Search results

  1. computer_1X

    Kwa wapenzi wa documentaries

    documentary nyingine zenye kuvutia na kuelimisha ni "cry freetown"-inaelezea vita iliotokea sierra leone mji wa freetown kiundani zaidi. Nyingine ni "seal team six,the raid on Osama bin laden",hii nadhani iko clear on what its about
  2. computer_1X

    Msaada:hawa watu ni kina nani na nini nia yao kwenye FB

    kwa kuongezea tu waungwana,watu wenye michezo hio ni mahackers na link anayotuma inakua una auto-download trojan au keylogger software kwenye mashine yako hivyo kumpanafasi ya kuona info ulizohifadhi kwenye ur computer na anaweza kumoniter your online activity/passwords na mengieo mengi so be...
  3. computer_1X

    Syllabus for secondary schools

    yah ni vema nimekuta hii thread,habari zenu waungwana,naomba mnipe mawazo juu ya matokeo ya form four ya wadogo zetu mwaka huu maana nackia tetesi kuwa eti yatapangwa kisiasa....
  4. computer_1X

    Samaki wa foil

    asee hii naweka kwenye to do ya wikiendi wakubwa!
  5. computer_1X

    Naomba kueleweshwa 'Software Engineering' inahusu nini?

    asee samahani kwa kuvamia ila pia mwenye ujuzi wowote juu ya programing anisaidie,i need to know how one can become a proggrammer.help tafadhali
  6. computer_1X

    More details on the killing of Osama bin Laden

    i truly admire the extent of perfection these people posses.
  7. computer_1X

    msaada kwenye Wireless hacking

    msaada wananchi nahitaji kupata linux OS,Pamoja na backtrack5 software....any ideas for help?
  8. computer_1X

    Umepewa milion 20 utazitumiaje kwenye electronics chumbani kwako

    ebhana ningeulizwa na mshua ningempa list ya maana kidogo ila nikipewa hio mipesa kwa sharti la kutumbua for fun.....asee only God knows!
  9. computer_1X

    msaada kuhusu nokia lumia 1520

    msaada wakuu naomba yeyote mwenye hii simu anipe specs nyingi awezavyo juu yake...tafadhali include mapungufu ya hii simu.
  10. computer_1X

    Picha: Warangi ni warembo balaa!

    we acha tu...yani habaatishi!
Back
Top Bottom