Search results

  1. M

    Mbunge 'Kisu' kuliko wote bungeni!

    Hapana, mimi naona Ester Latiko ni kiboko aseee
  2. M

    Kangi Lugola akataa mabadiliko feki

    Kangi Lugola ni CCM mchana lakini usiku ni UKAWA DAMU, tuulizeni tuliyohuku Mwibara tunayafahamu mengi kuhusu huyo mlopo wa kizazi hiki
  3. M

    Deni la Taifa sasa lafikia 39 trillioni

    Ni kutafakari kwa kina ni vipi tunaweza kujikwamua kutoka hapa tulipo. Kupanda kwa Public Debt bila kuwa na miradi ambayo inauwezo wa ku-pay back deni hilo ni tatizo kubwa. Ni muda mzuri sasa viongozi wakatueleza ni lini na ni kwa njia ipi deni hili litaondoshwa kuliko kujisifu kwamba bado...
  4. M

    CCM waanza kwa mbwembwe Kahama

    "Ndugu mtangazaji hilo nalo unauliza? CCM itaendelea kushinda kwa sababu watanzania wengi bado ni wajinga." MAKAMBA SR.
  5. M

    Katibu wangu wa CCM Wilaya awatukana Wanaccm

    Ni kawaida ya CCM kutukana, hiyo siyo mara ya kwanza.
  6. M

    Wimbo wa Taifa: Kwanini tubarikiwe?

    Ndugu wanaJF, mara nyingi huwa nafikiria waliotunga wimbo wa taifa walimaanisha haya tunayoyaona au mengine yasiyotendeka? Tanzania inaviongozi ambao wako tayari kushuhudia wananchi wao wanakufa kwa kukosa madawa wakati wao wanawaibia mabilioni ya hela halafu tunaimba Mungu ibariki, Viongozi...
  7. M

    Falsafa ya Zitto ya neno 'mwanasiasa na kiongozi' kweli tunaielewa?

    Hapana, maneno hayo si mazuri sana kwa kiongozi kama ZZK kwani anamchango mkubwa sana kwa jamii japo anamapungufu yake.
  8. M

    Unafiki wa watanzania kutoifahamu "tanganyika"

    Wadau, nasikitika sana ninapomskia mtu tena msomi na kiongozi wa nchi hii anaposema haitambui TANGANYIKA. Mfano ni Mh. Nchemba katika mikutano yako mara nyingi husema haitambui TANGANYIKA pia jana nimemsikia kiongozi mmoja wa CCM akisema haitambui, sasa nina maswali machache naomba mnisaidie...
  9. M

    Hotuba ya Mh. Tundu Lissu kuhusu Muungano bungeni - 12 Mei 2014

    Kwa nondo kama hizo unategemea nani azijibu kama siyo kuwaleta waimba taarabu walete vijebe vyao? Hoja ni nzito lakini mtu wakuzijibu hayupo zaidi ya kumleta kibajaji na komba walete maneno yao ya kwenye khanga
  10. M

    Ungependa swali lipi aulizwe Mwigulu Nchemba leo hapa Washington DC?

    Muulize, yeye nachama chake walikusanya maoni yawananchi kuhusu muungano wanaoutaka au wanatumia wingi wao pamoja na uwezo mdogo wa wajumbe waupande wao kuwasemea wananchi?
  11. M

    Ufafanuzi logo ya klabu ya Yanga

    Tatizo la viongozi wa yanga hawakwenda shule
  12. M

    Nitagombea ubunge Jimbo la Mwibara

    Endelea kutumika tuone nani mjinga
  13. M

    Nitagombea ubunge Jimbo la Mwibara

    Nitagombea kupitia cdm, hao wengine nikupitia ccm kwani bado hawajitambui.
  14. M

    Nitagombea ubunge Jimbo la Mwibara

    Wadau, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23. Elimu yangu ni kidato cha sita na nimwanafunzi wachuo kikuu, ninamalengo ya kugombea ubunge jimbo la Mwibara. Sababu Zakugombea ni 1. Tunashida ya barabara tangu uhuru mpaka kesho kitu ambacho kimekuwa nikero kwa wananchi waliowengi...
  15. M

    CCM INAYOKUFA MKOMBOZI WAKE NI MH. lOWASA

    Hili suala hata wao ccm wanalifahamu, tatizo ni pale ambapo EL atapita nasisi wananchi kumuuliza ukweli kuhusu RICHMOND atakapo usema ukweli watakimbilia wapi? ndo maana mkuu wa kaya anasema kuwa wengine wanataka urais ili walipize visasi, swali la kujiuliza kama hukuwahi kumkosea mtu kwanini...
  16. M

    Kujibizana na Mh. Rais Jukwaani ni ukomavu wa akisiasa?

    Kama tunasema katiba ni mali ya watanzani wakati vyama vya siasa vinakuwa na misimamo yao hiyo katiba niyavyama au sisi wananchi wakawaida?. Rais hakutakiwa kusema msimamo wa chama chake kwasababu inaonesha dhahiri kwamba lazima kutakuwa naserikali mbili hasa ukizingatia wingi wa wabunge wa...
  17. M

    Hii ya leo ni CCM au Mzimu wa CCM!

    Kitu kinachoisaidia ccm kubaki madarakani ni watanzania wengi kukosa elimu, kubaki vijijini bila taarifa zozote kuhusu madudu yanayofanywa na hao viongozi wa ccm, ndo maana vijiji watu wendi maisha yao ni duni kwasababu ya ubovu wa viongozi wao lakini bado wanai kumbatia ccm.
  18. M

    Kinana awataka wananchi kuwapuuza wapinzani

    Sijamuelewa huyu mzee, anataka tumuamini yeye JANGIRI wa wanyama wetu? au mafisadi waliojazana kwenye chama chake?
  19. M

    Kinacholigharimu taifa langu la Tanzania ni unafiki wa watanzania tulio wengi,tusimame kwenye ukweli

    Ndugu zangu Wantanzania nchi hii ni yetu sote na kila mtu anahitaji kuona nchi yetu inapata maendeleo kama zilivyo nchi zingine kama China, Uingereza, Germany na hata USA. Lakini napata shida kidogo kwa viongozi tulionao kwasasa unahisi maendeleo yanaweza kufikiwa? Nitatumia mifano muweze...
Back
Top Bottom