Search results

  1. B

    Marufuku kukaa karibu na vituo vya kupiga Kura, inatakiwa kukaa umbali wa mita 100

    hatutakubali upuuzi huu, nitasimamia kiengele cha Tano(5) Kuwa tayari kupambana na namna yoyete ya uonevu, ukandamizaji, udhalilishaji na ubaguzi.
  2. B

    Wafanyakazi waliosambaza Video ya Dr. Slaa akiingia chumbani Serena Hotel wafukuzwa kazi

    mlango ukifungwa wa pili unafunguka watapata kazi nzuri zaidi,ila ccm mwisho wao tarehe 25 October:peace::peace::peace:
  3. B

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    hizo ni habari njema WAFE TU
  4. B

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    nahitaji takwimu za matokeo ya wenyeviti wa mitaa Mwanza
  5. B

    Slogan za Lowassa zinavyoitesa CCM

    hivi CCM watakuwa wendawazim kumpa (FISADI) Lowasa
  6. B

    Maandamano ya CHADEMA Musoma Mjini - Septemba 22, 2014

    pamoja daima tutashinda zidi ya chama dhalim (ccm) na washirika wao
  7. B

    CHADEMA Arusha wasisitiza kuandamana kesho

    tuko pamoja mkuu saa ya ukombozi yaja sasa, mwanza turatibu utaratibu utapokuwa tayari tutangaza
  8. B

    ITV kituo kitafungwa au mtaingiza Nchi katika machafuko

    NASEMA WAPIGWE TU acha uoga wewe
  9. B

    Kauli hii ya mke wangu ni heshima au dharau?

    Mkuu hiyo sio madharau imekuwa vema amekuweka wazi, cha msingi tatua tatizo na ndoa yako itadumu
  10. B

    Mwekezaji anahitajika shamba lina ekali 10,000 Ilula- Kwimba

    Shamba lina ekali 10,000 na linamilikiwa kisheria(LINA HATI), MWEKEZAJI anahitajika linafaa kwa kilimo: Miundo mbinu 1. Barabala 2. Bwawa la maji. Cont: 0755 074 880 0754 062 750
  11. B

    Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    Serikali 3 ndio suluhisho kwani tayari tunazo
  12. B

    Jamani mbona michango ya huyu mwanasiasa imekosa wachangiaji?

    Kwisha habari yake, malipo ya usaliti hayo
  13. B

    Vurugu mitaani Mwanza kati ya wamachinga na polisi

    POLISI Jijini Mwanza wameamru kufungwa kwa Biasha na Soku kuu siku ya leo, na taharuki ya mabomu bado yanaendelea kurindima
  14. B

    Vurugu mitaani Mwanza kati ya wamachinga na polisi

    hawa POLISI mbona siwaelewi hapa MWANZA wanaleta vugurugu watu tuna shindwa kufanya shughuli zetu, wamebomoa vibaNDA VYA MACHINGA WAMETULIA SASA nashangaa polisi wamekazana kufukuza watu mjini
  15. B

    Vurugu mitaani Mwanza kati ya wamachinga na polisi

    wamebomoa vibanda vya machinga makoroboi ndo source
  16. B

    Mama afanya ukatili wa kutisha

    mama aliyejulikana kwa jila TATU wa mtaa wa Rufiji Mwanza amempiga mwanae na kumjeruhi vibaya, akipelekwa kituo cha Polisi Mirongo
Back
Top Bottom