Search results

  1. kachelo

    Uchaguzi 2020 Magufuli 2020: Jogoo la Shamba linapowika mjini, wa mjini hujaribu kujitutumua!

    Kuwaza hivyo ni ukenge na kudhania kuwa hawezi tokea mtu mwingine kama magufuli..ila kiufupi jamaa ameitendea haki nafasi yake ya utumishi katika nchi hii..lakini haina maana hakuna wengine wenye maono mazuri zaidi yake..kubadili maono tofauti tofauti ndio nchi inaimalika zaidi na kuwa taifa...
  2. kachelo

    Maharusi wajinyonga hadi kufa kisa deni la Milioni 179 zilizotumika kwenye sherehe yao

    Yani ulichowaza ndio siku zote Kipo akilini mwangu, kwanza nishajiambia ndani ya moyo wangu iwapo Mungu akizidi kunijalia..hakuna biashara ya kadi za michango ya harusi..nitatenga budget yangu nakualika watu wachache tu then maisha yanasonga mbele..biashara ya kufanya vitu nje ya uwezo ili...
  3. kachelo

    Nataka pigwa faini kisa kuangalia viboko walioko barabarani!

    Hilo sio Kosa Mkuu kusimama na kuangalia Wanyama..hakuna sheria inayokuzuia wewe kutosimama ukiwa ndani ya hifadhi..ila ni kosa ikiwa umevunja sheria ndani ya hifadhi kama vie kugonga mnyama, kusimama katikati ya daraja nk lakini sio kuangalia wanyama na ndio maana walitaka kugeuza kosa la...
  4. kachelo

    NIMERUDIA UJINGA.

    Mkuu katika hiyo orodha yako kuanzia namba 1,2,3 na 5 uko sahihi kabisa na hizi mbinu ni wanawake wachache huwa wanaweza kukwepa lakini hiyo namba 4 aisee kwa dunia hii tunayoishi kwa miaka hii usitegemee jibu kama hilo kwa kweli...ni nadra sana kukutana na mwanamke akakutamkia...
  5. kachelo

    Hali Afrika Kusini inazidi kuwa mbaya

    Sasa kama maoni yako ndio hayo, unaunga mkono nini sasa??
  6. kachelo

    Dkt. Kipilimba, sasa yatosha!

    Kwa kweli kwa akili kama za huyo jamaa na kama huko idara kweli kabisa tumelamba sio garasa tu bali Jockel na Mchezo ukaisha hapo..
  7. kachelo

    Dkt. Kipilimba, sasa yatosha!

    Inamaana ungekuwa ni mpango wa kuilipua ndege kutoka kwa waharifu na idara ikajua/isijue na ndege ikalipuka je wakulaumiwa angekuwa ni Nani? Hapa idara haiwezi kukwepa lawama
  8. kachelo

    Dkt. Kipilimba, sasa yatosha!

    Umeongea kwa busara ya Hali ya juu ndugu na maneno yako yamebeba uzalendo sana..Mara nyingi sana ambao hawana maono ndio wanaongoza wenye maono na wenye maono wanabaki kudharauliwa. Tuombe Mungu sana atuvushe kwenye hili maana tumetikiswa na tukatikisika kweli kweli..maana pigo ni moja lkn...
  9. kachelo

    Kwaheri Diana, tutaonana Mungu akipenda...

    Ndugu Chunga huo Mdomo wako..hata kama hauamini uwepo wa Mungu. Hata kutoamini kitu pia ni Imani vile vile ya kutoamini..sawa sawa na anayeamini uwepo wa mungu.
  10. kachelo

    Nikki wa pili aikashfu Biblia na hadithi ya uumbaji

    Nani kamdanganya kuwa kuna usawa Kati ya mwanaume na mwanamke? Hata biblia isingesema hivyo still mwanamke ni dhaifu kwa mwanaume..hilo halina ubishi maana hata hao anaowatete wanalijua hilo pia
  11. kachelo

    Kwanini Maalim Seif ameruhusiwa sasa kuzungumza kwenye 360 ya Clouds? Nimestuka, umakini unahitajika mno

    Yani tena hawa ndo sikuwadhania kabisa kama nao wataufyata..inasikitisha sana maana wameanza kupitia hata mvuto wa kutazamwa kama za man i
  12. kachelo

    Zitto, Mbowe na viongozi wengine wa vyama vya upinzani katika kikao cha pamoja leo Dar es Salaam

    Kwa mbali kabisa naoana dalili za maono yangu kutimia...nilikiwaza sana hiki kitu kinachofanywa na wapinzani kwa sasa, wakiweza kuwa kitu kimoja basi upande ule mwingine utatapatapa sana.
  13. kachelo

    Malisa: CCM na Serikali acheni ushamba msaada kwa mafuriko ni tani 600 matangazo kibao, mlishawai kusikia Trump katoa msaada au watu wa Marekani?

    Mkuu kutoa msaada ni jambo jema sana lakini namna hili jambo linavyokuzwa hata wapewa msaada wanaweza wasijisikie vizuri: alafu siku hizi naona hicho chanzo Cha habari kimeufyata mkia kwa kupublish habari ambazo ni njema machoni pa mfalme hata kama hazina mvuto machoni pa wanyonge yani wamenza...
  14. kachelo

    Mwanamke anayewatesa majirani kwa Kelele za Ngono atiwa Mbaroni tena

    Angalia kwanza muonekano wa sura zao..huwezi tia shaka hata kidogo kuwa hata akili zao zinafanana,wanaongozwa na vitu vilivyo nje ya uwezo wao wa kufikiri
  15. kachelo

    Lissu aanza kuchangiwa fedha na wananchi!

    Nani atawatetea hao masikini iwapo mashujaa waliojitolea watakufa kwa njaa??
  16. kachelo

    Lissu aanza kuchangiwa fedha na wananchi!

    Wewe mtoa Mada ndo utakuwa mnafiki, ni heri kutoa kuliko kupokea..tunachoangalia sio uwezo ambao tundu Lisu anao kifedha bali tunachoangalia ni maono aliyoyabeba juu ya kuheshim utawala wa sheria na kulinda Haki ya watu kuishi. Pia hii michango itafsiriwe kama ni njia moja wapo ya kupinga...
  17. kachelo

    TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

    [emoji23][emoji23]nimecheka kwa Sauti Mpaka watu wamegeuka kuniangalia..umetisha kwa kufikiri hilo jambo
  18. kachelo

    Majaribu ya shetani kwenye mahusiano

    Mshana hapa sijajua umetumia utafiti upi ndugu yangu, lakini kwa muono mwingine inaweza kuwa ni kinyume kabisa..Suala la mwanaume kupata pesa na kuangukia majaribuni mimi binafsi nafikiri kwamba ni kutojiamin kwa huyo mwanaume ndicho kinampelekea kwenda kinyume na mipango aliyokuwa amajiwekea...
Back
Top Bottom