested tuwasiliane. NB. Shamba limepimwa
  10. ministrant

    JKU na POLISI: Lipi lina hadhi kubwa zaidi Zanzibar?

    Nadhani ukipitia wewe ukaja kutuambia itapendeza zaidi, maana tumewahi kuwa na Luteni Karama, Captain John Komba na Inspector Haroun lakini they were never be Military Personnel
  11. ministrant

    Ushawahi kukutana na mwanamke mweny hii tabia?

    I bet huyo Mwanamke ni mwenyeji wa Kanda ya Ziwa. Kule ukipiga show za kihindi wanakuona punga. Piga miti hasa ndiyo wanaona wamekutana na rijali
  12. ministrant

    JKU na POLISI: Lipi lina hadhi kubwa zaidi Zanzibar?

    Ukomandoo aliupatia nchi gani?
  13. ministrant

    Je, inaruhusiwa kwa mtu kufanya masomo ya Kozi mbili tofauti kwa wakati mmoja kwa ngazi ya Shahada ya Uzamili?

    Mkuu nimesema hivyo baada ya kufuatilia ratiba za vyuo vinavyotoa Masters, kuna vyuo vina September intake na March intake. Pia kuna vyuo vina Masters session za asubuhi na vingine wanasoma jioni tu. Kwahiyo mtu akijipanga vizuri anaweza kusoma Kozi mbili kwa wakati mmoja bila kuathiri wala...
  14. ministrant

    JKU na POLISI: Lipi lina hadhi kubwa zaidi Zanzibar?

    Hii ni kwa mujibu wa andiko lipi kwa huo mgawanyo ulioutaja hapo juu?
  15. ministrant

    JKU na POLISI: Lipi lina hadhi kubwa zaidi Zanzibar?

    Mkuu mbona TPDF na TPF hayaingiliani kabisa kiutendaji na kila mmoja ana job descriptions tofauti kabisa na mwenzake unless kuwe na concern ya pamoja ndiyo utaonanwanachangama.
  16. ministrant

    JKU na POLISI: Lipi lina hadhi kubwa zaidi Zanzibar?

    Unadhani haijawa member kwa bahati mbaya, au kwakuwa tayari Soveregnty yake imemezwa na Muungano? Kwanini jitihada za kujiunga na OIC ziligonga mwamba? Acha kukaza fuvu bro
Back
Top Bottom