Search results

  1. mponjoly

    Tupacmania: Nyimbo gani ya 2pac unai-feel deep down!

    keep yo head up!!
  2. mponjoly

    Ni lazima sehemu ya uume ikatwe??

    si lazima! ni utamaduni tu tumeuiga kwa watu wa nchi za magharibi!!ila kiundani pia ni vizuri kukata, kwa sababu ya wale wenzetu wasiopenda kuoga wanaweza kuwa na kifurushi cha uchafu!!hivyo kuondoa hilo ni vizuri kukata!! muda mzuri wa kukata ni wakati mtu akiwa mdogo kama miaka mitano, sita au...
  3. mponjoly

    Mficha uchi 'hazai'

    oya!! vipi kijana? ni methali hiyo!! inaweza tumika maeneo mbali mbali kutokana na mazingira ya mazungumzo!! kwa mfano: kama unataka kitu, fanya bidii, na kuwa "practical", usikae ndani tuu!! maana yako pia ina leta maana ila wengi wanachukulia msemo huu kama methali!!
  4. mponjoly

    Uchaguzi 2010: Masilahi Ya Taifa Kwanza!

    nafikiri ni wakati umefika upinzani ukapewa nafasi kuona kama wataweza kutupeleka mbele taifa hili angalau hatua tatu mbele na mbili nyuma!! tumekuwa na chama tawala cha sasa kwa muda na hamna makubwa zaidi yaliyofanyika!democrasia ni kuwa na vyama vingi na kama chama tawala chachemsha basi...
  5. mponjoly

    Kama hujui English unaweza kutongoza kweli?

    kwa mwandishi wa hii thread!! sawa kaka!! ila mi nawasapoti kwa sababu wanakuwa "practical", si wana jifunza kwa kujizoesha kuzungumza, kwa maelezo yako we vipi? english imekaa sawa?AU ndo mwenzangu na mimi wale wa ku-cramisha masomo(secondary na chuo) ukiambiwa kuelezea kasheshe! ni lugha ya...
  6. mponjoly

    Access Denied

    aache kuku blackmail na ngono!! na acha kuwa a sucker for pussy!!
  7. mponjoly

    Access Denied

    aache kutumia ngono kama kitu cha ku-"blackmail"!!
  8. mponjoly

    Why are blondes stupid?

    - ni imani tu,kuna redheads na brunetes vichwa maji kwenda mbele!!
  9. mponjoly

    Kubadilisha dini ndani ya ndoa

    fata dini yako na yeye afate dini yake ila kuwe na common ground!!
  10. mponjoly

    Hivi ile ndege ya rais inapiga kazi?

    -ni jukwaa la uwazi, si vibaya kama mtu anataka kujua nini kuhusu "mali ya serikali", na ukilinganisha bei waliyoinunuia ni ghali hivyo je inafanya kazi au ndo pesa ilitupwa shimoni!! -pia hata kama mtu ana maswali ambayo ni pumba, ana uhuru wa kuuliza!!
  11. mponjoly

    Zawadi gani inamfaa huyu

    je wamjua vizuri? kama ndio, unapashwa kujua ni nini anapenda!vitu vidogo vidogo ambavyo haviitji pesa nyingi lakini ambavyo ye mwenyewe atakuwa surprised!
  12. mponjoly

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    dah!!ni vipi jamani mambo ya dini tena!!Tz sio nchi ya ubaguzi, tuachane na wendawazimu huu!! bro/sis uliyeandika hii thread, nenda ka-regroup kidogo!! kwani wakiwa waislamu kuna nini kama wanatenda kazi sawa na jinsi wangevyotendo wakristo!mi mkristo ila hata sina muda wa kupoteza kufikiria...
  13. mponjoly

    Mgao Wa Umeme Hautuhusu: SMZ

    haiwahusu kivipi?kwani hamwezi hata kufeel sorry for ur fellow compatriots tz bara?siku yatawakuta nanyi!!
  14. mponjoly

    Tanzania tuiunge mkono Iran katika mpango wa Nuclear

    sawa kaka nimekubaliana nawe!! kwa matumizi ya amani, naunga mkono, ila Iran wanapojaribisha "mitambo" yao kwa kupiga miziga yao hapo kidogo inatisha!! ila kwa upande wa kuzitumia kiamani, nakuunga mkono kabisa mshimiwa, ili ni tatizo sugu(power rationing), na ufumbuzi ni nuclear energy tu!!
  15. mponjoly

    Kama huna moyo mgumu tafadhali usiangalie hii picha

    dah! inasikitisha, kwa vyovyote vile!! why having kids then!! aliyepost, tueleze ni zinahusu nini?abortion au?
  16. mponjoly

    Elimu yetu hii sijui tutafika?

    dah!! tuna long way to go!!hii ni ya miaka ya tisini, sasa tuko 21st century!!kasheshe!
  17. mponjoly

    Kuna kiongozi anayeishi kama nyerere?

    namueshimu Mwalimu kwa amani ya Tz!! ila alichemsha azimio la Arusha(ujamaa), hivyo akawa ana-make up for his mess!! hamna kiongozi anaweza ishi kama yeye, hata ningekuwa mimi au wewe unayesoma, tusidanganyane, uwezi unless, u r conditioned to that economically!!
  18. mponjoly

    Dawa za Kichina na dada zetu

    ni kompyuta modification hiyo!! mtu hawezi kuwa na hips ka hizo!! yuko poa lakini!!
  19. mponjoly

    Tanzania's National Dress....Tunayo ama hatuna?

    hatuna!!bado nafikiri tuko safarini kulitafuta!!
  20. mponjoly

    Obama awarded 2009 Nobel Peace Prize

    dah!kwani huyu msee kawin ka achieve nini zaidi ya kuongeapoints tu! labda amepewa mapema mno, wangesubiri kidogo labda 2011 kama angekuwa amefanikiwa na ahadi anazo toa!! lakini nobel prize itampa changamoto zaidi!!
Back
Top Bottom