Search results

  1. nerilan

    Baa Sinza zinaendelea kutokomea, Tabata kapokea kijiti kwa fujo

    Mliwahi kumpeleka kwa Gyno?
  2. nerilan

    Namna ya shambulizi la Israel huko Isfahan-Iran inathibitisha Israel wamedhamiria na wanawaalika Iran kwa vita kamili.

    Hapana mkuu, madhara ni kwa wote, japo inaweza kuwa sio kwa uwiano sawa. Kumbuka unapozungumzia Israel huwezi waacha washirika wake, pia Iran nayo ina washirika ambao kwa namna moja ama nyingine wanaweza unga mkono endapo ikiwa vita kamili. Kama umefuatilia habari, leo baada ya tukio la Iran...
  3. nerilan

    Namna ya shambulizi la Israel huko Isfahan-Iran inathibitisha Israel wamedhamiria na wanawaalika Iran kwa vita kamili.

    Unajua hii vita watu wanaichukulia kwa urahisi sana na ushabiki, bila ya kujua nini yanaweza kuwa madhara makubwa ya vita hiyo. Eneo la mashariki ya kati tayari liko kwenye mgogoro mkubwa, na ndiyo maana unaona baraza la usalama la umoja wa mataifa linakaa vikao kila siku, lengo ni kushinikiza...
  4. nerilan

    Shekh Zuberi Mufti wa Tanzania ni wazi anahitaji msaada

    Mkuu, Sijajua uelewa wako juu ya swala alilozungumza Mufti likoje. Kwa clip uliyoweka hapo ni kuhusu mamlaka ya kuatangaza swala la mwezi. Kumbuka maswala haya yanategemea miandamo ya mwezi, kwahiyo ni sikukuu ambazo kiuhalisia hazina tarehe iliyo kamili. Sasa jiulize, mamlaka isingekuwepo ya...
  5. nerilan

    Kapteni Mabior Garang akiwa nje ya nyumba ya Mama yake huko Jebel Sudan Kusini

    Umewahi sikiliza mahojiano yake akifanya na waandishi wa habari?. Jaribu kusikiliza youtube alafu utoe mtazamo wako mkuu.
  6. nerilan

    Aprili 1, 2024: Gridi ya Taifa yapata Hitilafu, TANESCO waomba radhi

    Arusha umekatika usiku pia, nimeshtuka saa 03:4am nje ni giza totoro. Mpaka sasa ni kimya kabisa.
  7. nerilan

    Msaada wa mawazo wakuu

    Ni mtumishi wa serikali?
  8. nerilan

    Kwenye msitu wangu kuna black mamba/ koboko natafuta njia za kumwangamiza bila kuleta madhara kwenye jamii

    Hao sio King Cobra. Zingatia hilo neno KING mkuu. Hiyo jamii ni native specie ya Asia huko. Huku kwetu Afrika Cobra wako wengi ila wa aina nyingine.
  9. nerilan

    Kwenye msitu wangu kuna black mamba/ koboko natafuta njia za kumwangamiza bila kuleta madhara kwenye jamii

    Mkuu, Watu wanachanganya mambo, sio kila Cobra anayeonekana ni King Cobra. King Cobra wako bara Asia tu, na kitaalam kabisa katika unyumbulisho wao kisayansi wanasema wale sio true cobra. Tunachopaswa kujua kuna zaidi ya aina 38 ya Cobra duniani. Na sio Cobra wote hutema mate/spitting, wako...
  10. nerilan

    Kwenye msitu wangu kuna black mamba/ koboko natafuta njia za kumwangamiza bila kuleta madhara kwenye jamii

    Mkuu, Wataalam wa hawa reptiles wanasema King Cobra ndo the longest venomous snake in the world. Wapo wanaofika hadi futi 18 au zaidi.
  11. nerilan

    Kwenye msitu wangu kuna black mamba/ koboko natafuta njia za kumwangamiza bila kuleta madhara kwenye jamii

    Mkuu, Huyo King Cobra unayeshauri apelekwe kwa ajili ya kula hao Black Mamba, mtoa mada anampata wapi?. Unajua kwamba King Cobra sio native snake in Africa?, wako bara Asia huko. Jisomee vizuri tena.
  12. nerilan

    Kama hamtojali naomba Ufafanuzi wa haraka juu ya haya mambo Matatu tu ya Umuhimu

    1. Mara nyingi akaunti ikikaa muda mrefu bila kutumika hulala na baadaye kufungwa. Akaunti iliyofungwa huweza kuombewa special approval kama kuna ulazima huo haswa kwa mambo ya kisheria na ikafunguliwa. Pia kuna wale ambao unakuta ana mkopo unao husiana na akaunti hiyo, na labda anataka...
  13. nerilan

    Zitto Kabwe: Rais Samia alipaswa kutangaza kifo cha Hayati Magufuli akiwa ameshaapishwa, kitendo Cha Wakuu wa Ulinzi kuwa Watoa Taarifa ni hatari!

    Mkuu, Huyo unayemjibu nadhani hata yeye mwenyewe katiba labda hajaisoma, au kasimuliwa au kama kaisoma basi hajaelewa kabisa. Linapokuja swala la ugonjwa, katiba iko wazi sana na inaeleweka hata kama sio mtu wa sheria. Kama hoja yake ni kwakuwa Rais alikuwa mgonjwa, basi alichokieleza...
  14. nerilan

    Kwanini kwa wanawake wengi top three ni maokoto

    Mkuu, Una changamoto zozote za afya ya akili?, au mahusiano yamekuathiri kwa namna moja ama nyingine?. Kwanini kuwaita binadamu wenzako mbwa, wake zao mbwa, na watoto waliowazaa pia vivyo hivyo?. Nashauri pata matibabu ya saikolojia for your own good. Hii hali waweza ichukulia kama nafasi ya...
  15. nerilan

    Wanasema mimi ni Shetani na pia ninahofia maisha yangu yapo hatarini hapa UK

    Mkuu, Kwakuwa sio kitu chenye uhakika kuwa unafanyiwa, imekuwa kama nadharia tu, nadhani sio vibaya na sio dhambi ukaonana na wataalam wa afya ya akili pia. Wao wanawezabpia liangalia kwa upande ambao wewe huoni. Linaweza kuwa hata ni swala la neurones lina shida. Huko kuna matibabu mazuri na...
  16. nerilan

    Wanasema mimi ni Shetani na pia ninahofia maisha yangu yapo hatarini hapa UK

    Mkuu, Kam alivyosema mmoja wa wachangiaji huko juu, unahitaji msaada wa kitabibu kwa haraka sana. Bila kujali unachotueleza ni kweli au ni mtazamo wako baada ya kupata hiyo shida uliyonayo. Nasema hivi kwa sababu, kwanza hatujui wewe ni nani hapo Uingereza kwa maana ya nafasi yako katika hiyo...
  17. nerilan

    Nakuwa na maamuzi ya kusitasita kuolewa tena tangu ndoa ya kwanza inishinde 2021

    Hapo nadhani tafsiri hujaiweka sawa mkuu. Afanyaye uasherati ni yule aendaye nje ya ndoa, ilhali yuko na ndoa. Na hili ni swali aliulizwa Yesu juu ya maswala ya talaka na jinsi watu walivyoishi chini ya sheria za Musa. Ukiangalia hapo, kiimani mtu anayetengana na mke au mume, isipokuwa kwa...
  18. nerilan

    Papa Sylvester alisoma madrasa. Alifuzu somo la hesabati

    Mkuu, Mimi ninataka kujifunza jambo haswa kulingana na chimbuko halisi la dini ya Islam. Hii itatupa picha halisi bila kuwa bias ni nani walikuwa waanzilishi wa mwanzo kabisa wa hesabu katika karne nyingi sana zilizopita. Sina shaka na Misri ya zamani maana mambo makubwa ya kihistoria...
  19. nerilan

    Kwa damu ya Yesu Roho yangu nimemkabidhi Yesu Pekee

    Embu tuone hicho unachokisema walikutumia. Sio kwamba ni mtu ameamua tu kukutisha baada ya kuona kile alichokitaka toka kwako hakijatimia?
  20. nerilan

    Upweke umewaanza vijana mapema, Uzeeni sijui itakuwaje. Ni janga kubwa

    Nashukuru walau ndani mwako umeadmitt na uko concious kuhusu umuhimu wa ndoa katika jamii. Kwa kusema ndoa zilikuwa zamani, ina maana ni jambo unajua umuhimu wake, ila kitu pekee kimekuvunja moyo ni mienendo ya jamii ya sasa ndani ya ndoa. Hili linachangiwa na mambo mengi kwenye jamii yetu...
Back
Top Bottom