Search results

  1. sajumo

    Wapiga picha useles

    Naona sasa kuna haja ya kufundishana namna ya kupiga picha kuna baadhi ya picha unaona kabisa hazijabeba details muhim Kutokana na mpiga picha kukosa timing ya picha au kukosea angle ya yeye kuchukulia hiyo picha Kama hii picha huyu mpiga picha kakosea timing kwann asisubili mhusika ashushe...
  2. sajumo

    Magu

    Magu anafikiri nini na sijaelewa amekata mfereji wa ajira tumekaa kimya ameharubu sekta ya afya Muhimbili watu Wanakufa maiti wanazikimbia madeni. hakuna Huduma bure wajawazito Wala mtoto ni balaa . Tuje katika korosho mtihani mtupu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. sajumo

    Hali bado ni tete kwa Wakulima wa Korosho

    Hali ni tete wakulima, washazikusanya zipo maghalani mpaka leo kimya mwaka jana mpaka kufikia mwezi wa kumi na moja mwishoni almost watu wengi walikuwa wamelipwa Sasa tunaikaribia Januari lakini malipo bado hayajafanyika
  4. sajumo

    True about life

    Life ipo soo simple Na inajoke sometimes Ila ipo soo strong Don't be too serious We can't fight and win but we can only buy a time
  5. sajumo

    Kumbav zao

    J
  6. sajumo

    Yaan hapo ndo hajakua

    Kwa hii taswira hapa ndio hajakua keshaanza kubenjua mdomo hiv hapa kwli tumlaum mzazi jaman
  7. sajumo

    Nauliza jaman

    Ivi.kati ya mamba n kiboko nani kiboko
  8. sajumo

    usiwaze

    wakat naendelea kukata gogo kama unavyoelewa uswahilini tena bonge la folen watu wanapiga kelele unatuchelewesha w ganataka kuwahi kazini wengine wanatukana mm kama siwasikii ndio naziid kuwadharau taratiib nadondosha gogo moja moja mpaka wakakoma nilipomaliza nkakata vipande vipandenkaviondoa...
  9. sajumo

    Study of number

    Mathematician are not serious at all Hapo ndio upo class umeconcetrate na pindi unajisikia kubanja ile unatoka paap unarud unakuta t hakuna alaf sin A unaambiwa ni 2.03 mwalim anaendele kutafuta z hapo ndio utajua nini maana ya dunia rangi rangile
  10. sajumo

    Nikiiangalia hii picha roho inaniuma sana

    Ni muda mrefu toka hii picha isambae katika mitandao ya kijamii ila mpka leo nikiiangalia roho inaniuma sana
  11. sajumo

    Yanayotokea Kenya nini sababu

    Jaman naomba tuyajadili haya yanayotokea kenya kupitia hiki kitu wameleta wazungu tunaita democracy. Binafsy (myself) naweza kusema kenya ni politically unstable serikali inashindwa kizuia matando yanayoweza pelekea uvunjifu wa amani Kwa nn kenya inashindwa na tanzania imeweza. Je wakenya sio...
  12. sajumo

    Hahahahaa et kafanana n tl hapana

    T L
  13. sajumo

    Kuna tofauti kubwa kati ya

  14. sajumo

    Anatafutwa

    Jaman huyo mtu katika picha anatafutwa hajaonekana toka mwezi wa saba mwenye taarifa zake aziwasilishe police
  15. sajumo

    Aaaah matapeli badilisheni swaga bhna

    Hii ine ekspaya bhna mnaonaje mkaja na swaga mpya
  16. sajumo

    Haitakaa ijirudie

    Hahahahahahahaaa we are missing you mkwere they were calling you mr chekacheka now we have the one we deserve
  17. sajumo

    Hahahahahahhahaaaa nauliza tu

    Hivi huuu utitiri wa avatar za pic za tundu lisu ni uzalendo kwa tundu lisu chama kampeni flani iv au ndio tunamliwaza maana naona jf zmezd mpaka naogopa
  18. sajumo

    Mh hii kweli ni pipoz pawa au ?

    Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom