Search results

  1. N

    INAUZWA Vifuatavyo vinauzwa, mmiliki anahamia nchi nyingine

    Mgeni kutoka Ubelgiji amevitumia chini ya miezi miwili na anaviuza kwasababu anahamia nchi nyingine. 1.Shelfu ya chuma- tsh100,000/= 2.Meza ya chuma ya jikoni-100,000/= 3.Mtungi wenye gesi kilo15(oryx)-100,000/= 4.Rice cooker (west point)-120,000/= 5.Mapazia6 na miti yake-80,000/= 6.Jiko la...
  2. N

    INAUZWA Senyenge (barbed wires) zinauzwa bei poa

    Rola moja ya senyenge ina urefu wa mita 600 na senyenge ina unene wa milimita 1.6. Inafaa kwe fensi ya nyumba, maboma ya mifugo, shamba nk. Bei kwa rola moja ni 110,000/=. Zimebaki rola3 Mawasiliano: 0685381338. Napatikana Mkuranga, Pwani.
  3. N

    INAUZWA Senyenge (barbed wires) zinauzwa bei poa

    Rola moja ya senyenge ina urefu wa mita 600,na senyenge ina unene wa milimita1.6. Inafaa kwe fensi ya nyumba,maboma ya mifugo,shamba,nk. Bei kwa rola moja ni 110,000/=.Zipo rola4. Mawasiliano: 0685381338. Napatikana Mkuranga, Pwani.
  4. N

    INAUZWA Nyaya za senyenge (barbed wire) zinauzwa bei poa

    Rola moja ya senyenge ina urefu wa mita 600,na senyenge ina unene wa milimita1.6. Senyenge hizi hazishiki kutu(galvanized). Inafaa kwe fensi ya nyumba,maboma ya mifugo,shamba,nk. Bei kwa rola moja ni 110,000/=.Zipo rola7. Mawasiliano:0685381338.Napatikana Mkuranga,Pwani.
  5. N

    Plot4Sale Kiwanja Kizuri kwa biashara kinauzwa Kigamboni, Dar kwa mil4.5

    Kiwanja kipo Kimbiji kwa Moriss,km30 kutoka Kigamboni.Ukubwa ni mita20 kwa 20. Kipo jirani na barabara kuu lakini nje ya mawe ya hifadhi ya barabara.Kipo jirani na ufukwe(beach). Panafaa kwa minara ya simu,fremu za maduka, mashine za kusaga,duka la hardware,hoteli ,baa,kufyatulia na kuuzia...
  6. N

    Plot4Sale Kiwanja kizuri kibiashara kinauzwa Kimbiji-Kigamboni, Dar es Salaam

    Eneo liko Kimbiji-Kwa Moris, Kigamboni.Ukubwa wake ni mita20 kwa22. Eneo lipo karibu na barabara kuu na njia panda kwenda ufukweni (beach) Bahari ya Hindi. Panafaa sana kibiashara,hasa kujenga duka,hoteli,kufyatulia matofali,mashine ya kusaga na kukoboa, kuoteshea miche ya miti na maua nk.Umeme...
  7. N

    Natafuta mikeka ya ukindu 100,vipimo:upana futi4,urefu futi8 ,au sm120 kwa sm240

    Ndugu wanaJF, Nahitaji ya idadi hiyo na vipimo kama ilivyo kwenye kichwa cha habari. Bajeti yangu ni 3500/= kwa mkeka,hivyo kwa mikeka 100 ni 350000/=. Napatikana Dar es Salaam. Kwa mawasiliano:0657011122(simu na whatsApp) Karibuni tufanye biashara!
  8. N

    Natafuta mikeka ya ukindu 100:upana futi4 na urefu8,au sm120 kwa sm240.

    Namba ya simu ipo usiogope piga tuzungumze!
  9. N

    Natafuta mikeka ya ukindu 100:upana futi4 na urefu8,au sm120 kwa sm240.

    nataka pia colourless,namba ya simu ipo piga tuzungumze
  10. N

    Natafuta mikeka ya ukindu 100:upana futi4 na urefu8,au sm120 kwa sm240.

    Ndugu wanaJF, Nahitaji mikeka ya idadi hiyo na vipimo kama ilivyo kwenye kichwa cha habari. Bajeti yangu ni 3500/= kwa mkeka,hivyo kwa mikeka 100 ni 350000/=. Napatikana Dar es Salaam. Kwa mawasiliano:0657011122(simu na whatsApp) Karibuni tufanye biashara!
  11. N

    Plot4Sale Kiwanja kizuri kinauzwa Kimbiji ,Kigamboni ,bei mil5.5,maongezi yapo.

    Kiwanja kipo km40 kutoka kigamboni. Kina ukumbwa wa mita20 kwa mita20.Kiko jirani na barabara kuu na njia panda kwenda Ufukweni (beach). Panafaa sana kibiashara kama maduka,mgahawa nk.Umeme upo jirani. Eneo liko jirani na kiwanda cha Lake Cement. Bei ni mil5.5.Maongezi yapo!Dalali hatakiwi! Kwa...
  12. N

    Plot4Sale Eneo zuri kibiashara linauzwa Kimbiji-Kigamboni,bei mil5.

    Eneo liko Kimbiji-Kwa Moris,km30 kutoka Kigamboni.Ukubwa wake ni mita20 kwa22. Eneo liko karibu na barabara kuu na njia panda kwenda ufukweni(beach). Ni panafaa sana kibiashara,hasa kujenga maduka,mbagala nk.Umeme upo jirani,umbali wa nguzo moja na panafika kirahisi Eneo liko karibu na kiwanda...
  13. N

    Plot4Sale Viwanja vizuri inauzwa Mkuranga mjini bei poa.

    Oh pole, ni approx mita 20 kwa20.Nimeshafanya marekebisho.
  14. N

    Plot4Sale Viwanja vizuri inauzwa Mkuranga mjini bei poa.

    Nimesha rekebisha ni approximately mita20kwa20.
  15. N

    Plot4Sale Viwanja vizuri inauzwa Mkuranga mjini bei poa.

    Kweli ni approx mita20 kwa20.Asante kwa marekebisho.
  16. N

    Plot4Sale Viwanja vizuri inauzwa Mkuranga mjini bei poa.

    Ohh samahani ni approx mita20 kwa20.Nimeshafanya marekebisho!
  17. N

    Plot4Sale Viwanja vizuri inauzwa Mkuranga mjini bei poa.

    Viwanja vipo Mkuranga mjini.Ni dakika30 kutoka Mbagala,na nauli ni elf moja tu kwa daladala,na ni kama km30 au zaidi kidogo kutoka Mbagala. Eneo lipo mita500 kutoka barabara kuu ya lami.Eneo ni mahsusi kwa makazi na panatambulika kimipango miji Kama eneo la makazi. Viwanja vyote vipo eneo...
Back
Top Bottom