If humanity is serious about colonizing Mars, we need to get busy studying how to get busy in space..
- Mike Wall.
Kumekuwa na harakati nyingi sana katika huu ulimwengu ambapo nchi za dunia ya kwanza zimekuwa zikienda kufanya shughuli mbali mbali za kitafiti katika sayari nyingine na mwezini...
Leo tulikuwa tunaangalia maazimisho ya miaka 55 ya uhuru wa TZ kupitia ITV. Ambapo kuna mtu mtangazaji alikuwa akimtaja kama balotelli kweli alifurahisha watu alivyokuwa akigeuka na kufanya manjonjo.. Leo nimejifunza 'ukifanya unachokipenda hakuna kazi unayofanya' ila unakuwa una enjoy na salary...
Maalim Sief kajitoa sasa ikatokea kura zikapigwa na Jecha bila hiyana akatangaza kuwa Maalim Seif ndio mshindi katika uchaguzi wa marudio nini kitatokea kwa mujibu wa sheria? Inaweza kutumika hiyo na kutokana mshindi kajitoa basi uchaguzi ukarudiwa tena kwa mara ya 3 na akapatika mshindi...
Pamekuwa panafanyika tafiti mbali mbali cha kushangaza zina utofauti mkubwa kupindukia. Hii inasema Lowassa anashinda na hii Magufuli anashinda. Wahusika huwa mnatumia Methodology gani? na kwa watu wa aina gani? Kuanzia sasa sina haja ya kuamin tafiti yeyote kuelekea October.. Politics should...
Nimekuwa Interested kujua habari za hivi viumbe (kama vipo), coz habari zake na mambo yanayosemekana kufanywa na hivi viumbe ni superb. But my question is where is common living place of Aliens in the universe? and if i want to communicate with them what language should i use?
Universe tunaambiwa ina kila kitu tunachoweza kukiona, kukisikia na sayari zote kubwa tisa na nyingine ndogo zote zipo kwenye hii universe, nyota zote na alliens wote tunaambiwa wapo kwenye hii universe. Sasa nje ya hii Universe kuna maisha mengine yanaendelea huko? Au kutokana na kuwepo sayari...
Nafikiri kilichofanyika leo katika jiji la Dar katika kumsindikiza ndugu Lowassa kuchukua fomu ya kugombea uraisi ni kansa itakayosambaa nchi nzima, bado sijapata picha hasa katika jiji la Arusha, Mbeya, Dom, Mwanza na ngome za sisiem ambazo zimeshabomoka kabla mafuriko hayajafika hali...
Kuondelewa bungeni kwa wakina Lissu, Msigwa, Silinde, J.J, Mkosamali & Co basi nahisi habari imeisha kila kitu kitapita sababu hakuna kitu nilichokuwa nasubiri kama kujadiliwa kwa hali ya uandikishaji wa wapiga kura sababu hali ni mbaya sana na kwa waliobaki sidhani kama kuna mtu atasimama na...
Serikali mara nyingi inalalamika walimu wa sayansi hawatoshi, ukimya huu unapeleka message gani kwa waalimu hao? Toeni hata tamko basi msiwavunje moyo kama hizo ajira zipo na kama hamna wajue waka apply private maana wengine inawezekana wanasubiri ajira za serikalin kwa ajili ya uzalendo wao tu...
Nafikiri labda walikuwa wanataka waachie kwanza majina ya machalii au madogo wanaoingia kidato cha V, then after majina ya walimu na vituo vyao vya kazi yanafuatia so may be kesho au kesho kutwa watu watakenua.
Katika kitabu cha Gideon Spies kilichowekwa na mdau mmoja wa JF nimejaribu kukisoma na nimeona nishirikishe wadau mambo kadhaa yaliyonivutia hasa katika kuundwa kwa taasisi maarufu ya kijasusi inayosemekana kuwa ina watu wenye akili na makini zaidi ulimwengu wanayoifanya Israeli indelee kudumu...
Ningependa kufahamu huu utoauti wa lugha ulimwenguni ulisababishwa na nini, sababu tunaambiwa tunaposoma vitabu na makala mbalimbali kuwa utofauti wa lugha zetu ulianzia pale mnara wa Babel uliokuja kuharibiwa na Mtemi wa enzi hizo Alexander the Great mnamo katika kipindi cha 331 BC. Maana hata...
Mark Zuckerberg grew up in white plains, New YORK in Jewish family. But he is not so into it and not surprisingly, according to facebook update, Zuckerberg consider himself as an atheist.
In 2011, Jerusalem Post ranked him as number one in the list of most influential Jews in the world. However...
Kwanini mtu akitekenywa anashtuka halafu anacheka? and why inakuwa ni baadhi ya sehemu za mwili tu kama vile mbavuni, makwapani na kwenye unyayo. Na kwanini mtu akijitekenya mwenyewe hacheki? ni mechanism gani inasababisha hali hizo katika mwili..
Kuna vitu vinanitatiza sana sijui ni sababu ya kutaka kujua kila kitu Mimi sio mtaalam wa Geography japo wakati nipo sekondari tu kwa nadharia na kuna concept inasema dunia huwa inazunguka au inajizungusha kwenye mhimili wake. Ila maswali ninayojiuliza inazunguka vipi? Na kwanini isifike kipindi...
Kwa Tanzania watu wanasema ama kwa kumaanisha au kwa kutania kuwa fani iliyokosa mwelekeo na yenye watu waliokosa la kufanya na maskini ni ualimu. Lakini Jack Ma Yun maarufu kama Jack Ma kitaaluma ni mwalimu wa kiingereza ambaye ni mwanzilishi na mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Alibaba...
​Kwa miaka ya hivi karibuni, fani ya ualimu Tanzania imekuwa ikionekana kama chaguo la wakosaji, yaani mtu anakuwa mwalimu baada ya kukosa kazi bora ya kufanya. Lakini kwa siku za nyuma ualimu ulikuwa ni kama lulu, watu walikuwa wanapata heshima kwa kuwa walikuwa ni walimu. Mshara ulikuwa...
Kwa siku za karibuni kumekuwa kukilalamikiwa kwa hali mbaya ya kiuchumi na kisiasa hapa Tanzania. Na watuhuhumiwa wakuu ambao wamekuwa ni vinara wa matitizo hayo ni wasomi waliohitimu wa vyuo vikuu ambao walitegemewa kuja kutatua hayo matatizo. Kuanzia serikalini, taasisi binafsi, mpaka vyama...
Nimesoma makala ya Mh. Dk. Kitila Mkumbo katiaka gazeti la Raia Mwema Toleo no. 332 la Jumatano tarehe 1 Januari 2014. Katika makala yake Dk. Mkumbo alitoa ushauri wa kutokomeza ubabaishaji na ujanjaujanja katika uongozi wa siasa, na hasa aliposema kuwa watu wengi makini wanashindwa kujiunga na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.