Search results

  1. S

    Methali za kizazi kipya

    Haha Mchagua jembe huyo atakua mtani jembe.
  2. S

    Tapeli huyu akamatwe.

    Labda kwa kuongezea tu...kusingizia shida,matatizo ya kibinadam na kutoa ahadi kurejesha,hiyo ni style ya utapeli kwa wabongo walio wengi. So take care.
  3. S

    Tafsiri ya wimbo wa WAITE

    Yeah na ingependeza sana kama yeye mwenyewe angeweza kujibia hili
  4. S

    Kwenye Ndoa Hamna Mashindano

    Hahaha!!!!!!
  5. S

    Kwa wale mnaopenda kununuwa vitu vya ma-supermarket angalieni namba za mwisho

    Ila nina kaswali kanyongeza... That rule guide is only appreciable to food or even non food products.
  6. S

    Namna ya kumkamata mwanaume!!

    Kitchen party tosha... thank you.
  7. S

    Zitto Asisubiri Kuvuliwa Uanachama; Ajiondoe Mwenyewe: Mahakama Isiingilie kazi za Chama!

    Huu mgogoro navouona binafsi the way CDM wanavyouchukulia is like walishajianda kumuengua Zitto but walikua wana miss pakuanzia. Ndomana walikua faster sana kumvua vyeo but still Zitto show stability.... he never get shocked cause he is strong enough political wise... anaitumia vizuri shule...
  8. S

    Majibu ya Zitto kwa Kamati Kuu: Mashitaka yote sio ya kweli na sijavunja Katiba

    Source kubwa kutofautiana na uongozi chadema.... Zitto haburuzwi kirahisi.
  9. S

    Zitto: Watu wanaishi maisha ya uwongo na Fitna, Sina tatizo na Dr. Slaa

    Possibly when comes to politics Zitto do better compared to Slaa.
  10. S

    MANENO YA UKWELI HAYa

    Yeah it true... Ila vema ukasema. It takes years to practice trust....in steady of saying to learn... the well goes by finishing with that saying it takes a second to lose trust.... By the way I thank you.
  11. S

    Nitaendelea kumtetea Zitto kwa gharama zangu zote. Kwa pamoja tuutokomeze ukiritimba

    Faizafox asante sana kwa kunisaidia kueleza ukweli. Nachokiona hapo zitto anasakamwa tu eti kwa sababu ya walaka wa kumpendekeza agombee uwengekiti. You guys you need to dig deep on it.
  12. S

    Kweli Mh. Rais wetu hilo ndo la kuwaweka watu uwanjani muda wote huo..

    White Girl name wengine wenye mtazamo kama wako! Hotuba aliyotoa m/miwa ni nzuri kwa kuenzi alivyokuwa madiba iconic duniani kwa ujumla ila haikupaswa aitoe kwenye maadhimisho ya Uhuru wa Tanzania bara....ilipasa adokeze tu na siyo hotuba nzima. Hotuba nzima ilipasa atoe speech kuzungumzia...
  13. S

    Fainali za Epic Bongo Star Search (EBSS) kupitia TBC: Mshindi ni Emmanuel Msuya

    Jamani kwa walioko kwenye live show watume up date.
  14. S

    Social Credit Company!

    Habari zenu wanajamii wezangu. Natumaini mpo katika pilika za hapa na pale to make a life goes on na wengine mtakua mapumzikoni japo baadhi mvui nayo inashughulika kidogo. Naombeni taarifa kuhusu uwepo wa hawa social credit company, nimesoma juu juu eti wanakopesha mikopo bila riba mbali na...
  15. S

    Vita tupiganavyo sio vya damu na nyama,bali ni vita ya wanademokrasia dhidi ya wahafidhina

    Hapa kiundani zaidi nachokiona is just conflict of interest. First inatakiwa ujue kwa mapana mchango wa Zitto kuijenga Chadema ambayo leo hii kuna wanaojiona eti wanasheria. Pia inabidi kuutambua mchango wa Zitto ndani ya Taifa ili katika kuibana na kuisimamia serikali. Kimtazamo zitto isn't...
  16. S

    Mnyika & Lissu kuwa "Nyigu" kwene issue ya Zitto, Ni uzalendo au ni "Parakatatumba" za Mbowe na Slaa

    Bado hujani convince kwa hiyo mitazamo yako hapo juu. Find another fact.
  17. S

    Nitaendelea kuongoza CHADEMA wanachama wakiamua - Mbowe

    Zitto kama jiwe la pembeni walilolikataa washi.
Back
Top Bottom