Search results

  1. RugambwaYT

    Naomba kujua tofauti ya CVT ktk transmission

    Mafundi wetu wengi ukiwapelekea gari lenye shida ya CVT, unaambia haitengenezeki. Nunua nyingine tu.
  2. RugambwaYT

    Mlipuko huu wa Rooters za WIFI kwa kampuni za Simu ipi ni nzuri Kwa matumizi nyumbani?

    Hata mimi niliwastukia kwenye hiyo hoja ya miezi mitatu.
  3. RugambwaYT

    Airtel 5G Unlimited Internet

    Hapo nimeelewa.
  4. RugambwaYT

    Inflation rate kwenye uwekezaji wa Mifuko ya UTT

    Kwenye bond fund, pamoja na kuwa na option ya kupata gawio la kila mwezi, hata kama utaamua kuichukua, kuna element ya capital gain unayoipata kutokana na ongezeko la bei ya kipande. Hivyo ndani ya hiyo miaka mitano unayosema, kama utaamua kuuza vipande vyako, utaviuza kwa bei itakayokuwa...
  5. RugambwaYT

    Airtel 5G Unlimited Internet

    Mkuu, hiyo 10Mbps kwa nini uliamua ku upgrade? Ilikuwa haitoshi kwa matumizi yako?
  6. RugambwaYT

    Huyu imam aweka sawa kuhusu ardhi ya Wayahudi, hivi waarabu wa Bongo mnakwama wapi

    Mkuu, zingatia matumizi sahihi ya herufi kubwa na ndogo. Ni Mola, sio mola.
  7. RugambwaYT

    Kwanini Tanzania latest Car ni chache sana kuonekana. Bado wanaagiza Magari ya 2000-2010

    Duu! Hii sijawahi kujua aise. Mpaka bei kwenye dola inakuwa tofauti?
  8. RugambwaYT

    Kwanini Tanzania latest Car ni chache sana kuonekana. Bado wanaagiza Magari ya 2000-2010

    Mkuu, Corolla ya 2019, ni Tzs 30m, kabla ya kodi. Hata bila kodi tu haishikiki. Sasa wakiweka hiyo restriction, mjini patakalika kweli?
  9. RugambwaYT

    Kwanini Tanzania latest Car ni chache sana kuonekana. Bado wanaagiza Magari ya 2000-2010

    Mkuu, kodi ya gari jipya ni ndogo kuliko mtumba. Shida ni bei ya hilo gari jipya tu ndio inatusumbua.
  10. RugambwaYT

    HATIMAYE: Mazda CX-5 imeingia Top 5 ya gari zinazoingizwa Tanzania kutoka Japan

    Hivi wa Dualis bado wapo? Enzi hizo walikaita ka Sweetheart ka TZ, sasa hivi nakutana na posts za kuungua moto tu
  11. RugambwaYT

    Be Forward wamekuwa wajanja na waongo, magari yanaletwa mabovu

    Na kwa ujumla gari za kutoka huko zinakuwa kimeo.
  12. RugambwaYT

    Rais Samia fanya Maamuzi NHIF imeshindwa kufikia lengo

    ... afya za Watanzania.
  13. RugambwaYT

    Nichukue IST au Belta?

    Hehehee! Kwenye parking, unaweza shindwa tambua yako ni ipi. Ila ni gari imara sana. Chukua hiyo.
  14. RugambwaYT

    Mafundi wazuri wa Nissan Duals

    Zipo. Zinazokosekana unaagiza nje.
  15. RugambwaYT

    Naomba kujua tofauti ya CVT ktk transmission

    PureView yuko sawa kwenye hili. Gari manual zinapotea sokoni. Enzi hizo Automatic Transmtn zilikuwa option, ila kwa manufacturer wengi siku hizi ndio standard. Manual ni option. Wengine kama Mercs wamedrop kabisa manual transmtn kwenye baadhi ya models. Defender mpya zote ni automatic
  16. RugambwaYT

    Mafundi wazuri wa Nissan Duals

    Genuine spare parts za manufacturer wa gari husika.
  17. RugambwaYT

    Toyota Landcruiser URJ202 vs Toyota Prado TXL or VXL

    Hizo kimeo sana. Hizo wala sio proper Land Cruiser, ni Hilux Surf iliyojificha.
Back
Top Bottom