Search results

  1. K

    Henry Kilewo apata upinzani Mwanga ndani ya CHADEMA

    Acha maneno wewe ya hovyo hovyo wewe
  2. K

    Henry Kilewo apata upinzani Mwanga ndani ya CHADEMA

    Ni jambo jema kwa watu Mwanga kupata watu watakao ipeperusha Bendera ya Chadema kwa ushindani na siyo ushiriki.
  3. K

    CHADEMA kuasisi mgomo wa madereva ni kwa manufaa ya nani?

    Tunawakubali sana Mnyika na Lissu.. wewe endelea kupiga porojo za lumumba.. watu wanadai madai yao kule ubungo nyie mmejifungia kutunga hekaya za uongo.
  4. K

    CHADEMA kuasisi mgomo wa madereva ni kwa manufaa ya nani?

    Chadema ndiyo Chama kiongozi wa Taifa hili.... Mmeshindwa kuongoza kwakuwa mlizoea kutawala na siyo kuongoza.
  5. K

    CHADEMA Wakamatwa na Vifaa vya Kijeshi Ofisini!

    Ulitegemea policcm wakuambie nini juu ya chadema? Hicho ni kitengo maalum cha mikakati kwaajili ya kuondoa upinzani ila umechelewa mkakati huwo....
  6. K

    CHADEMA wawaomba wana ukoo wa Mwl. Nyerere wasiwapokee ACT-Wazalendo

    Majibu kwa wasaliti nyumbani kwa Mwl.Nyerere
  7. K

    Media Kususia Habari za CHADEMA: Chanzo ni Mbowe!

    Toa ubeya hapa... bi chaubeya... Mwananchi wameandika na ndiyo ukweli... Hakuna kusogeza uchaguzi mbele uzembe wenu usiliangamize taifa na hatuta kubali ndiyo ukweli.. Kauli ya Mkt ni kauli yetu Chadema na Watanzania wote.
  8. K

    Paul Makonda awa lulu Kinondoni, wapinzani wake wabaki midomo wazi

    Acha kujidanganya na kujitekenya na kucheka mwenyewe....
  9. K

    Muswaada wa Baraza la vijana Taifa unaoletwa bungeni uondolewe

    Utaratibu uwekwe mzuri siyo huwo wa kuchaguliwa na waziri anayetokana na chama fulani. Tunapaswa kuwa na utaratibu mzuri na sahihi na siyo kuamuliwa mambo yetu na vyama.
  10. K

    Elections 2015 Baada ya Masheikh wa Bagamoyo, Wachungaji wamzamia Edward Lowassa kumuomba kugombea Urais

    Yaani mnajitekenya wenyewe na kucheka wenyewe halafu mnasema ni breaking newz wakati ni breaking uwizi wa macho.
  11. K

    Muswaada wa Baraza la vijana Taifa unaoletwa bungeni uondolewe

    Muswada huwo ukipelekwa na kupitishwa ukatakuwa ni kuendelea kushikilia mawazo ya vijana. Hakuna mahala ambapo vijana wamepewa mamlaka ya kuchagua kiongozi wao zaidi ya waziri kuwa mteuzi. Tunazikataa hizi nyadhifa zauteuzi tunataka kuchangua wenyewe.
  12. K

    Kumbe waliodanganya umri CCM wako wengi, Maghembe naye yupo

    Hahahahahaaa....Maghembe tutakuvua nguo mwaka huu hiyo ni moja.. unapambana na Kamanda Kilewo mtoto wa mjini tegemea mengi zaidi ya haya... Moto unaoenda kukutana nao siyo wa kitoto.
  13. K

    Professor Jumanne Maghembe 'awanunua' wanavyuo kujiokoa kisiasa jimboni Mwanga

    Mwanga tuliongozwa na mzigo muda mrefu na tulikuwa hatujampata mtu sahihi, Maghembe ameongoza jimbo hilo kwa udini na Ukanda hakuna kitu kilichokuwa kinamfanya kuwa madarakani zaidi ya hayo. Alisema mama yake ndiyo amezaa pekee na kututukana wapare wote, sasa amezaliwa kidume anayeheshimu...
  14. K

    Professor Jumanne Maghembe 'awanunua' wanavyuo kujiokoa kisiasa jimboni Mwanga

    Maghembe ni mzigo, kwasasa wanawahadaa watu eti kutoa maji kijiji cha njia panda kata ya kirya na kuleta maji. Wakati wakazi wa eneo hilo wananunua maji ndoo moja kwa kiasia cha sh 800 mpaka 1000 sasa huyu maghembe kama siyo ukichaa ni kitu gani??
  15. K

    Tumefika mwisho kuvumilia maovu ya jeshi la Polisi

    wapi polisi walipoogopwa? usitumie ma.sa.bu.ri kufikiri
  16. K

    Tumefika mwisho kuvumilia maovu ya jeshi la Polisi

    Umenena maneno yenye ujumbe mzito sana, Maneno kama haya hunenwa mara chache sana na watu wa chache, Hakika ujumbe umewafikia watawala wabovu. njoo nyumbani jemedali wetu umalizie kazi uliyoianza ya kuifuta ccm hapa Mwanga. tupo tunakusubiri kwa hamu sana, japokuwa kwasasa ccm wanahaha na...
  17. K

    Wizara ya michezo inaendesha Semina ya Kibaguzi Mwanga Kilimanjaro

    Ipo mkoani Kilimanjaro, Kunamtu mmoja hapa Anajiita pro Ikongo huyu mtu ameanza ulaghai wa kulaghai watu juu ya Ardhi alienda kwenye kijiji kimoja cha Lwami akamtumia mwenyekiti aliyemaliza muda wake na kumpatia fedha ili akawahonge wazee wa Lwami wampatie eneo la kijiji, yule mwenyekiti akala...
  18. K

    Wizara ya michezo inaendesha Semina ya Kibaguzi Mwanga Kilimanjaro

    Wakuu, Muda huu ninaoandika hapa, serikali kupitia wizara ya michezo inaendesha semina ya kibaguzi hapa Mwanga Kwakuwaita vijana waccm pekee kwenye semina wanaodai ni yakuwajengea vijana uwezo wa kukopa na kurudisha, semina hii ilianza jana tarehe 08.01.2015 kwenye ukumbi wa viziwi huku bomani...
  19. K

    Grace Kiwelu, James Millya, Bananga, Kilewo, Msuya Kuwasha moto Mwanga 07 January

    Ondoeni hawo madalali wa kisiasa siku hizi hawana dili, toeni hayo mapepo tumechoka kusikia kila siku tutafanya tutaleta tutatekeleza, toa wakae mbali na Umma.
  20. K

    Taarifa ya baadhi ya wajumbe wa Baraza Kuu na Mkutano Mkuu CHADEMA

    Msoma taarifa amechanganyikiwa na maisha, vile vile huyu siasa ya chadema alikwisha kukaa pembeni kitambo kidogo na kutumika na Mamluki wenzake wa ACT-TANZANIA ona hajui kuwa MKOA wa Tanga haupo kwenye Kanda hii ya pwani bali upo kanda ya Kaskazini. ukiwa na njaa usisahau kuumbuka
Back
Top Bottom